Tff haisajili mikataba katikati ya msimu, yenyewe inasajili mikataba kipind cha usajili [dirisha dogo la January au dirisha kubwa la August] na mikataba yote ya wachezaji lazima imalizike kipind cha usajili,huo mkataba aliosaini mwezi 3 haukupelekwa tff kusajiliwa kwa sababu dirisha lilikuwa bdo alija funguliwa na ukumbuke ule wa miezi 6 ulikuwa unaisha 14/7/2020.Kwahiyo kama tff ni mtazamaji ina maana toka mwezi wa 3 mpaka wa 7 walikua bado hawajagundua mapungufu kwenye mkataba wa morrison mpaka alipolalamika?
Hauko sawa mchezaji anaweza kuongeza mkataba mda wowote fwatilia nje uone Giroud aliongeza mkataba wa kubaki chelsea kipindi hakuna dirisha lililo wazi ni sawa tu na kusajili free agent anasajiliwa mda wowote kama unafwatilia Evra alisajiliwa westham kipindi madirisha ya usajili yamefungwa.Tff haisajili mikataba katikati ya msimu, yenyewe inasajili mikataba kipind cha usajili [dirisha dogo la January au dirisha kubwa la August] na mikataba yote ya wachezaji lazima imalizike kipind cha usajili,huo mkataba aliosaini mwezi 3 haukupelekwa tff kusajiliwa kwa sababu dirisha lilikuwa bdo alija funguliwa na ukumbuke ule wa miezi 6 ulikuwa unaisha 14/7/2020.
Kuna kitu haujaelewa tofautisha club kumpa mchezaji mkataba na kuidhinishwa kucheza, mchezaji anaweza kupewa mkataba mda wowote isipokuwa kuidhinishwa [mkataba kusajiliwa] na tff ni kipind cha usajili.Hauko sawa mchezaji anaweza kuongeza mkataba mda wowote fwatilia nje uone Giroud aliongeza mkataba wa kubaki chelsea kipindi hakuna dirisha lililo wazi ni sawa tu na kusajili free agent anasajiliwa mda wowote kama unafwatilia Evra alisajiliwa westham kipindi madirisha ya usajili yamefungwa.
Kweni point yako ni nini sasa? Mbona unaongelea vitu kibao.Kuna kitu haujaelewa tofautisha club kumpa mchezaji mkataba na kuidhinishwa kucheza, mchezaji anaweza kupewa mkataba mda wowote isipokuwa kuidhinishwa [mkataba kusajiliwa] na tff ni kipind cha usajili.
Huo mkataba wa Morrison wa miaka miwili ulikuwa bado haujasajiliwa na tff kwa sababu dirisha la usajili lilikuwa bado, ambao ulikuwa umesajiliwa ni ule wa miezi sita
Na ukumbuke mchezaji hauwezi kumuacha kipind ambacho sio cha usajili ndio maana mikataba yao lazima imalizike kipind cha usajili.
Halafu tofautisha free agent huyo ni special case, fifa wao wanasema mchezaji kazi yake ni kucheza, km mchezaji hana club huyo hafuat dirisha la usajili, pale atapopata club anasajiliwa kwa emergency case.
Finally Morrison kapata kibari kuitumikia simbaKweni point yako ni nini sasa? Mbona unaongelea vitu kibao.
Nishakwambia mchezaji anaongeza mkataba mda wowote haijalishi dirisha liko wazi au limefungwa.
Tff wanaruhusu mchezaji kucheza mechi tofauti na ligi kama simba day au siku ya mwanannchi pale tu anaposajiliwa na kulipa dola 2000 kama ada ya mchezaji wa kigeni huku akisubiri kibali cha kazi kutoka wizara ya kazi.
Wanacho SimbaKwani kwa sasa kibali cha Senzo anacho nani?