HIMARS
JF-Expert Member
- Jan 23, 2012
- 70,791
- 98,334
Matumizi ya mkaa ni kuukubali umasikiniAcha kuiga wewee. Tumia la mkaa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Matumizi ya mkaa ni kuukubali umasikiniAcha kuiga wewee. Tumia la mkaa.
InductionInduction na haya ya kawaida yapi yantumia sana umeme?
Hivi ukiweka mkono unaungua?ya induction umeme wote unaenda kwenye kupika
ya umeme ya kawaida, 40% ya umeme inapika, 60% ya umeme inapotea kama joto
ya kawaida achana nayo
Wameufuta wenyewe modsdeblabant vipi mbon umefuta uzi ?
Wachina wameleta fake sana, bora apate mtumba wa Ulayazile zenye mistari mistari kwenye base (tako) lake
Mods wajinga sanaWameufuta wenyewe mods
Solar city si kuwa kila nyumba yawekewa solar ni kwamba umeme unazalishwa kwa solar ila bado mtalipa bill kama kawaidaAiseee, ngoja tusubiri solar city kama ya elon musk kule texas
Tufanye anapika kwa masaa 3 kila siku, kwa mwezi ni Unit 180 ambazo tayari zimezidi alichosema yeye.Unatumia umeme wa elfu 9 kwa muda gani?maana tumeambiwa yanalamba unit 2 kila baada ya saa 1?
Aluminium sio asili ya chuma?, au yanahitaji sufuria nzito kama zile za pressure cooker?
Hivi ukiweka mkono unaungua?
Hilo lafaa ka emergencyHuwezi kuungua kinachofanyika ni lile sufuria tu ndio linakua heated unaweza kuweka karatasi juu yake na ukapika bila karatasi kuungua
Mwezi mkuuUnatumia umeme wa elfu 9 kwa muda gani?maana tumeambiwa yanalamba unit 2 kila baada ya saa 1?
Waongo hata sasa nachemsha maji ya kuogaUnatumia umeme wa elfu 9 kwa muda gani?maana tumeambiwa yanalamba unit 2 kila baada ya saa 1?
HauubguiHivi ukiweka mkono unaungua?
Kwenye hili jiko hakuna umeme unaopotea hana asilimia 0.000000001ya induction umeme wote unaenda kwenye kupika
ya umeme ya kawaida, 40% ya umeme inapika, 60% ya umeme inapotea kama joto
ya kawaida achana nayo
Watts ngapi na kampuni gani?Waongo hata sasa nachemsha maji ya kuoga
Yanaitwaje ukiacha hiyo induction yanatofautianaje na mengineNi mazuri sana kama mtu muangalifu na yanadumu sana. Nilikuwa nalo lilikaa miaka 6
Hii ni mpya, inatokeaje hii ni tejnolojia mpyaSufuria inayoshikwa na sumaku ndo inaweza kupika ukiweka ya kawaida hata haliwaki. Kinachochomwa ni chakula kilichomo kwenye sufuria and sufuria ikiwa tupu halichomi chcochote na halitatoa joto.