Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukitembea unachoka?Hope mko salama.
Niwaulize,hii kitu inaitwa chembe ya moyo kwa lugha rahisi ni nini? Kuna maumivu nayapata naambiwa nikavutwe chembe ya moyo. Nimebaki njia panda.
Nisaidieni wakuu.
Mara nyingi hii ni dalili ya vidonda vya tumbo. maumivu yanaenda mpaka mgongoniSio kivile, ila usingizi balaa. Maumivu hapa katikati ya tumbo na kifuani. Mishipa ya shingo kukaza na kupelekea kichwa kuuma balaa.
Ni kweli mkuu.Mara nyingi hii ni dalili ya vidonda vya tumbo. maumivu yanaenda mpaka mgongoni
Dalili nyingine ni kama
-tumbo kujaa gesi.
-kupata kiungulia.
-kupata choo cheusi kabisa kama rami.
-
Ukitembea unachoka?
Umepima choo kama una bacteria (h pylori )??Ni kweli mkuu.
Lakini nimekunywa haya madawa ya vidonda vya tumbo ya hospitalini hadi nimechoka. Ndio nikapata ushauri huo wa kuvutwa chembe ya moyo.
Nimepima mkuu,na ikaonekana sina. Almost nikila vyakula karibia vyote napata kiungulia.Umepima choo kama una bacteria (h pylori )??
Unatumia vyakula gani kwa wingi maana vyakula vinavoleta tatizo ilo ni maharage, dagaa, pilipili, machungwa , nanasi, vipolo ambavo havijachemshwa .
Umetumia dawa ipi na kwa mda gani??, na je ilikusaidia ama hukupata nafuu kabisa??
Harafu maumivu ya chembe ya moyo unayapata kabla ya kula ama baada ya kula??
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Maumivu huwa napata baada ya kula. Baadhi ya dawa unapata nafuu na nyingine hata nafuu hakuna. Kuna nilizomeza siku 7 na nyingine siku 30.Umepima choo kama una bacteria (h pylori )??
Unatumia vyakula gani kwa wingi maana vyakula vinavoleta tatizo ilo ni maharage, dagaa, pilipili, machungwa , nanasi, vipolo ambavo havijachemshwa .
Umetumia dawa ipi na kwa mda gani??, na je ilikusaidia ama hukupata nafuu kabisa??
Harafu maumivu ya chembe ya moyo unayapata kabla ya kula ama baada ya kula??
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Naona ulianzishiwa dawa za kutibu bacteria h pylori, japo haikukutwa [emoji23], walikupa ivoivo. Ila anyways fanya kitu kimoja tumia dawa hizi ambazo zinasaidia kupunguza acid tumboni. Omeprazole 20mg bd 14/7, au pantoprazole 40mg od 14/7, sio lazima uzimeze kila siku unaweza kumeza pale unaposikia tumbo linauma , ni maarumu kwa kupunguza acid, na gesi tumboni.Maumivu huwa napata baada ya kula. Baadhi ya dawa unapata nafuu na nyingine hata nafuu hakuna. Kuna nilizomeza siku 7 na nyingine siku 30.View attachment 2593723View attachment 2593724View attachment 2593725View attachment 2593726View attachment 2593728View attachment 2593730
Mechanism of actio, ni kama nilizomuandikia apo juu, lakini hakunashida , ata akipata hii, atumie tuTumia dawa inaitwa Altapham ni dawa ya maji inauzwa 3000,halafu ulete mrejesho...
Nashukuru mkuu,kuna vitu ambavyo nimeacha kama ulivyotaja hapo juu. Lakini mchaichai na wali ni vitu nakula sana. Hasa mchaichai ninakunywa kila siku jioni kabla ya kulala. Asubuhi niliacha vitafunwa vyote vya ngano na kula vitumbua. Naona navyo umenikataza. Nikila magimbi ama mihogo navyo ni kiungulia balaa. Sasa nitumie kitafunwa gani? Suala la chakula limekuwa changamoto kwangu. Daktari mmoja alishauri nikafanyiwe kipimo cha kutumbukiziwa kamera tumboni,hospital niliyoenda waliniambia gharama yake ni 360,000/=. Nilishindwa kulipia hiyo gharama.Naona ulianzishiwa dawa za kutibu bacteria h pylori, japo haikukutwa [emoji23], walikupa ivoivo. Ila anyways fanya kitu kimoja tumia dawa hizi ambazo zinasaidia kupunguza acid tumboni. Omeprazole 20mg bd 14/7, au pantoprazole 40mg od 14/7, sio lazima uzimeze kila siku unaweza kumeza pale unaposikia tumbo linauma , ni maarumu kwa kupunguza acid, na gesi tumboni.
Pia zingatia yafuatayo
View attachment 2593760View attachment 2593762
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Sioni haja ya kipimo iko kwako, kipimo iko kinaenda kuangalia ukubwa wa vidonda , mala nyingi kinafanyika kwa watu wenye dalili za hatari kama kutapika damu ama kutoa choo iliyochanganyika na damu, pia labda wakiwa wanafilia kwamba una uvime, lakini vidonda vya tumbo vya kawaida hakuna haja ya iko kipimo .Nashukuru mkuu,kuna vitu ambavyo nimeacha kama ulivyotaja hapo juu. Lakini mchaichai na wali ni vitu nakula sana. Hasa mchaichai ninakunywa kila siku jioni kabla ya kulala. Asubuhi niliacha vitafunwa vyote vya ngano na kula vitumbua. Naona navyo umenikataza. Nikila magimbi ama mihogo navyo ni kiungulia balaa. Sasa nitumie kitafunwa gani? Suala la chakula limekuwa changamoto kwangu. Daktari mmoja alishauri nikafanyiwe kipimo cha kutumbukiziwa kamera tumboni,hospital niliyoenda waliniambia gharama yake ni 360,000/=. Nilishindwa kulipia hiyo gharama.
Nashukuru mkuu,kuhusu vitafunwa sasa nifanyeje? Pia wengine wanasema nisile chakula chenye nyanya. Ni kweli? Na maziwa uliyosema niangalie matumizi yake ni maziwa ya mgando ama ni fresh? Group yangu ya damu ni O negative,kuna uhusiano wowote na hili tatizo?Sioni haja ya kipimo iko kwako, kipimo iko kinaenda kuangalia ukubwa wa vidonda , mala nyingi kinafanyika kwa watu wenye dalili za hatari kama kutapika damu ama kutoa choo iliyochanganyika na damu, pia labda wakiwa wanafilia kwamba una uvime, lakini vidonda vya tumbo vya kawaida hakuna haja ya iko kipimo .
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Nyanya, husitumie, maziwa ni ya aina yote ndugu, najua utakuwa umeshauliwa na watu wengi kwamba maziwa yanasaidia kupunguza maumivu ni uongo yanasaidia kwa mda mfupi tu lakini yanaongeza uzalishaji wa acid. Unaweza kutumia mayai, karanga na vyakula ambavo havina amiraNashukuru mkuu,kuhusu vitafunwa sasa nifanyeje? Pia wengine wanasema nisile chakula chenye nyanya. Ni kweli? Na maziwa uliyosema niangalie matumizi yake ni maziwa ya mgando ama ni fresh? Group yangu ya damu ni O negative,kuna uhusiano wowote na hili tatizo?