Soma vya Darasani ila Toka nje katafute maarifa.. vitu vingi hufundishwi darasani.. technology inabadirika.. walimu ni walewale.. watakupa material yaleyale..
Hii course kama unaipenda kutoka Moyoni.. Unatoboa Maisha ila akama unaenda tu Ilimradi iutafurahi na show