Naomba ufafanuzi kidogo juu ya SAMSUNG NOTE 10+ dhidi ya GOOGLE PIXEL 6

Google pixel simu Bora kwangu ukweli usemwe Tena kwao sisi wapenda kusoma vitabu ikigika usiku Inajiweka Night mode yake Ile amazing and gorgeous and fire [emoji91]
 
Mkuu Reuben Challe
Nina redmi note 12 4g wiki ya pili sasa. Nataka niiuze ninunue Redmi nyingine isiyozidi 450k, unanishauri nichukue ipi yenye display kali kuliko ya note 12.
Redmi Note 12 5G ina display kali kuliko Redmi Note 12 4G

Redmi Note 12 5G unaipata kwa hiyo bei ulioitaja
 
Mkuu na vp kuhusu note 10 plus na Samsung s 22 plus
 
Mkuu na vp kuhusu note 10 plus na Samsung s 22 plus
Mkuu hiyo S22 Plus ni flagship ya 2022 na Note 10 plus ni flagship ya 2019. There is no way Note 10 Plus ikawa better than S22 Plus

S22 plus hapo ina display nzuri zaidi, camera kali zaidi, performance kubwa zaidi, better gaming and graphics, better connectivity, etc

Kikubwa ambacho Note 10 Plus itazidi S22 plus labda tu ni kuwa na sehemu ya kuwekea memory card.

Samsung Galaxy S22 Plus ni nzuri zaidi
 
Jomba uliua sana 🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…