Naomba ufafanuzi kuhusu hii biashara ya maudhui mtandaoni

Last_Born

Member
Joined
Dec 9, 2022
Posts
69
Reaction score
100
Je, inawezekana kuanzisha na kuendesha biashara ya maudhui mtandaoni kama blogging au YouTube kama kina Millard Ayo, bila ada za awali (license fee) ? Kama vile mambo ya lecense za TCRA sijui BRELA, then nikaja kulipa baadae

Ikiwa kuna gharama, ni zipi zinaweza kulipwa baadaye baada ya kupata mapato? Nataka kuelewa mbinu bora za kuanza biashara kabla sijaingia kichwa kichwa
 
Ukianza kuwaza vikwazo hutoboi, fungua chanel anza kurekodi video.

Alafu wewe unaonesha ni mfeni sana kwenye hii nchi, hizo sheria (kandamizi) zinazo control youtubers ziliwekwa enzi za mwendazake ili kucontrol wakosoaji.

Yani ukianzisha chanel ukaanza kosoa serikali jua wataitumia kukubana. Sasa wewe content zako haziusiani na siasa unadhan nani atakua na mda wa kukufwatilia?

Alafu brela ya kazi gani unataka fungua kampuni?

Anza wewe acha kupoteza muda.
 
Mi nilikuwa na wazo ilo content zangu zitakuwa za giveaways for kind people
 
Ukianza kuwaza vikwazo hutoboi, fungua chanel anza kurekodi video.

Alafu wewe unaonesha ni mfeni sana kwenye hii nchi, hizo sheria (kandamizi) zinazo control youtubers ziliwekwa enzi za mwendazake ili kucontrol wakosoaji.

Yani ukianzisha chanel ukaanza kosoa serikali jua wataitumia kukubana. Sasa wewe content zako haziusiani na siasa unadhan nani atakua na mda wa kukufwatilia?

Alafu brela ya kazi gani unataka fungua kampuni?

Anza wewe acha kupoteza muda.
Baadae haiwezi kuja kuleta shida kweli ikaonekana nafanya shughuli bila kibali
 
We Fanya tu usiwaze hayo
Kuna content creator wa TikTok namlipa 300k per month anitangazie biashara yangu na ana biashara nyingine pia so wewe Anza usiangalie vikwazo
 
Shukrani Sana kwa ushauri wako
 
Je, inawezekana kuanzisha na kuendesha biashara ya maudhui mtandaoni kama blogging au YouTube kama kina Millard Ayo, bila ada za awali (license fee) ? Kama vile mambo ya lecense za TCRA sijui BRELA, then nikaja kulipa baadae

Ikiwa kuna gharama, ni zipi zinaweza kulipwa baadaye baada ya kupata mapato? Nataka kuelewa mbinu bora za kuanza biashara kabla sijaingia kichwa kichwa
Ukianzisha. Ulete mrejesho tukupe support

Back
Top Bottom