Naomba ufafanuzi: Hii ni haki kweli? Nimelipa deni, lakini bado nakataliwa mkopo

Naomba ufafanuzi: Hii ni haki kweli? Nimelipa deni, lakini bado nakataliwa mkopo

Kwahio unafikiri mtu mweupe ndio angempa huo mkopo na credit score mbovu? Kwa taarifa yako utaratibu huu sisi tumechelewa kuanza benki za watu weupe huu ndio utaratibu wa kawaida miaka na miaka.
Kwanini sisi tusitengeneze utaratibu wetu
 
Back
Top Bottom