Naomba Ufafanuzi: Kampuni ya Puma Energies imetoa msaada kwa wananchi wa Hang lakini wananchi wanamshukuru 'mama'

Government policies zimewawezesha puma kutoa msaada wangekatazwa na serikali msaada usingeonekana.
 
Sasa ulitaka wamshukuru Mbowe au?😎😂
 
😅😂😂 Nilitaka nicomment hivi afu umeniwahii
True story.

Kuna jamaa mmoja alikuwa na kesi kubwa sana, kafungwa mahabusu.

Akaajiri lawyer aisimamie kesi yake. Basi kweli bwana yule lawyer kapambana juu chini mpaka jamaa katolewa.

Jamaa kutolewa tu, siku ya kwanza anakutana na lawyer, akawa anamshukuru Mungu sanaa tu.

Lawyer anamsikiliza tu huku kam mind kweli.
 
😂Asa si Mungu kamwezesha lawyer kushinda kesi..ni sawa na Mungu anavyowezesha timu fulani ya mpira kushinda Kombe na zingine kufungwa
 
😂Asa si Mungu kamwezesha lawyer kushinda kesi..ni sawa na Mungu anavyowezesha timu fulani ya mpira kushinda Kombe na zingine kufungwa
Sawa. Hata ingekuwa hivyo, basi jamaa angeanza kumshukuru Mungu, halafu angemshukuru lawyer.

Jamaa alimsahau lawyer kabisa, akaishia kumshukuru Mungu tu.🤣🤣
 
Sawa. Hata ingekuwa hivyo, basi jamaa angeanza kumshukuru Mungu, halafu angemshukuru lawyer.

Jamaa alimsahau lawyer kabisa, akaishia kumshukuru Mungu tu.🤣🤣
Mkuu unajua ku reason logically. I wish ningekuwa na uwezo kama wako🧢
 
Chawa wote wanaume ni mapunga 99%
Wanajua kusifu hata kiongozi akijamba wanasifia.

Kama una bisha wewe sio punga ngoja tuone kama hutatukana, ukitukana tu ni mchicha pori
Mwambie mama Yako ajambe tuone kama atasifiwa
 
Kama hukuwa ukifahamu, vituo vya Puma ni vya serikali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…