Pilot_In_Command
JF-Expert Member
- Nov 10, 2013
- 2,507
- 3,442
Nitashangaa sana ukisoma course kama hii alaf uombe Ajira kwa watu.. sana sana wao ndio watakuomba ww ufanye nao kaz ( UKIW na AKILI ya ziada na sio ufaulu wa GPA kubwa hali ya kuwa huna uwezo wa kutengeneza systems/ku defend.. etc)o
ok vip kuhusu soko la ajira lipo?