Naomba udhamini wa elimu ya juu

Naomba udhamini wa elimu ya juu

Wakuu inamaana wahusika au hats wenye tetesi Na hili swala hawapo humu au ndo urasimu umefika hadi jamvini???
 
div 3 yenye sifa ya degree au isiyo na sifa? kama una sifa ya kujiunga na degree omba mkopo utapata tu
 
Wakuu bado sijafanikiwa kupata udhamini was elimu ya juu, naleta tena ombi wakuu kwa anaefahamu kuhusu watoa misaada hawa tusaidiane jaman.
 
Duuuh kweli hii Tanzania ya viwanda ni ya kupambana na hali yako watu hata ushauri hawatoi.
 
Kwani mkuu unabifu na loan board???... Bod watakupa tu mkopo...kama unavigezo vya kusoma degree utapewa loan usiwe na waswasi
 
Mkuu labda unishauri kitu nina div 3 ya point 17 yaan physics F, chemistry E, biology E na basic applied math S cutoff point 2.5, hapa naona sijakidhi vigezo vya kupewa mkopo ndo maana naomba udhamini au kuna njia nyingine naweza pita Mkuu?
 
Mkuu labda unishauri kitu nina div 3 ya point 17 yaan physics F, chemistry E, biology E na basic applied math S cutoff point 2.5, hapa naona sijakidhi vigezo vya kupewa mkopo ndo maana naomba udhamini au kuna njia nyingine naweza pita Mkuu?
Apo ata chuo kwa ngazi ya degree huwezi pata kwa sasa...tumia chet cha form 4 kozi za afya unaweza pata
 
Nashukuru mkuu, hill ndio lengo langu lakini sasa ada in kikwazo ndo maana naomba udhamini wa kunisomesha stashahada yeyote ya afya. Au kama kuna chuo naweza kupata mkopo kwa ngazi ya stashahada naomba muongozo wakuu.
 
Bos hapa huwez pata mtu ila ushauri wangu toka ndugu yangu nenda kwenye taasisi na mshirika yasiyo yakiserikali utapata.mashirka ya dini ,taasisi za watu binafsi nenda ukajintroduse vzr mungu akikusimamia unapata
 
Nashukuru sana Mkuu naona mwanga unaanza kupatikana.
 
Ombi langu la mwisho kwenu wandugu no kwamba kama kuna mwanajamvi mwenye kuyajua au hata tetesi tu kuhusiana na haya mashirika au taasisi zinazotoa ufadhili naomba muongozo wa kufika nikajieleze then the rest tumuachie mungu.
 
Habari zenu wana jamvi? Kama heading inavyojieleza Mimi in kijana wenu wa kitanzania nina elimu ya kidato cha sita niliyomaliza 2013 katika shule ya wavulana same sekondari mkoani Kilimanjaro mchepuo wa sayansi PCB na kupata div 3 ambayo haijakidhi vigezo vya kuendelea na digrii na kupata mkopo.

OMBI: Wakuu ikiwa ni mtu binafsi, taasisi, shirika au kampuni naomba ufadhili wa kusoma stashahada yeyote ya afya kwa masharti yeyote halali
Kama kuna taarifa zozote wakuu naomba PM au tuwasiliane kwa no, 0654 121218.

"AHSANTENI"
 
Nashukuru sana Mkuu kwa muongozo, nitawafuatilia hawa jamaa!
 
Wandugu natafuta udhamini wa masomo ya afya ikiwa ni shirikshirika, mtu binafs au hata taasisi kwa masharti yeyote nafuu na halali, nimesoma masomo ya sayansi PCB Nina ufaulu wa dv 3,
Kama kuna info zozote please PM.
Ahsanteni.
 
Wandugu natafuta udhamini wa masomo ya afya ikiwa ni shirikshirika, mtu binafs au hata taasisi kwa masharti yeyote nafuu na halali, nimesoma masomo ya sayansi PCB Nina ufaulu wa dv 3,
Kama kuna info zozote please PM.
Ahsanteni.
 
Back
Top Bottom