Naomba Ufafanuzi kwanini Mwana wa Mfalme wa Saudia ameshika Kasi sana ktk kufanyia mafundisho mengi ya dini ya kiislam?

Kwahiyo waislam mnasali msikiti mmoja.

Umevimbiwa kitimoto bila shaka.
 
Wewe ngozi nyeusi unamzidi nini huyo muarab mnaoenda Kuhiji kwao Hadi umkosoe..? Anakuzidi kila kitu kitu hela na dini alioisoma na hata desturi
 
Wafuasi useless, mnamuabudu shetani kwa jina la Allah, na Allah ndiyo shetani mwenyewe.
 

kama ana question the credibility ya hizo hadith, he is right ila anatakiwa asiwe biased alitakiwa a question pia credibility ya Quran kwani na yenyewe imekuwa compiled almost 100 years baada ya mtume kufa.. na mode of compliation ni ile ile from several source.. kwani wakat mtume yupo maono yake aliokuwa anashushiwa yalikuwa yana rekodiwa aidha by writing au emorazing na watu tofauti wa karibu yake namaanisha maswahaba wake.. almost 100 years latter ndo yakawekwa kwenye kitabu kimoja.... baada ya kukuswanywa.. na hapo ni baada ya ku hariri.. kwani kulikuwa na pages za quran zlizokuwa kwenye dialect tofauti.. maana yake matamshi

ilibidi ichaguliwe moja kuweza kuweka uniformity... hata Mke wa Mtume bi Khadioja inasemekana nae alikuwa na kipande cha quran (aya) ..maana kabla ya quran kuwa kweney kitabu kimoja kulikuwa na copies za vijikaratasi tofauti tofauti


na siko hapa kusema kuwa Quran sio kitabu kitakatifu.. ama biblia.. maana hata katiba tunaipa heshima tofauti ingawa kimsingi mie naangalia kwa mlengo wa kati kwa maana ya originality ya kitu .. kama wana historia wanavyofanya.. so ukirudi nyuma utakutana na manuscript tofaut tofauti za quran na bibles za zaid ya miaka 300 na kuendelea maana yake kuna mtu aliandika .. then zikawa compiled


swali la msingi kama anahoji kwa maana ana wasiwasi kuwa pengine walioandika wameongeza na ya kwao au wamepunguza.. vip kuhusu walio compile quran.. maana walikusanya aya kutoka kwa source tofauti kwa aidha manucript zilizoandikwa au aya zilizokwuz memorized.. je hao hawawez ku ongeza au kupunguza ili kufit ajenda zao
 
Vile shetani anawasubiri hapo Kila mwaka wampige Kwa mawe,hivi waislamu wanawaza kuwa shetani ni kiwete flani hivi
 
Sikiliza ndugu hoja hapo kwanini Allah alipoitwa SHETANI HAKUKANUSHA!!??
Lakini tunaoushahidi mwingine pia kuwa ALLAH ni SHETANI MWENYEWE.
1. Majina matano kati ya majina 99 ya Allah yanaonyesha yeye ndiye yule SHETANI
Mfano Quran 3:54 Allah is the best of deceivers
Quran 25:23 ALLAH causes death; ktk Biblia anayesababisha kifo ni SHETANI. Yohana 8:44 yeye ni muuzaji Tangu zamani

Ona hii video fupi ndiyo utajua hujui
Your browser is not able to display this video.

Aidha, Allah ktk Quran 17:59 alisema hawakumpa Mohammad karama ya kufanya miujiza kwa sababu waliisha acha kumtumia miujiza kutokana na watu wa hapo zamani hawakuiamini miujiza waliofanya mitume wake. Lakini hapo hapo katika Quran 7:113-122 Allah anasema watu waliamini miujiza ya Mussa. Allah ni kigeugeu
 

Attachments

  • Screenshot_20230829-235103~2.png
    40.1 KB · Views: 2
  • Screenshot_20230829-235103~2.png
    40.1 KB · Views: 2
Kwahiyo waislam mnasali msikiti mmoja.

Umevimbiwa kitimoto bila shaka.
😅😅😅Kichaa nn kila mtu kwenu ana muumini wake kuna wa Mwamposa ,kuna wa Mwacha mara sijui wale wanaomfuata Ellen G white ...Kuna wanaofuata vatican .

Hta ndoa hwawezi kuoana.
 
Mleta mada ni kiazi popoma ,kwenye mijadala mingi kazi yake kukusanya taarifa kama umbea kisha akibanwa kwenye maswali na kutakiwa hoja anakimbia.

Swali la kwanza nipe full clip video ikionyesha anazungumza hayo ,hapo hata Mimi naweza kuweka picha ya mtu kisha na kuambatanisha na maneno ninayotaka .Halafu bahati nzuri nimewahi kuona clip akihojiwa na Arabiya English channel akieleza mtazamo wake kuhusu hadithi hivyo ukiweka uwongo nitakukamata kiwepesi mno.
 
Hapo Juu kuhusu Kaafir japo unataka kulitetea ila arabuni ni jina la kuudhi kwani Kaffir au Kufar kwa wewe ulivyolitafsiri hauna mashiko kwa utetezi wako kwani Kuficha Haki ya Mungu nani alifichwa enzi za Mudy? maana kama Allah alikataliwa na wayahudi live Mudy alienda Jerusalem akahubiri even Kibra ya Kwanza ilikuwa Jerusalem ilipo sasa Mecca ni uongo pale Mecca ni kituo cha upagani haswa jiwe jeusi.

Kusema Dini ya Uislam hamchukii mtu bali ukafir wake ni uongo Mudy kaelekeza hadi kumuua mtu asiye Muislam..Jews na Christian imeelekeza kabisa hautakiwi kumsalimia non Muslim Asalam Aleykum imeelekeza ukikutana na Non Muslim msukume atumbukie mtaroni.

Issue yako ya kutetea Kodi haina mantiki kwani Mtume wenu alisema Convert or pay jizya or Die period.
The Jizya tax is levied on the non-muslim subjects in an Islamic State in order to enable the State to protect their lives and property from external enemies. It is the duty of the State to protect their citizens at times of war, where the non- muslim subjects will not be required.

Allah anapandikiza non Muslim unauliza apate faida gani? kwani Mchawi akija kukuchezea anapata faida gani? Allah ni Shetani so same work ana enjoy zake tu akiona watu wanavurugikiwa.

Utasemaje nimechagua Maisha ya Chuki.. Unataka kusema Allah hatupangii maisha yetu? so nini Maana ya neno Inshallah? Najua Waislam mnaamini kila mfayalo hamfanyi kwa matakwa yenu ni Allah kawafanya mfanye mnavyovifanya... nyie ni Watumwa wake.. Mmeumbwa ili muabudu tu.. Christian tumeumwa like baby wa Mungu tuishi for Joyful not Slavey like you guys
 
Wewe ngozi nyeusi unamzidi nini huyo muarab mnaoenda Kuhiji kwao Hadi umkosoe..? Anakuzidi kila kitu kitu hela na dini alioisoma na hata desturi
Mtume Muhammad alisema Al Nari min Asaan hatalawla sayid Al Qureshii, moto utamchomo kila aliye niipinga hata awe katika wale wafalme wa Qabila lake Mtume.

Afu we dagaa unadhani uarabu ndio dini, uislam si uarabu nikufata amri za Mungu, nyie ndio wale wajinga mnaosema Israel taifa teule 😄
 
Wataelewa tu.
 
Amefanya mabadiliko makubwa kiuchumi na kijamii
Ameruhusu wanawake kuendesha magari, kuangalia mpira uwanjani, kusafiri/kutembea mitaani bila kusindikizwa na mwanaume
 
Wanazuoni wa kiislam wanatafsiri kimakosa siyo!?..wanazuoni wa kikafiri ndiyo wanatfsir ipasavyo!?..punguani, mboyoyo nyingi...kadir waahid
 
Wanazuoni wa kiislam wanatafsiri kimakosa siyo!?..wanazuoni wa kikafiri ndiyo wanatfsir ipasavyo!?..punguani, mboyoyo nyingi...kadir waahid
 
😅😅😅😅Hizo tafsiri zako dogo soma uelewe ni urongo mtupu unaoandika maana hata hujuo unaandika nn...kwa mfano yesu kashushiwa injili katika kiebrania (Hebrew) hata biblia ya agano la kale ipo hivyo na uhuni wa kupotosha watu ulianzishwa na nyie mlitafsiri mkaondoa baadhi ya maandiko yaliyokuwa yanakandamiza wanawake 😅😅.

Swali hiyo ayah nionyesha wapi Allah ni deceiver!?


Then nikutafsirie hizo ayah hapo chini moja baada ya moja ,maana mpaka sasa sijaona sehemu Allah ni deceiver 😅😅
 
Elimu elimu elimu..

Hadithi imemtaja aunt yake mtume mke wa mjomba wake bwana abuu lahab(ujue abuu lahab hakuwa akiukubali uislam, si yeye, mkewe wala wanae, walikuwa wakimuita mtume mchawi, walikuwa wakimdhihaki)

Sasa shangazi yake mtume aliemda kwa mtume na kumdhihaki kuwa huyo ambae mtume anamuita mungu shangazi mtu ndio anamuita shetani, hivyo akamwambia mtume huyu shetani wako bla bla bla kakutenga, hajakushushia wahayi( ni Ufunuo ndio tukio au mchakato ambao mawasiliano kati ya Mungu na binadamu yanafanyika. Ufunuo ni pia yaliyomo katika ujumbe unaotokana na Mungu, wahayi aliokuwa akishushiwa mtume ndio quraan)
Mtume akaingiwa unyonge, ndio mungu kumwambia(kumshushia wahayi) sijakususa...................................

Mfano mdogo mama wa kambo anaeishi na mtoti wa kambo, akawa anamtukana mwanae kwa kumwambia huyo mbuzi(baba mtoto) mwenzio humu hajaacha hela yako ya shule, utaenda kwa mguu na hakupendi, wakati huo baba mtu yupo dirishani kasikia, je hapo mtoto ndio kamuita baba yake ni mbuzi!? Mtoto akatoka akamkuta baba yake nje, mzazi akamwambia nakuoenda mwanangu, nilijisahau kuacha pesa, au sikuwa nayo nimeenda kijiweni nimepata hii hapa mwanangu nenda shule kuna shida gani!?

Sasa hapo mtume hajamuita mungu shetani ila ni shangazi yake ambae ni mpinga uislam.

Sio lazima tuanzishe nyuzi za kukopi au kwa akili za kuambiwa, hujui kitu uliza, mleta mada kaonesha kwake hata lugha tu mtihani, anajua kusoma ila hawezi kuelewa alichokisoma.

Tujitahidi kusoma, au la tujifunze kuuliza kwanza..
Kuna watu huwa wanauliza maswali mazuri kabisa au wanakuja na hoja(sio kejeli) ambazo sisi wengine na elimu zetu za wastani tunaona huyu ana hoja, mpaka uchimbue mambo ndio unaona jibu lake,
 
"He said: 'My Lord, because Thou hast sent me astray, I shall certainly make (evil) fair-seeming to them on the earth, and I shall mislead them all.'" This verse refers to the response of Satan (Iblis) after being expelled from Paradise.


"This is a Straight Way to Me"
15:41 "Huu ni njia iliyonyooka kwangu."

We jamaa shule umesoma kweli!?


"Na wanapanga hila na Mwenyezi Mungu anapanga hila. Na Mwenyezi Mungu ni Mbora wa wenye kupanga hila."

"And they planned, but Allah planned. And Allah is the best of planners."

😅😅😅Jamaa shule umesoma wapi ,kwa hiyo huamini kwamba Mungu anapanga mambo yote duniani.


 
I thought unajua kiarabu kumbe umeng'ang'ania Tafsiri za Kina Sheikh ubwabwa Barwani, Abdullah na Nassir Koran App.

Sasa kama Imeandikwa wazi kuwa Allah ni Mdanganyifu unakubali au unakataa? au una pray Game but haya maandishi yangu yatawasaidia wengi watakao soma werevu not foolish one.

Me naamini am freewill ila Muislam haamini ndio maana amewaambia lazima muende kwenye Hellfire.

Koran 19:71 وَإِن مِّنكُمْ إِلَّا وَارِدُهَا ۚ كَانَ عَلَىٰ رَبِّكَ حَتْمًۭا مَّقْضِيًّۭا ٧١
There is none of you who will not pass over it.1 ˹This is˺ a decree your Lord must fulfil.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…