Naomba ufafanuzi kuhusu course ya information system!

Naomba ufafanuzi kuhusu course ya information system!

wakuu samahanini nilikuwa naomba ufafanuzi kuhusu course ya bachelor of science in information system kweny upatikanaji wa ajira zake na hata uwezo binafsi wa kujiajiri..m ni first year mtarajiwa
Hiyo ni kozi inayohusu mifumo hifadhi taarifa, na namna ya kutatua matatizo ya kijamii yanayohitaji urahisi wa upatikanaji wa taarifa kwa kutumia tehama.

Kazi zipo na ni nyingi sana tena sana endapo utazingatia masomo kivitendo zaidi mambo ya mademu na pombe itatakiwa kupunguza kidogo uku ukifikiria zaidi mambo muhimu.

Note:
kivitendo kivitendo naaam kivitendo.
 
wakuu samahanini nilikuwa naomba ufafanuzi kuhusu course ya bachelor of science in information system kweny upatikanaji wa ajira zake na hata uwezo binafsi wa kujiajiri..m ni first year mtarajiwa
Hongera,kaza buti kozi iko vizuri sana utaweza kuidesgn mifumo mbalimbali kama vile ya kibiashara, unatakiwa ukaze tu mzee...utafundishwa database systems , both front end and back end development ..Ina uwanja mpana wa kujiajiri ndugu ..ni uwezo wako tu kwa sababu ina mambo mengi
 
Hongera,kaza buti kozi iko vizuri sana utaweza kuidesgn mifumo mbalimbali kama vile ya kibiashara, unatakiwa ukaze tu mzee...utafundishwa database systems , both front end and back end development ..Ina uwanja mpana wa kujiajiri ndugu ..ni uwezo wako tu kwa sababu ina mambo mengimkuu w ulipiga hii course?
 
Hiyo ni bachelor's in computer science with information systems
 
Bachelor of Information Management (BIM) ikoje hii ?
 
Soma vizur hiyo ni prospectus yao udom...
Inaeleza programme inahusiana na nini na course zote utakazoenda kusoma kuanzia mwaka wa 1 mpaka mwaka 3
Screenshot_20211018-174343_OneDrive.jpg
Screenshot_20211018-174411_OneDrive.jpg
 
ok nawz fany kaz gani
IT OFFICER (Network Administrator, Systems administrator, Business Analyst, Database Administrator,Web Developer,Hardware Technician, Software Developer,Mobile App Developer,)

Mambo ni mengi ambayo unaweza kufanya,
Nimejaribu kukutajia kulingana na hiyo documents hapo juu.
 
Sisi ambao tumeishia O-Level hatujafika A-Level,tukitaka kufika huko tuanzie na course gani?
Nalog off
 
o
IT OFFICER (Network Administrator, Systems administrator, Business Analyst, Database Administrator,Web Developer,Hardware Technician, Software Developer,Mobile App Developer,)

Mambo ni mengi ambayo unaweza kufanya,
Nimejaribu kukutajia kulingana na hiyo documents hapo juu.
ok vip kuhusu soko la ajira lipo?
 
Back
Top Bottom