Ukianza kuwaza vikwazo hutoboi, fungua chanel anza kurekodi video.Je, inawezekana kuanzisha na kuendesha biashara ya maudhui mtandaoni kama blogging au YouTube kama kina Millard Ayo, bila ada za awali (license fee) ? Kama vile mambo ya lecense za TCRA sijui BRELA, then nikaja kulipa baadae
Ikiwa kuna gharama, ni zipi zinaweza kulipwa baadaye baada ya kupata mapato? Nataka kuelewa mbinu bora za kuanza biashara kabla sijaingia kichwa kichwa
Baadae haiwezi kuja kuleta shida kweli ikaonekana nafanya shughuli bila kibaliUkianza kuwaza vikwazo hutoboi, fungua chanel anza kurekodi video.
Alafu wewe unaonesha ni mfeni sana kwenye hii nchi, hizo sheria (kandamizi) zinazo control youtubers ziliwekwa enzi za mwendazake ili kucontrol wakosoaji.
Yani ukianzisha chanel ukaanza kosoa serikali jua wataitumia kukubana. Sasa wewe content zako haziusiani na siasa unadhan nani atakua na mda wa kukufwatilia?
Alafu brela ya kazi gani unataka fungua kampuni?
Anza wewe acha kupoteza muda.
We Fanya tu usiwaze hayoBaadae haiwezi kuja kuleta shida kweli ikaonekana nafanya shughuli bila kibali
Ukianzisha. Ulete mrejesho tukupe supportJe, inawezekana kuanzisha na kuendesha biashara ya maudhui mtandaoni kama blogging au YouTube kama kina Millard Ayo, bila ada za awali (license fee) ? Kama vile mambo ya lecense za TCRA sijui BRELA, then nikaja kulipa baadae
Ikiwa kuna gharama, ni zipi zinaweza kulipwa baadaye baada ya kupata mapato? Nataka kuelewa mbinu bora za kuanza biashara kabla sijaingia kichwa kichwa