Naomba Ufafanuzi kwanini Mwana wa Mfalme wa Saudia ameshika Kasi sana ktk kufanyia mafundisho mengi ya dini ya kiislam?

Naomba Ufafanuzi kwanini Mwana wa Mfalme wa Saudia ameshika Kasi sana ktk kufanyia mafundisho mengi ya dini ya kiislam?

Miaka ya hivi Karibuni aliripotiwa na Al Arabiya kuwa asilimia zaidi ya 90 ya Hadith za Mtume hazifai kuwa vyanzo dini ya kiislam; sasa hivi amesema hadithi zote kwa sababu ziliandikwa miaka takribani 280 baada ya Mtume Mohammad kufa, hazifai kuwa chanzo Cha Imani ya kiislam
View attachment 2816463
Kwa sasa amepiga marufuku wanafunzi wa kike kuvaa habaya, Hijabu na niqab siku za mitihani, huko mitaani kuvaa Hijabu si shurti tena ila ni takwa la mwanamke na ameruhusu matamasha ya muziki ambako wanawake na wanaume wanachanganyiki
View attachment 2816466
Mimi kwa maoni yangu, huenda huyu Mwana wa Mfalme amesoma vizuri Quran yao Pamoja na hadithi za Mtume Mohammad akajionea mwenyewe madudu yaliyoko huko; mfano mzuri ni Sahih Al-Bukhari 4950 ambayo Shangazi wa Mtume Mohammad alimuita Allah "Shetani" na Allah mwenyewe HAKUPINGA kuitwa hivyo. Hii ikimaanisha kiukweli yule ambaye alimpa Mtume maahizo yote ya kwenye Quran ni Shetani
View attachment 2816477
Kasomea seminary
 
Kama bukhari na Muslim waliosoma kwa hao maimamu wanne maana yake hao maimamu walikusanya hizo hadithi miaka 200+ baada ya kifo Cha mtume saw,bukhari na Muslim waliendeleza kazi za wazee wai za kukusanya Hadith,wakati wa mtume hapakua na vitabu vya Hadith
Hakukuwa na Vitabu kwa maana in text form, ila watu Wali memorize hizo hadith kama vile ambavyo Outhman kaandika Quran in book haimaanishi Quran haikuwepo.

Kama wewe ni muisilamu na umesoma Madrasa hata kidogo utafahamu memorization inapewa priority kuliko Text na makaratasi, hadith was there hata kabla mtume hajafariki.

Pia maimamu sio 200+ kwenye Uisilamu kuna
-Sahaba (walionana na mtume)
-Tabiina (walionana na walionana na mtume aka masahaba)
-Tabi tabiina (walionana na walionana na Masahaba)

Hizo ni kama Karne 3, na Maimamu KAMA Malik ni miaka 90 tu After Hijra na kama miaka 80 toka afariki mtume na sio miaka 200. Malik alizaliwa 93AH.

Na Hawa Maimamu walisoma kwa Masahaba ama wanafunzi wa Masahaba na Tabii wengine ambao walimuona mtume, mfano Abu Hanifa amekutana na Masahaba kama 17,

So Hadithi zilikuwa memorized wakati wa mtume na kuwekwa in text form na watu waliomuona mtume, na kuendelea kuwa graded na Maimamu ambao ni Tabiina na kukusanywa kwenye vitabu vikubwa na Tabii Tabiina kama Kina Bukhari.
 
Hawa watu wanasikitisha sana Accumen Mo na inamankusweke nakusihini pamoja na kuisihi nafsi yangu katika kumcha Allah na kusoma mafundisho Sahi ya dini yetu ili tuongeze ufahamu na ujuzi katika masuala mbalimbali ya kidini.

Ni ajabu sana muislamu kukataa hadithi kabisa kwa madai Qur'an inatosha na mengineyo hata kikawaida darasani lazima mwalimu awepo wa kufafanua mafundisho katika kitabu na kuelezea namna ya kuyaendea ndio maana haukupewa vitabu pekee ujisomee mpaka darasa la 7 , secondary nk japo mtu anauwezo wa kusoma na kuelewa sasa iweje elimi ya dini iachwe hivi hivi na kufungua mlango wa kila mtu kutumia fikra zake ?

Mimi nimesoma Qur'an yote word to word sehemu nyingine kibao vitu vimeweka in general ukiweka fikra zako unapotea lazima upate muongozo kuhusu umahasusi wa Aya ,lengo na ufanuzi kupitia hadithi n.k

Hata Ibada zetu tunazoziendea kila siku huwezi kukuta katika Qur'an in details nyingine hata kutwaja hazijatajwa , sasa kusema Qur'an inatosha hakuna haja ya hadithi ni sawa na kuipinga Qur'an yenyewe na kufanya uislamu uwe kama ugalatia kila mtu kutia fikra zake.

Uzuri ni kwamba hadithi hazikuwa zinachukukiwa kiholela kama maneno ya vijiweni bali kuna mlolongo wake na elimu pana katika hilo. Dini ninkusoma na sio kuleta fikra ,jazba na mihemko..
Umefika mbali sana..

Point yangu ni kwamba uislamu umejengwa na Qur an plus Hadith ili kupata mfumo mzima wa maisha....Kwa maana hiyo kufungamana kwa Qur an na hadithi ni kuonyesha usahihi wa njia ya uislamu.

Kitabu kilichoshushwa ni Qur an na mtume alipopewa utume , kutoka hapo alifuata Qur an yaani "hakutenda bali yaliamarishwa na Qur an "....zipo hadith nyingi sahil na ndio zimeleta muongozo wa ibada na dua tunazofanya ila Hadith dhaifu zipo nao kuna watu walishindwa kuthibitisha na ilikuwa ishu ya kimapokeo.

Hawa wanaotaka kuingiza hoja zao na mitazamo yao bila ya uthibitisho yaani kwamba mtume alienda kinyume na Qur an !?Inawezekana kweli?

Kama sio muongozo wa Qur an basi pangezuka mengi katika uislamu hata mapokeo ni machache yalichambuliwa na kuthibitishwa .

Point yangu 👉Qur an ndio ufunguo za hizo hadithi ili kujua ni ya kweli au laah.
 
Hakukuwa na Vitabu kwa maana in text form, ila watu Wali memorize hizo hadith kama vile ambavyo Outhman kaandika Quran in book haimaanishi Quran haikuwepo.

Kama wewe ni muisilamu na umesoma Madrasa hata kidogo utafahamu memorization inapewa priority kuliko Text na makaratasi, hadith was there hata kabla mtume hajafariki.

Pia maimamu sio 200+ kwenye Uisilamu kuna
-Sahaba (walionana na mtume)
-Tabiina (walionana na walionana na mtume aka masahaba)
-Tabi tabiina (walionana na walionana na Masahaba)

Hizo ni kama Karne 3, na Maimamu KAMA Malik ni miaka 90 tu After Hijra na kama miaka 80 toka afariki mtume na sio miaka 200. Malik alizaliwa 93AH.

Na Hawa Maimamu walisoma kwa Masahaba ama wanafunzi wa Masahaba na Tabii wengine ambao walimuona mtume, mfano Abu Hanifa amekutana na Masahaba kama 17,

So Hadithi zilikuwa memorized wakati wa mtume na kuwekwa in text form na watu waliomuona mtume, na kuendelea kuwa graded na Maimamu ambao ni Tabiina na kukusanywa kwenye vitabu vikubwa na Tabii Tabiina kama Kina Bukhari.
Maliki hawezi kuwa kasoma kwa maswahaba,sababu kazaliwa miaka 76 baada ya kifo cha mtume,maswahaba hawakuwa watoto bali watch wazima ambao walikaribiana sans unri na mtume,maliki na abu hanifa wamesoma kwa iman jaffar
So kweli kwamba quran imekuja kuandikwa na uthman bin affan,hayo ni mapokeo tunayabeba tu, quran 25:5 inapinga hilo,na kuna aya nyingi zinaazoonesha
 
Mkuu mbona vitu Vyote vipo wazi kwanini tu guess guess tu?

Sahaba wa Mwisho Kufariki ni Ana's bin Malik amefariki mwaka 712 (93AH) basra Iraq.

Kwa Hoja yako aliezaliwa 76AH hawezi kutana na aliekufa 93AH? Miaka 17 huyo ni mtu mzima na fahamu zake kama anasoma hapo Asha memorize Quran nzima na vitabu kadhaa vya Hadith.
 
USichokijua ni kwamba waislamu muongozo wetu ni quran hatujawahi kufuatisha mtu kama nyiè papa leo kaamua mashoga wataruhusiwa kuoana na kubarikiwa kanisani , sisi muongozo wetu ni quran na haijawahi kubadilishwa na haitobadilika hata nukta moja

Hayo ni maneno tu,wapi biblia imebadilishwa?
 
Kaka sisi haturuhusiwi hata kula wakati jirani yako ana njaa, ndio maana unaona misikitini ombaomba wanajaa ijumaa lakini hukuti ombaomba wakijaa kanisani, tumeamrishwa kutoa na kukirimu masikini na binaadamu wengine,
Angalia mwezi wa ramadhani na sikuku ya iddi watu wanavyolishwa bure na kupewa sadaka mbalimbali bila ya kuangalia dini, huo ndio uislamu

Mkuu tofautisha ombaomba wa siku ya ijumaa au idia au ramadhani na kusaidia wahitaji kila siku hasa kwa kuwapa elimu ya kimwili na kiroho pia kuwapatia huduma za afya na kijamii.

Jamii inapaswa kukombolewa yote na sio matajiri wachache walishe masikini wengi. Hiyo jamii lazima ifeli.
 
Mkuu mbona vitu Vyote vipo wazi kwanini tu guess guess tu?

Sahaba wa Mwisho Kufariki ni Ana's bin Malik amefariki mwaka 712 (93AH) basra Iraq.

Kwa Hoja yako aliezaliwa 76AH hawezi kutana na aliekufa 93AH? Miaka 17 huyo ni mtu mzima na fahamu zake kama anasoma hapo Asha memorize Quran nzima na vitabu kadhaa vya Hadith.
Maana yake anas kafariki miaka 79 baada ya kifo Cha mtume,yeye alikua na umri gani!?
 
Mudy muongo Koran inasema Swala ni tatu tu pekee yeye katoa wapi hizo 50 mara zikawa 5.. ni fabricate tu due stupitidy kwa muslim at that time even now wanafuatisha tu.. Uongo wake kama unakbalika basi Koran ni uongo kwa hizo Contradictions zilivyokuwa nyingi..

Aya ya Kuswali swala Tatu ipo Moja tu.
Koran HUD 114. Na shika Sala katika ncha mbili za mchana na nyakati za usiku zilizo karibu na mchana. Hakika mema huondoa maovu. Huu ni ukumbusho kwa wanao kumbuka.
Establish prayer ˹O Prophet˺ at both ends of the day and in the early part of the night.1 Surely good deeds wipe out evil deeds. That is a reminder for the mindful.
Kusali kwa Mtume (s.a.w.w.) katika ncha zote mbili za mchana na mwanzoni mwa usiku.1 Hakika matendo mema huyafuta matendo maovu. Hayo ni mawaidha kwa wenye kukumbuka.

وَأَقِمِ ٱلصَّلَوٰةَ طَرَفَىِ ٱلنَّهَارِ وَزُلَفًۭا مِّنَ ٱلَّيْلِ ۚ إِنَّ ٱلْحَسَنَـٰتِ يُذْهِبْنَ ٱلسَّيِّـَٔاتِ ۚ ذَٰلِكَ ذِكْرَىٰ لِلذَّٰكِرِينَ ١١٤

Kama alienda Mbinguni kwa Kutumia Mule Punda chotara na farasi... Bila mtu yeyote kushuhudia alafu kipindi hicho ndio alikuwa ameingiliwa na Iblisi even alikuwa akisema amesex na wake zake wakati ni uongo Aisha alilamika Mumewe ana mashetani anaandika aya za kishetani baadae Mtume akaulizwa akasema ndio Shetani alimuingilia ila akamumba Allah hivyo akamshawishi Shetani na Shetani akawa Muislam na shetani alimuongoza Mudy kwa mambo mazuri... pata picha hiyo..

Uongo wa aya Alipo Allah na Malaika ili Maraika amfikie Allah Mbingu ya Saba anatumia speed ya mwanga na atatumia miaka Elfu moja kwenda kwa Allah na akirudi anatumia Miaka elfu Moja tena hii inaonesha Mudy ni Muongo sababu Aya alikuwa akishushiwa kwa awamu inamaana Aya ya kwanza aliyoshushiwa hadi leo hii ingekuwa Aya ya pili hajapokea... Stupid Dini zamani majitu yalikuwa majinga sana maarabu.. ndio maana Jews na Manasara walikuwa wanamtoa nishani akwachukia mno ndio chanzo cha chuki na non Muslim...

jews walikuwa wanamdhihaki kwa kutumia hear say za jews ancient stories na kuziweka kwenye quran akidhani ndo mafundisho ya jews katika dini yao.. maana alichanganya hadi vizaz vya kiyahudi.. akachanganya.. hii inaonyesha alikuwa ansikia mafundisho ya uyahudi na dini yao na katika kujaribu kuwavuta kwake akatumbukiza hayo mafundisho katuka quran ila tatizo sababu alikuwa haongei kiyahudi alishindwa kujua baadhi ya maana za mafundisho akajikuta anageuza geuza mambo
 
Nimeisha kueleza kuna hadith fake na ziko sahihi hizo mnazo tuletea hapa ni fake sa niongee mara ngapi? Hadithi yoyote ile haindi na Uislam haiwezi kuwa ni hadith sahihi hata siku moja.
Sasa hizo ulizo zitolea mfano nataka uonyeshe ufake wake, tusiende huko kwingine ambapo najua hupawezi.
 
Aisee naona mjadala mzito hapa! Mimi naomba kufahamu baadhi ya Makafir ( nikiwemo ) husema kuwa Waislam wameahidiwa pepo ya mito ya pombe na mabikira 72 .Binafsi hili Mimi nimejulia kutokana na masimulizi ya watu ! Je hili limeandikwa kwenye Quran au ni Hadith!
 
Kasomea seminary
Yaani ukitaka kujua kuwa Yahweh ni muweza yote, Mwana wa Mfalme Mohammad Bin Salman hajawahi kusoma nje. Mungu akiamua tu kumtumia mtu atamuwezesha kwa kila hali
 
Hoja zako zote nilizokujibu hakuna hata moja uliyofurukuta nayo!

Unajua ni kwa nini?
Kwa sababu mimi ni msomi wa hii dini na wewe si msomi wa hii dini. Kwangu huwezi kufurukuta.

Njia pekee uliyobaki nayo ni hii ya kuchochea kejeli za hapa na pale. Na kwa bahati mbaya mimi si muumini wa hiyo michezo yenu.

Wewe kama una hoja lete utajibiwa. Mbali na hapo michezo ya kejeli mimi siiwezi.
Wewe msomi gani!!??
Ona hawa waislam wenzio ambao ndyo wasomi kweli kweli wa Quran; maana Quarn imejaa ngono tupu hata kwa maskini watoto wadogo wa kiume

View: https://x.com/AzzatAlsaalem/status/1725555875811557775?s=20
 
Miaka ya hivi Karibuni aliripotiwa na Al Arabiya kuwa asilimia zaidi ya 90 ya Hadith za Mtume hazifai kuwa vyanzo dini ya kiislam; sasa hivi amesema hadithi zote kwa sababu ziliandikwa miaka takribani 280 baada ya Mtume Mohammad kufa, hazifai kuwa chanzo Cha Imani ya kiislam
View attachment 2816463
Kwa sasa amepiga marufuku wanafunzi wa kike kuvaa habaya, Hijabu na niqab siku za mitihani, huko mitaani kuvaa Hijabu si shurti tena ila ni takwa la mwanamke na ameruhusu matamasha ya muziki ambako wanawake na wanaume wanachanganyiki
View attachment 2816466
Mimi kwa maoni yangu, huenda huyu Mwana wa Mfalme amesoma vizuri Quran yao Pamoja na hadithi za Mtume Mohammad akajionea mwenyewe madudu yaliyoko huko; mfano mzuri ni Sahih Al-Bukhari 4950 ambayo Shangazi wa Mtume Mohammad alimuita Allah "Shetani" na Allah mwenyewe HAKUPINGA kuitwa hivyo. Hii ikimaanisha kiukweli yule ambaye alimpa Mtume maahizo yote ya kwenye Quran ni Shetani
View attachment 2816477
Mambo yenu ya kuruhusu ushoga kanisani unajifanya kama huyaoni hila unaleta mada kututoa kwenye mjadala wa mashoga na wasagaji kuanza kubatizwa kanisani na muda sio mrefu mnaanza kuwafungisha ndoa
 
Mambo yenu ya kuruhusu ushoga kanisani unajifanya kama huyaoni hila unaleta mada kututoa kwenye mjadala wa mashoga na wasagaji kuanza kubatizwa kanisani na muda sio mrefu mnaanza kuwafungisha ndoa
Wafiraji na wafirwaji nao Wana mhitaji Mungu ,Kwa Nini wasibatizwe! Hii tabia ilikuwepo Toka Mungu alipoumba Dunia!Kumbuka haka katabia ni maarufu sana pale Mashariki ya Kati kule Dini za kisasa zilipozqliwa!Hata hapa Afrika Mashariki marneo yanayoongoza kwa Ushoga na Usagaji ni Yale yenye mafungamani na Mashariki ya Kati,...Mombasa ,Tanga,Dsm,Zanzibar nk.
 
Sasa tumwamini nani, wewe mswahili uliyeletewa dini na mashua au yeye muislamu original kabisa na mweny historia yote sahihi kuhusu mtume?
Hakuna muislamu original kutokana na race yake, sisi dini yetu haina ubaguzi ndo maana ukitizama msikitini tunasimama kiunyenyekevu pamoja, tajiri maskini mrefu mfupi mweusi mweupe, wote tunasimama hapo tukiwa na yakini sote ni waja wa allah wenye haki sawa mbele zake.

"Enyi watu! hakika sisi tumekuumbeni kutokana na mwanaume mmoja na mwanamke mmoja, na tumekufanyeni kuwa ni mataifa na makabila ili mjuane tu, hakika aliye mtukufu zaidi kati yenu kwa Allah ni aliye mchamungu zaidi katika nyinyi, hakika allah ni mwenye ilimu, mwenye khabari zote."
Qur'an 49:13

So kwenye uislamu hatuna watu daraja la kwanza kisa ni waarabu, kwetu sote ni sawa, mimi ni mweusi lakini utakuta katika watu tunaowafundisha na wanakuja kwetu wakiwa hawana wanachojua wengine ni waarabu, shukran.
 
Sikiliza nikuambie hakuna hadithi ya kweli inapingana na Qur an ....Ina maana ni mule mule hamna tija ...Kutofuata hadithi ni dhambi?

Katika hadithi lazima uwe na elimu ya Qur an ,kwa nn kuna hadithi dhaifu na wewe unatumia kigezo kutambua hadith sahili!?

Point ni pale pale usome hadithi ili iwe ya kweli isipingane na Qur an maana Qur an ndio muongozo.

Ukisoma hadithi kuna hadithi inasema "Mtume hafanyi bali kilichoamrishwa na Qur an"

Usitumie Ego ina maana matendo ya mtume yanaendana na Qur an hazina tofauti ,ukijua Qur an ndio itakupa muongozo hata mtu akitaka kudanganya ...

Maana hiyo Qur an ndio imesema mtume ni kiigizo au mfano mzuri..

Short and clear Qur an ndio muongozo wa yote na Qur an ndio inakuwa uelewa wa kuwa na akili ipi ni hadithi dhaifu....Baada ya kutwawafu kwa mtume palitokea watu wakitaka kurithi uongozi ambao ndio wengine walizua mambo (Bidaa) ,hapa sijataja bidaa kwa ni kitu ila kuna mambo yalizuliwa na ni uongo Mtume hakuwahi kufanya.
Kwenye elimu ya mustwalahul hadiyth hayo mambo yanasomwa katika ngazi za mwanzo mwanzo sana, hadithi ikiwa inapingana na Qur'an hata ukitizama katika chain of narrators utakuta kuna watu hawaeleweki na wala hawajulikani mbele za wanawachuoni wa jarhu na ta'aadiyl.

Ninachokusudia ni hadithi sahihi zilizothibiti kutoka kwa mtume swala na amani ziwe juu yake, na wanawachuoni allah awarehemu wameweka misingi mizuri kabisa na wamefanya kazi kubwa ya kuzisahihisha hadithi na kuzidhoofisha zile ambazo hazijafika vigezo vya usahihi.

Kwahyo tunaweza kusema hadithi sahihi ni aina miongoni mwa aina za wahyi, amesema allah hali ya kuwa ametukuka:

"......nasi tumekuteremshia wewe ukumbusho ili uwabainishie watu yale yaliyoteremshwa kwao, na ili wapate kutafakari."
Qur'an 16:44

Hivyo katika ukamilifu wa uislamu na kuiswadikisha Qur'an lazima yawepo maneno ya mtume swala na salaam ziwe juu yake, yatakayoenda sambamba na Qur'an ili kuwabainishia watu hiyo Qur'an na ili wapate kutafakari.

Allah akulipe kheri.
 
Back
Top Bottom