Naomba udhamini wa elimu ya juu

Naomba udhamini wa elimu ya juu

Shida yangu mkuu sio schoolarship ni sponsorship tu udhamini wa kusoma diploma yoyote ya afya hapahapa kwa mama chuo chochote cha afya.
Alama zako kwanza.
Kama unajua umepiga wani both advance and olevo nenda japan embassy...
 
Wakuu kama heading inavyojieleza,🙄

Kijana wenu naomba kujuzwa kama Kuna mtu binafsi, shirika, kampuni, ama taasisi yeyote inayodhamini elimu ya juu especially kada ya afya.

Thanks 👏
 
Wakuu hivi kuna uwezekano wowote by any means Serikali ikamdhamini raia kimasomo ya Diploma kada ya afya?

Naomba kujuzwa hili kama inawezekana naomba kufamishwa procedure zake kwa anaejua please.
 
Naiona shauku yako kijana...
Naona ukizipambania ndoto zako...
Nikutakie kila la kheri na Mungu akusimamie
 
Ipo jaribu kutafuta kuna uzi huo wa uzamini nishawahi kuona humu ndani
 
Wakuu kama heading inavyojieleza,[emoji849]
Kijana wenu naomba kujuzwa kama Kuna mtu binafsi, shirika, kampuni, ama taasisi yeyote inayodhamini elimu ya juu especially kada ya afya.
Thanks [emoji122]
Nenda kwenye balozi hizi mimi nafukuzia ya canada mkuu kama nikipata ntakupa mrejesho ilazipoo na watu wanapata tena full funded
 
Wakuu kama heading inavyojieleza,🙄
Kijana wenu naomba kujuzwa kama Kuna mtu binafsi, shirika, kampuni, ama taasisi yeyote inayodhamini elimu ya juu especially kada ya afya.
Thanks 👏
Zipo.
 
Nenda kwenye balozi hizi mimi nafukuzia ya canada mkuu kama nikipata ntakupa mrejesho ilazipoo na watu wanapata tena full funded
Nasubiri mrejesho mkuu na me huku nafuatilia
 
Nasubiri mrejesho mkuu na me huku nafuatilia
[emoji851]
Screenshot_20210630-170109.jpg
 
Back
Top Bottom