Naomba ufafanuzi kuhusu chembe ya moyo

Naomba ufafanuzi kuhusu chembe ya moyo

Sio kivile, ila usingizi balaa. Maumivu hapa katikati ya tumbo na kifuani. Mishipa ya shingo kukaza na kupelekea kichwa kuuma balaa.
Mara nyingi hii ni dalili ya vidonda vya tumbo. maumivu yanaenda mpaka mgongoni
Dalili nyingine ni kama
-tumbo kujaa gesi.
-kupata kiungulia.
-kupata choo cheusi kabisa kama rami.
-
 
Ni kweli mkuu.
Lakini nimekunywa haya madawa ya vidonda vya tumbo ya hospitalini hadi nimechoka. Ndio nikapata ushauri huo wa kuvutwa chembe ya moyo.
 
Umepima choo kama una bacteria (h pylori )??
Unatumia vyakula gani kwa wingi maana vyakula vinavoleta tatizo ilo ni maharage, dagaa, pilipili, machungwa , nanasi, vipolo ambavo havijachemshwa .
Umetumia dawa ipi na kwa mda gani??, na je ilikusaidia ama hukupata nafuu kabisa??
Harafu maumivu ya chembe ya moyo unayapata kabla ya kula ama baada ya kula??

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Nimepima mkuu,na ikaonekana sina. Almost nikila vyakula karibia vyote napata kiungulia.
 
Umepima choo kama una bacteria (h pylori )??
Unatumia vyakula gani kwa wingi maana vyakula vinavoleta tatizo ilo ni maharage, dagaa, pilipili, machungwa , nanasi, vipolo ambavo havijachemshwa .
Umetumia dawa ipi na kwa mda gani??, na je ilikusaidia ama hukupata nafuu kabisa??
Harafu maumivu ya chembe ya moyo unayapata kabla ya kula ama baada ya kula??

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Maumivu huwa napata baada ya kula. Baadhi ya dawa unapata nafuu na nyingine hata nafuu hakuna. Kuna nilizomeza siku 7 na nyingine siku 30.
20230111_142648.jpg
20230222_142732.jpg
20221010_165144.jpg
20221010_162948.jpg
20220727_132833.jpg
20221010_163008.jpg
 
Maumivu huwa napata baada ya kula. Baadhi ya dawa unapata nafuu na nyingine hata nafuu hakuna. Kuna nilizomeza siku 7 na nyingine siku 30.View attachment 2593723View attachment 2593724View attachment 2593725View attachment 2593726View attachment 2593728View attachment 2593730
Naona ulianzishiwa dawa za kutibu bacteria h pylori, japo haikukutwa [emoji23], walikupa ivoivo. Ila anyways fanya kitu kimoja tumia dawa hizi ambazo zinasaidia kupunguza acid tumboni. Omeprazole 20mg bd 14/7, au pantoprazole 40mg od 14/7, sio lazima uzimeze kila siku unaweza kumeza pale unaposikia tumbo linauma , ni maarumu kwa kupunguza acid, na gesi tumboni.
Pia zingatia yafuatayo
IMG-20230419-WA0012.jpg
IMG-20230419-WA0016.jpg

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Tumia dawa inaitwa Altapham ni dawa ya maji inauzwa 3000,halafu ulete mrejesho...
 
Pole kwa Hilo
Ila Ni kwamba wachangiaji Hapa wangefanya hivi'.....sema taaluma yako ndio umshauri.
Unasema kwa taaluma yangu ya udaktar, au pharmacist Nashuri hivi'.. kwenye hii kesi.
Sio mnaandika Dawa tu yawezekana Ni nzuri Ila haitibu tatizo Hilo maana ww fani yako Ni biashara...tukumbuke hiyo Ni afya mtu.
 
Naona ulianzishiwa dawa za kutibu bacteria h pylori, japo haikukutwa [emoji23], walikupa ivoivo. Ila anyways fanya kitu kimoja tumia dawa hizi ambazo zinasaidia kupunguza acid tumboni. Omeprazole 20mg bd 14/7, au pantoprazole 40mg od 14/7, sio lazima uzimeze kila siku unaweza kumeza pale unaposikia tumbo linauma , ni maarumu kwa kupunguza acid, na gesi tumboni.
Pia zingatia yafuatayo
View attachment 2593760View attachment 2593762

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Nashukuru mkuu,kuna vitu ambavyo nimeacha kama ulivyotaja hapo juu. Lakini mchaichai na wali ni vitu nakula sana. Hasa mchaichai ninakunywa kila siku jioni kabla ya kulala. Asubuhi niliacha vitafunwa vyote vya ngano na kula vitumbua. Naona navyo umenikataza. Nikila magimbi ama mihogo navyo ni kiungulia balaa. Sasa nitumie kitafunwa gani? Suala la chakula limekuwa changamoto kwangu. Daktari mmoja alishauri nikafanyiwe kipimo cha kutumbukiziwa kamera tumboni,hospital niliyoenda waliniambia gharama yake ni 360,000/=. Nilishindwa kulipia hiyo gharama.
 
Sioni haja ya kipimo iko kwako, kipimo iko kinaenda kuangalia ukubwa wa vidonda , mala nyingi kinafanyika kwa watu wenye dalili za hatari kama kutapika damu ama kutoa choo iliyochanganyika na damu, pia labda wakiwa wanafilia kwamba una uvime, lakini vidonda vya tumbo vya kawaida hakuna haja ya iko kipimo .

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Sioni haja ya kipimo iko kwako, kipimo iko kinaenda kuangalia ukubwa wa vidonda , mala nyingi kinafanyika kwa watu wenye dalili za hatari kama kutapika damu ama kutoa choo iliyochanganyika na damu, pia labda wakiwa wanafilia kwamba una uvime, lakini vidonda vya tumbo vya kawaida hakuna haja ya iko kipimo .

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Nashukuru mkuu,kuhusu vitafunwa sasa nifanyeje? Pia wengine wanasema nisile chakula chenye nyanya. Ni kweli? Na maziwa uliyosema niangalie matumizi yake ni maziwa ya mgando ama ni fresh? Group yangu ya damu ni O negative,kuna uhusiano wowote na hili tatizo?
 
Nyanya, husitumie, maziwa ni ya aina yote ndugu, najua utakuwa umeshauliwa na watu wengi kwamba maziwa yanasaidia kupunguza maumivu ni uongo yanasaidia kwa mda mfupi tu lakini yanaongeza uzalishaji wa acid. Unaweza kutumia mayai, karanga na vyakula ambavo havina amira

Back
Top Bottom