Naomba Ufafanuzi kwanini Mwana wa Mfalme wa Saudia ameshika Kasi sana ktk kufanyia mafundisho mengi ya dini ya kiislam?

Endelea kujifariji
 
Mudy muongo Koran inasema Swala ni tatu tu pekee yeye katoa wapi hizo 50 mara zikawa 5.. ni fabricate tu due stupitidy kwa muslim at that time even now wanafuatisha tu.. Uongo wake kama unakbalika basi Koran ni uongo kwa hizo Contradictions zilivyokuwa nyingi..

Aya ya Kuswali swala Tatu ipo Moja tu.
Koran HUD 114. Na shika Sala katika ncha mbili za mchana na nyakati za usiku zilizo karibu na mchana. Hakika mema huondoa maovu. Huu ni ukumbusho kwa wanao kumbuka.
Establish prayer ˹O Prophet˺ at both ends of the day and in the early part of the night.1 Surely good deeds wipe out evil deeds. That is a reminder for the mindful.
Kusali kwa Mtume (s.a.w.w.) katika ncha zote mbili za mchana na mwanzoni mwa usiku.1 Hakika matendo mema huyafuta matendo maovu. Hayo ni mawaidha kwa wenye kukumbuka.

وَأَقِمِ ٱلصَّلَوٰةَ طَرَفَىِ ٱلنَّهَارِ وَزُلَفًۭا مِّنَ ٱلَّيْلِ ۚ إِنَّ ٱلْحَسَنَـٰتِ يُذْهِبْنَ ٱلسَّيِّـَٔاتِ ۚ ذَٰلِكَ ذِكْرَىٰ لِلذَّٰكِرِينَ ١١٤

Kama alienda Mbinguni kwa Kutumia Mule Punda chotara na farasi... Bila mtu yeyote kushuhudia alafu kipindi hicho ndio alikuwa ameingiliwa na Iblisi even alikuwa akisema amesex na wake zake wakati ni uongo Aisha alilamika Mumewe ana mashetani anaandika aya za kishetani baadae Mtume akaulizwa akasema ndio Shetani alimuingilia ila akamumba Allah hivyo akamshawishi Shetani na Shetani akawa Muislam na shetani alimuongoza Mudy kwa mambo mazuri... pata picha hiyo..

Uongo wa aya Alipo Allah na Malaika ili Maraika amfikie Allah Mbingu ya Saba anatumia speed ya mwanga na atatumia miaka Elfu moja kwenda kwa Allah na akirudi anatumia Miaka elfu Moja tena hii inaonesha Mudy ni Muongo sababu Aya alikuwa akishushiwa kwa awamu inamaana Aya ya kwanza aliyoshushiwa hadi leo hii ingekuwa Aya ya pili hajapokea... Stupid Dini zamani majitu yalikuwa majinga sana maarabu.. ndio maana Jews na Manasara walikuwa wanamtoa nishani akwachukia mno ndio chanzo cha chuki na non Muslim...
 
Nikuambia we kichaa unabisha kwanza Qur'an haikumtaja Paul na wala haita mtaja kwa jina sababu haina time na wajinga kama hao huyo unaye sema katafsiri yeye mwenyewe kawataja watu watatu tofauti yani ujuwe anajiandikia tu anavyo taka yeye 😄

We ukienda kwenye kutaka kumfahamu huyo Bulus ni nani naukasema ni Paulo basi imeukalia dogo, yani Paulo alikuwa Muislam kabla kuwa mkristo au sio 😄

Who was Bulus?
Būluṣ ibn Rajāʾ (born 950s, died after 1009), nicknamed al-Wāḍiḥ ('the Exposer' or 'Clarifier'), was a Coptic Christian monk, priest and apologist under the Fāṭimid Caliphate. He was a convert from Islam who wrote in Arabic.

QUR'AN haiwezi kutaja takataka kama hao, hata siku moja.
 
😅😅Uislamu hauna makao makuu pale watu wanaenda kufanya ibada(Hijjah) kama mnavyoenda pale kweny ukuta wa israel japo kubwa israel sio taifa la wakristo...
"Mecca was declared the holiest site in Islam ordaining it as the center of Muslim pilgrimage (Hajj), one of the Islamic faith's Five Pillars"

Nipe maana ya hii sentensi?
 

View: https://youtu.be/Y-iaYNW-ae0?si=DeUERg5d6wtA_M5_
Ukristo noma kweli yani Mungu wao wewe uwe muwaji anakupenda tu, uwe shoga anakupenda tu, ndio sababu ndoa za jinsia moja zinafungwa kanisani sababu mungu wa bibilia anapenda tu hana kukasirika 😄

Uwe mwizi we unapendwa tu, uwe mdhulumaji we unapendwa tu, hata ukiparamia mama yako au dada zako we unapendwa tu 😄

Mungu wa kikristo hana zaidi ya kupenda we fanya utalo fanya hakupi punishment. Huyu aliye andika bibilia alikuwa chizi kweli 😄
 
Ujinga wenu ubaki tu.. Kwahiyo Bulus aliyezaliwa 950s ndio aliyekuwepo kwenye koran pia? inamaana Koran ni ya mwaka gani Mr. Punguani? IQ yako hata Mo Dewji unamchukulia ndie Mtume wako kwa kufananisha hivyo... YAANI mimi nakupa Aya wewe unaleta Maigizo au unaona aibu? Ina maana Ibn Kathir sio Muislam? a;afu wewe mjinga mjinga ndie Muislam unayeelewa Koran Vizuri hebu Muslim mpigieni makofi Kiongozi wenu Adiosamigo

Nenda ukalale i have no time with Kids but wanaosoma wanaelewa and wewe pia najua roho tu ina haiba ila ushaelewa... Katfute watu wa Dawa wakulishe ujinga Mwingine uje kuuliza
 
We ndiye usiye taka kufahamu nimekuambia hilo jina piga kwenye Google search uone ni nani? Afu halipo kwenye Qur'an we unalazimisha, nimekuambia huyu aliye tafsiri vile yeye mwenyewe ametafsiri mara tatu tofauti? Sa we vipi unataka kulazimisha Qur'an imemtaja wakati hakuna jina lake.

Nilisha kuambia usitulete fake news hapa, huyo aliye tafsiri fatilia vizuri kawataja wengine pia sa vipi aje na majawabu tofauti.

We unadhani mimi utanishinda na ujinga wako, leta Aya au Sura ya Qur'an imemtaja huyo shoga kwa jina lake nataka nione Qur'an imesema Paul alikuwa mtume, kama huna chukua kona wacha kuongea kama mlevi.


Mtume Muhammad kwenye kauli yake alisema hakuna Mtume yoyote alikuja kati ya Yesu na Yeye, vipi mseme Quran imemtaja Paul 😄
 
yupo sawa...hataki kusikia hadithi dhaifu
Sio Dhaifu Muslim kwenye Taqiya hata ukidanganya waislam wakafurahi hiyo inapita.. ila baadae ikikosolewa inaitwa Dhaifu hiyo so anything fanya kama kuutetea Uislam.. Kuna Video Muslim anampa sifa zote Mtume, kuwa mume mwema, kiongozi bora ana upendo, mkarimu, hana tamaa, aliishi kimasikini ila vyote ni uongo vice versa jamaa ana chant hadi machozi yanamtoka... jitu lina wake 11 zaidi watumwa lina lala nao waumini anawala, kwenye vita mali zikigawanwa yeye nyingi zaidi, aliua wayahudi wote kwenye mji wao wa Madina..
 
Hivyo si ajabu kwao kutoa kauli hizo! Hao ni wapinzani wa Mtume na Uislam
Ndugu yangu Hammaz

Qur'an 49:6


Enyi mlio amini! Akikujieni mpotovu na khabari yoyote, ichunguzeni, msije mkawasibu watu kwa kuto jua, na mkawa tena wenye kujuta kwa mliyo yatenda.

Qur-an 5:8



8. Enyi mlio amini! Kuweni wasimamizi madhubuti kwa ajili ya Mwenyezi Mungu mkitoa ushahidi kwa haki. Wala kuchukiana na watu kusikupelekeeni kutofanya uadilifu. Fanyeni uadilifu. Hivyo ndio kuwa karibu mno na uchamngu. Na mcheni Mwenyezi Mungu. Hakika Mwenyezi Mungu anazo khabari za mnayo yatenda.
 
Unawazungumzia Isis gani? Hawa ambao kiongozi wao kakamatwa Libya na kakiri kuwa ni kachero wa Mossad?

Angalia picha hapo uone kiongozi wa Isis akiwa na viongozi tofauti wa Marekani n.k
Ila waislam mnashida ya akili
 
Nakuacha na Ujinga wako kaulize Sheikh anayejua kiarabu akuambie Bulus ni nani... kama huendani na age ndio nakuona wewe ni foolish donkey.
Bulus Shoga kivipi na hana historia hiyo Mohamed ndie Shoga alidinywa na wanaume weusi usiku mzima asubuhi akawa analalamika maumivu...

Wewe unapenda ligi na sio kuelewa au unafanya makusudi tu sababu ya ujinga.. Koran imethibitisha Torati na Injili kuwa ni vitabu vya Allah kipindi hicho kuwa vipo sawa so kama unavibishia is up to you utabishana na Allah wako...
Qoran 3:3 نَزَّلَ عَلَيْكَ ٱلْكِتَـٰبَ بِٱلْحَقِّ مُصَدِّقًۭا لِّمَا بَيْنَ يَدَيْهِ وَأَنزَلَ ٱلتَّوْرَىٰةَ وَٱلْإِنجِيلَ ٣

He has revealed to you ˹O Prophet˺ the Book in truth, confirming what came before it, as He revealed the Torah and the Gospel
Maandiko yalikujieni kwa haki, yakiamini yaliyo mikononi mwake, na kuyafunua Torati na Injili.

10 94
فَإِن كُنتَ فِى شَكٍّۢ مِّمَّآ أَنزَلْنَآ إِلَيْكَ فَسْـَٔلِ ٱلَّذِينَ يَقْرَءُونَ ٱلْكِتَـٰبَ مِن قَبْلِكَ ۚ لَقَدْ جَآءَكَ ٱلْحَقُّ مِن رَّبِّكَ فَلَا تَكُونَنَّ مِنَ ٱلْمُمْتَرِينَ ٩٤

If you ˹O Prophet˺ are in doubt about ˹these stories˺ that We have revealed to you, then ask those who read the Scripture before you. The truth has certainly come to you from your Lord, so do not be one of those who doubt,
Tuulizeni sisi watu wa kitabu
 
Unawazungumzia Isis gani? Hawa ambao kiongozi wao kakamatwa Libya na kakiri kuwa ni kachero wa Mossad?

Angalia picha hapo uone kiongozi wa Isis akiwa na viongozi tofauti wa Marekani n.k
Waislam kwa story za kupika!! Mnatisha kama baba yenu yule SHETANI MKUBWA kabisa-Allah
 
Nimesema nikitaka Hadith kumi kumi toka kwao utazitafuta kwa shida,Bilal anayo moja tu ya kukusanya kobazi za mtume, wakati Abu huraira aliyesilimu miaka mitatu kabla ya mtume kufariki ana hadithi zaidi ya elfu tatu,
Bilal ana hadithi zaidi ya Moja. Ukisoma kwenye Sunan Abu Daudi zipo, kwenye Sahihi Muslim utakuta kadhalika kwenye Sunan Tirmidh utakuta.

Kingine kuhusu swahaba Abuu Huraira kuhadithia hadithi nyingi kuna sababu zaidi ya tatu wanazuoni wamezielezea.
 
Kwanini hujibu swali langu ? Nimekutaka uthibitishe ya kuwa hayo ni uongo na hajasema Mtume. Unaleta stori.
 
Mhhhh
Wewe!
 
Unawazungumzia Isis gani? Hawa ambao kiongozi wao kakamatwa Libya na kakiri kuwa ni kachero wa Mossad?

Angalia picha hapo uone kiongozi wa Isis akiwa na viongozi tofauti wa Marekani n.k
Kama alikutana na senator wa marekani inakufanya Aboubakar Al Baghdad kutokua Muislam? Osama bin Laden alikua trained na CIA je ilimuondolea uislam wake? Dini ya uislam haiwezi kushea space na dini nyingine endapo waislam mtaamua ku-practice uislam kwa 100%.

Hapo Tanzania tungekua tunawalipa Kodi ya jizya,wanawake wasio waislam wangekua wanaruhusiwa kutumika kingono na wanaume wa kiislam bila huruma nk. Islam is not a religion of peace against other faiths.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…