MP CHACHANDU
JF-Expert Member
- Dec 4, 2016
- 875
- 616
HeheheWatu wanadhaminig tu mpira,elim kudhaminiwa ni changamoto but wenye uhitaji wa hivi ni wengi,usife moyo utafanikiwa tu siku.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HeheheWatu wanadhaminig tu mpira,elim kudhaminiwa ni changamoto but wenye uhitaji wa hivi ni wengi,usife moyo utafanikiwa tu siku.
Apo ata chuo kwa ngazi ya degree huwezi pata kwa sasa...tumia chet cha form 4 kozi za afya unaweza pataMkuu labda unishauri kitu nina div 3 ya point 17 yaan physics F, chemistry E, biology E na basic applied math S cutoff point 2.5, hapa naona sijakidhi vigezo vya kupewa mkopo ndo maana naomba udhamini au kuna njia nyingine naweza pita Mkuu?