Crocodiletooth
JF-Expert Member
- Oct 28, 2012
- 20,561
- 24,428
Inasemekana ndio majiko bora zaidi duniani na salama kuliko majiko yoyote yale, kwa anayetumia atujuze kuhusu sisi wanyonge, je yanatufaa?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwahiyo ni mazuri, generally?ukipika kwa moto wa juu kabisa, linalamba takriban units 2 za umeme kila lisaa
nayapendea hakuna joto wala moshi
Acha kuiga wewee. Tumia la mkaa.Inasemekana ndio majiko bora zaidi duniani na salama kuliko majiko yoyote yale, kwa anayetumia atujuze kuhusu sisi wanyonge, je yanatufaa? View attachment 2675256
ni mazuri sanaKwahiyo ni mazuri, generally?
Induction na haya ya kawaida yapi yantumia sana umeme?ukipika kwa moto wa juu kabisa, linalamba takriban units 2 za umeme kila lisaa
nayapendea hakuna joto wala moshi wala kuungua
Je naweza pikia maharage au ni kwa ajili ya kukaangia vimayai tu.ukipika kwa moto wa juu kabisa, linalamba takriban units 2 za umeme kila lisaa
nayapendea hakuna joto wala moshi wala kuungua
Ni mazuri sana kama mtu muangalifu na yanadumu sana. Nilikuwa nalo lilikaa miaka 6Kwahiyo ni mazuri, generally?
unapika maharage piaJe naweza pikia maharage au ni kwa ajili ya kukaangia vimayai tu.
ya induction umeme wote unaenda kwenye kupikaInduction na haya ya kawaida yapi yantumia sana umeme?
Kwa hiyo yanasufuria zake maalum?unapika maharage pia
jua tu yanahitaji masufuria yenye asili ya chuma
yes, zenye asili ya chumaKwa hiyo yanasufuria zake maalum?
Mzee wa kujichukulia sheria mkononi kumbe mbali ya kuwa mwenyekiti wetu pia una uelewa na mambo mengineunapika maharage pia
jua tu yanahitaji masufuria yenye asili ya chuma
sana tu, kama kucheza gololi, tronics kitambo sana VetaMzee wa kujichukulia sheria mkononi kumbe mbali ya kuwa mwenyekiti wetu pia una uelewa na mambo mengine
Aluminium sio asili ya chuma?, au yanahitaji sufuria nzito kama zile za pressure cooker?yes, zenye asili ya chuma
Vipi ukitumia vyungu vya kufinyangaunapika maharage pia
jua tu yanahitaji masufuria yenye asili ya chuma
aluminium hazifai, kwanza jiko halitawakaAluminium sio asili ya chuma?, au yanahitaji sufuria nzito kama zile za pressure cooker?
Hahahaaaa we ni nomasana tu, kama kucheza gololi, tronics kitambo sana Veta
🤣 🤣 🤣 🤣 😀 halitawaka kabisaVipi ukitumia vyungu vya kufinyanga