Naomba Ufafanuzi: Kampuni ya Puma Energies imetoa msaada kwa wananchi wa Hang lakini wananchi wanamshukuru 'mama'

Restless Hustler

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2017
Posts
5,150
Reaction score
20,025
Kampuni ya Puma energies imetoa msaada wa vifaa vya ujenzi yenye thamani ya TSH 70 milioni kwa wananchi wa Hang waliokumbwa na janga la maporomoko ya udongo.

Sijaelewa Logic ya hii dhana ya wananchi wa Hang kumshukuru 'mama' wakati waliotoa msaada ni Puma energies. Mama amehusikaje hapo?

Naomba ufafanuzi.
 
Mama is popular than anything,aliwaambia wadau Wachangie kuunga mkono Serikali.

Inakuuma mama akishukuriwa au?
 
Mkuu usichoelewa ni kwamba hao wananvhi waliandaliwa script hivyo wananata na beat.

Tanzania ni nchi ambayo mbinu za kusalia madarakani ni muhimu zaidi ya ulinzi, usalama, uchumi hata ustawi wa wananchi
 
Kwani Puma si Kampuni ya Serikali? Ina ubia sijui 49/50 ama 51 nimesahau, kunahitajika ruhusa ya Serikali kutoa hizo Hela.
 
Kwani Puma si Kampuni ya Serikali? Ina ubia sijui 49/50 ama 51 nimesahau, kunahitajika ruhusa ya Serikali kutoa hizo Hela.
Sijui kama ni ya serikali. Ok, let's assume ni ya serikali. Ndiyo wananchi wamshikuru mama? Kwani mama ndiye kazitoa fedha mfukoni mwake?
 
Wasi wasi wangu ni je misaada inawafikia walengwa? Maana kwa kweli wadau wa Maendeleo wamejitahidi kutoa misaada.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…