Naomba Ufafanuzi kwanini Mwana wa Mfalme wa Saudia ameshika Kasi sana ktk kufanyia mafundisho mengi ya dini ya kiislam?

Kasomea seminary
 
Hakukuwa na Vitabu kwa maana in text form, ila watu Wali memorize hizo hadith kama vile ambavyo Outhman kaandika Quran in book haimaanishi Quran haikuwepo.

Kama wewe ni muisilamu na umesoma Madrasa hata kidogo utafahamu memorization inapewa priority kuliko Text na makaratasi, hadith was there hata kabla mtume hajafariki.

Pia maimamu sio 200+ kwenye Uisilamu kuna
-Sahaba (walionana na mtume)
-Tabiina (walionana na walionana na mtume aka masahaba)
-Tabi tabiina (walionana na walionana na Masahaba)

Hizo ni kama Karne 3, na Maimamu KAMA Malik ni miaka 90 tu After Hijra na kama miaka 80 toka afariki mtume na sio miaka 200. Malik alizaliwa 93AH.

Na Hawa Maimamu walisoma kwa Masahaba ama wanafunzi wa Masahaba na Tabii wengine ambao walimuona mtume, mfano Abu Hanifa amekutana na Masahaba kama 17,

So Hadithi zilikuwa memorized wakati wa mtume na kuwekwa in text form na watu waliomuona mtume, na kuendelea kuwa graded na Maimamu ambao ni Tabiina na kukusanywa kwenye vitabu vikubwa na Tabii Tabiina kama Kina Bukhari.
 
Umefika mbali sana..

Point yangu ni kwamba uislamu umejengwa na Qur an plus Hadith ili kupata mfumo mzima wa maisha....Kwa maana hiyo kufungamana kwa Qur an na hadithi ni kuonyesha usahihi wa njia ya uislamu.

Kitabu kilichoshushwa ni Qur an na mtume alipopewa utume , kutoka hapo alifuata Qur an yaani "hakutenda bali yaliamarishwa na Qur an "....zipo hadith nyingi sahil na ndio zimeleta muongozo wa ibada na dua tunazofanya ila Hadith dhaifu zipo nao kuna watu walishindwa kuthibitisha na ilikuwa ishu ya kimapokeo.

Hawa wanaotaka kuingiza hoja zao na mitazamo yao bila ya uthibitisho yaani kwamba mtume alienda kinyume na Qur an !?Inawezekana kweli?

Kama sio muongozo wa Qur an basi pangezuka mengi katika uislamu hata mapokeo ni machache yalichambuliwa na kuthibitishwa .


Point yangu 👉Qur an ndio ufunguo za hizo hadithi ili kujua ni ya kweli au laah.
 
Maliki hawezi kuwa kasoma kwa maswahaba,sababu kazaliwa miaka 76 baada ya kifo cha mtume,maswahaba hawakuwa watoto bali watch wazima ambao walikaribiana sans unri na mtume,maliki na abu hanifa wamesoma kwa iman jaffar
So kweli kwamba quran imekuja kuandikwa na uthman bin affan,hayo ni mapokeo tunayabeba tu, quran 25:5 inapinga hilo,na kuna aya nyingi zinaazoonesha
 
Mkuu mbona vitu Vyote vipo wazi kwanini tu guess guess tu?

Sahaba wa Mwisho Kufariki ni Ana's bin Malik amefariki mwaka 712 (93AH) basra Iraq.

Kwa Hoja yako aliezaliwa 76AH hawezi kutana na aliekufa 93AH? Miaka 17 huyo ni mtu mzima na fahamu zake kama anasoma hapo Asha memorize Quran nzima na vitabu kadhaa vya Hadith.
 
USichokijua ni kwamba waislamu muongozo wetu ni quran hatujawahi kufuatisha mtu kama nyiè papa leo kaamua mashoga wataruhusiwa kuoana na kubarikiwa kanisani , sisi muongozo wetu ni quran na haijawahi kubadilishwa na haitobadilika hata nukta moja

Hayo ni maneno tu,wapi biblia imebadilishwa?
 

Mkuu tofautisha ombaomba wa siku ya ijumaa au idia au ramadhani na kusaidia wahitaji kila siku hasa kwa kuwapa elimu ya kimwili na kiroho pia kuwapatia huduma za afya na kijamii.

Jamii inapaswa kukombolewa yote na sio matajiri wachache walishe masikini wengi. Hiyo jamii lazima ifeli.
 
Maana yake anas kafariki miaka 79 baada ya kifo Cha mtume,yeye alikua na umri gani!?
 

jews walikuwa wanamdhihaki kwa kutumia hear say za jews ancient stories na kuziweka kwenye quran akidhani ndo mafundisho ya jews katika dini yao.. maana alichanganya hadi vizaz vya kiyahudi.. akachanganya.. hii inaonyesha alikuwa ansikia mafundisho ya uyahudi na dini yao na katika kujaribu kuwavuta kwake akatumbukiza hayo mafundisho katuka quran ila tatizo sababu alikuwa haongei kiyahudi alishindwa kujua baadhi ya maana za mafundisho akajikuta anageuza geuza mambo
 
Nimeisha kueleza kuna hadith fake na ziko sahihi hizo mnazo tuletea hapa ni fake sa niongee mara ngapi? Hadithi yoyote ile haindi na Uislam haiwezi kuwa ni hadith sahihi hata siku moja.
Sasa hizo ulizo zitolea mfano nataka uonyeshe ufake wake, tusiende huko kwingine ambapo najua hupawezi.
 
Aisee naona mjadala mzito hapa! Mimi naomba kufahamu baadhi ya Makafir ( nikiwemo ) husema kuwa Waislam wameahidiwa pepo ya mito ya pombe na mabikira 72 .Binafsi hili Mimi nimejulia kutokana na masimulizi ya watu ! Je hili limeandikwa kwenye Quran au ni Hadith!
 
Kasomea seminary
Yaani ukitaka kujua kuwa Yahweh ni muweza yote, Mwana wa Mfalme Mohammad Bin Salman hajawahi kusoma nje. Mungu akiamua tu kumtumia mtu atamuwezesha kwa kila hali
 
Wewe msomi gani!!??
Ona hawa waislam wenzio ambao ndyo wasomi kweli kweli wa Quran; maana Quarn imejaa ngono tupu hata kwa maskini watoto wadogo wa kiume

View: https://x.com/AzzatAlsaalem/status/1725555875811557775?s=20
 
Mambo yenu ya kuruhusu ushoga kanisani unajifanya kama huyaoni hila unaleta mada kututoa kwenye mjadala wa mashoga na wasagaji kuanza kubatizwa kanisani na muda sio mrefu mnaanza kuwafungisha ndoa
 
Mambo yenu ya kuruhusu ushoga kanisani unajifanya kama huyaoni hila unaleta mada kututoa kwenye mjadala wa mashoga na wasagaji kuanza kubatizwa kanisani na muda sio mrefu mnaanza kuwafungisha ndoa
Wafiraji na wafirwaji nao Wana mhitaji Mungu ,Kwa Nini wasibatizwe! Hii tabia ilikuwepo Toka Mungu alipoumba Dunia!Kumbuka haka katabia ni maarufu sana pale Mashariki ya Kati kule Dini za kisasa zilipozqliwa!Hata hapa Afrika Mashariki marneo yanayoongoza kwa Ushoga na Usagaji ni Yale yenye mafungamani na Mashariki ya Kati,...Mombasa ,Tanga,Dsm,Zanzibar nk.
 
Sasa tumwamini nani, wewe mswahili uliyeletewa dini na mashua au yeye muislamu original kabisa na mweny historia yote sahihi kuhusu mtume?
Hakuna muislamu original kutokana na race yake, sisi dini yetu haina ubaguzi ndo maana ukitizama msikitini tunasimama kiunyenyekevu pamoja, tajiri maskini mrefu mfupi mweusi mweupe, wote tunasimama hapo tukiwa na yakini sote ni waja wa allah wenye haki sawa mbele zake.

"Enyi watu! hakika sisi tumekuumbeni kutokana na mwanaume mmoja na mwanamke mmoja, na tumekufanyeni kuwa ni mataifa na makabila ili mjuane tu, hakika aliye mtukufu zaidi kati yenu kwa Allah ni aliye mchamungu zaidi katika nyinyi, hakika allah ni mwenye ilimu, mwenye khabari zote."
Qur'an 49:13


So kwenye uislamu hatuna watu daraja la kwanza kisa ni waarabu, kwetu sote ni sawa, mimi ni mweusi lakini utakuta katika watu tunaowafundisha na wanakuja kwetu wakiwa hawana wanachojua wengine ni waarabu, shukran.
 
Kwenye elimu ya mustwalahul hadiyth hayo mambo yanasomwa katika ngazi za mwanzo mwanzo sana, hadithi ikiwa inapingana na Qur'an hata ukitizama katika chain of narrators utakuta kuna watu hawaeleweki na wala hawajulikani mbele za wanawachuoni wa jarhu na ta'aadiyl.

Ninachokusudia ni hadithi sahihi zilizothibiti kutoka kwa mtume swala na amani ziwe juu yake, na wanawachuoni allah awarehemu wameweka misingi mizuri kabisa na wamefanya kazi kubwa ya kuzisahihisha hadithi na kuzidhoofisha zile ambazo hazijafika vigezo vya usahihi.

Kwahyo tunaweza kusema hadithi sahihi ni aina miongoni mwa aina za wahyi, amesema allah hali ya kuwa ametukuka:

"......nasi tumekuteremshia wewe ukumbusho ili uwabainishie watu yale yaliyoteremshwa kwao, na ili wapate kutafakari."
Qur'an 16:44


Hivyo katika ukamilifu wa uislamu na kuiswadikisha Qur'an lazima yawepo maneno ya mtume swala na salaam ziwe juu yake, yatakayoenda sambamba na Qur'an ili kuwabainishia watu hiyo Qur'an na ili wapate kutafakari.

Allah akulipe kheri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…