blackstarline JF-Expert Member Joined Sep 19, 2016 Posts 3,774 Reaction score 9,913 Aug 16, 2026 #21 RRONDO said: Kwahio unafikiri mtu mweupe ndio angempa huo mkopo na credit score mbovu? Kwa taarifa yako utaratibu huu sisi tumechelewa kuanza benki za watu weupe huu ndio utaratibu wa kawaida miaka na miaka. Click to expand... Kwanini sisi tusitengeneze utaratibu wetu
RRONDO said: Kwahio unafikiri mtu mweupe ndio angempa huo mkopo na credit score mbovu? Kwa taarifa yako utaratibu huu sisi tumechelewa kuanza benki za watu weupe huu ndio utaratibu wa kawaida miaka na miaka. Click to expand... Kwanini sisi tusitengeneze utaratibu wetu
macho_mdiliko Platinum Member Joined Mar 10, 2008 Posts 29,500 Reaction score 61,451 Aug 16, 2026 #22 blackstarline said: Kwanini sisi tusitengeneze utaratibu wetu Click to expand... Kwenye kukopa historia ya mkopaji ni jambo muhimu mno. Kama unaona hiyo sheria haifai, basi anzisha entity yako ya kukopesha na ujitungie sheria zako.
blackstarline said: Kwanini sisi tusitengeneze utaratibu wetu Click to expand... Kwenye kukopa historia ya mkopaji ni jambo muhimu mno. Kama unaona hiyo sheria haifai, basi anzisha entity yako ya kukopesha na ujitungie sheria zako.
pilato93 JF-Expert Member Joined Jun 28, 2014 Posts 7,939 Reaction score 9,687 Aug 16, 2026 #23 Mimi na voda tuna kamzozo๐๐๐๐๐
RRONDO Platinum Member Joined Jan 3, 2010 Posts 60,337 Reaction score 138,962 Aug 16, 2026 #24 blackstarline said: Kwanini sisi tusitengeneze utaratibu wetu Click to expand... Utaratibu wa kukopesha watu wasiolipa madeni? Utaratibu wenu kwenye banking system mlioiga kwa hao weupe?
blackstarline said: Kwanini sisi tusitengeneze utaratibu wetu Click to expand... Utaratibu wa kukopesha watu wasiolipa madeni? Utaratibu wenu kwenye banking system mlioiga kwa hao weupe?