Kuna kitu haujaelewa tofautisha club kumpa mchezaji mkataba na kuidhinishwa kucheza, mchezaji anaweza kupewa mkataba mda wowote isipokuwa kuidhinishwa [mkataba kusajiliwa] na tff ni kipind cha usajili.
Huo mkataba wa Morrison wa miaka miwili ulikuwa bado haujasajiliwa na tff kwa sababu dirisha la usajili lilikuwa bado, ambao ulikuwa umesajiliwa ni ule wa miezi sita
Na ukumbuke mchezaji hauwezi kumuacha kipind ambacho sio cha usajili ndio maana mikataba yao lazima imalizike kipind cha usajili.
Halafu tofautisha free agent huyo ni special case, fifa wao wanasema mchezaji kazi yake ni kucheza, km mchezaji hana club huyo hafuat dirisha la usajili, pale atapopata club anasajiliwa kwa emergency case.