Naomba Ufafanuzi kwanini Mwana wa Mfalme wa Saudia ameshika Kasi sana ktk kufanyia mafundisho mengi ya dini ya kiislam?

Naomba Ufafanuzi kwanini Mwana wa Mfalme wa Saudia ameshika Kasi sana ktk kufanyia mafundisho mengi ya dini ya kiislam?

Umeona sasa elimu yako ni ndogo ,wakristo mngekuwa mnapendana tu wenyewe kwa wenyewe msingkuwa mnasali makanisa tofauti[emoji28][emoji28], msingekuwa mnakataa kuzika wenzenu kisa hajahudhuria kanisani ,msinge watenga wazinifu ilihali mnabariki ndoa zao kwamba mnahalalisha uzinifu.

Tafita wakristo ndio wanawachukia waislamu kwa asilimia kubwa ,sema nyie ni waoga sana na mnawaogopa waislamu.[emoji28]

Maadui zenu ambao mnawapenda ni hawa pombe ,nguruwe na kuhalalisha ndoa za jinsia moja maana hivyo vyote ni nachukizo ndani ya bible ila ndio rafiki zenu wakubwa.
Kwahiyo waislam mnasali msikiti mmoja.

Umevimbiwa kitimoto bila shaka.
 
Hana jipya alicho ongea Qur'an imeisha sema miaka tusifate hadithi wakati Qur'an ina kila kitu.

Kuna Waislam wanaamini hadithi aliyo ongea yeye tu, si hadithi anakuja mtu anakuwambia Albukhari sijui kasema au flani kasikia the hadith ya Mtume Muhammad can be used as Islamic law.

However, Allah says in the Quran that following any law besides the Quran is forbidden.

أَفَغَيْرَ اللَّهِ أَبْتَغِي حَكَمًا وَهُوَ الَّذِي أَنزَلَ إِلَيْكُمُ الْكِتَابَ مُفَصَّلًا
Then is it other than Allah I should seek as judge while it is He who has revealed to you the Book explained in detail? … (6:114 part)
تِلْكَ آيَاتُ اللَّهِ نَتْلُوهَا عَلَيْكَ بِالْحَقِّ ۖ فَبِأَيِّ حَدِيثٍ بَعْدَ اللَّهِ وَآيَاتِهِ يُؤْمِنُونَ
These are the verses of Allah which We recite to you in truth. Then in what statement (hadith) after Allah and His verses will they believe? (45:6)
فَبِأَيِّ حَدِيثٍ بَعْدَهُ يُؤْمِنُونَ
Then in what statement after it (the Qur’an) will they believe? (77:50)
مَا لَكُمْ كَيْفَ تَحْكُمُونَ أَمْ لَكُمْ كِتَابٌ فِيهِ تَدْرُسُونَ إِنَّ لَكُمْ فِيهِ لَمَا تَخَيَّرُونَ
What is [the matter] with you? How do you judge? Or do you have a book / scripture in which you learn that indeed for you in it is whatever you choose? (68:36–38)
Conclusion

These verses make it very clear that the only source by which to judge according to Islam is the Quran and nothing else. God even specifically questions why people would believe in any hadith after the Quran has been revealed.
Wewe ngozi nyeusi unamzidi nini huyo muarab mnaoenda Kuhiji kwao Hadi umkosoe..? Anakuzidi kila kitu kitu hela na dini alioisoma na hata desturi
 
Hakika Allah ni mwingi wa neema na mwenye kurehemu na Mtume wake ni kipenzi wa walimwengu.

Ndugu yangu kulikuwa na watu wana chuki na uislam tokea hapo umekuja, na Mtume Mohammed(s.a.w) kuutangaza mpaka leo wapo zaidi na zaidi lakini leo hii chuki zao hakuna zilipo wanufaisha. Usichukie mtu wala vitendo jifunze Uislam ulivyo kabla hujaweka chuki yako. Tupo waislam 1.4 billion hii leo wale walio chukia chuki zao wana wafuasi wangapi kama nao wametangaza dini yao?.
Wafuasi useless, mnamuabudu shetani kwa jina la Allah, na Allah ndiyo shetani mwenyewe.
 
Miaka ya hivi Karibuni aliripotiwa na Al Arabiya kuwa asilimia zaidi ya 90 ya Hadith za Mtume hazifai kuwa vyanzo dini ya kiislam; sasa hivi amesema hadithi zote kwa sababu ziliandikwa miaka takribani 280 baada ya Mtume Mohammad kufa, hazifai kuwa chanzo Cha Imani ya kiislam
View attachment 2816463
Kwa sasa amepiga marufuku wanafunzi wa kike kuvaa habaya, Hijabu na niqab siku za mitihani, huko mitaani kuvaa Hijabu si shurti tena ila ni takwa la mwanamke na ameruhusu matamasha ya muziki ambako wanawake na wanaume wanachanganyiki
View attachment 2816466
Mimi kwa maoni yangu, huenda huyu Mwana wa Mfalme amesoma vizuri Quran yao Pamoja na hadithi za Mtume Mohammad akajionea mwenyewe madudu yaliyoko huko; mfano mzuri ni Sahih Al-Bukhari 4950 ambayo Shangazi wa Mtume Mohammad alimuita Allah "Shetani" na Allah mwenyewe HAKUPINGA kuitwa hivyo. Hii ikimaanisha kiukweli yule ambaye alimpa Mtume maahizo yote ya kwenye Quran ni Shetani
View attachment 2816477

kama ana question the credibility ya hizo hadith, he is right ila anatakiwa asiwe biased alitakiwa a question pia credibility ya Quran kwani na yenyewe imekuwa compiled almost 100 years baada ya mtume kufa.. na mode of compliation ni ile ile from several source.. kwani wakat mtume yupo maono yake aliokuwa anashushiwa yalikuwa yana rekodiwa aidha by writing au emorazing na watu tofauti wa karibu yake namaanisha maswahaba wake.. almost 100 years latter ndo yakawekwa kwenye kitabu kimoja.... baada ya kukuswanywa.. na hapo ni baada ya ku hariri.. kwani kulikuwa na pages za quran zlizokuwa kwenye dialect tofauti.. maana yake matamshi

ilibidi ichaguliwe moja kuweza kuweka uniformity... hata Mke wa Mtume bi Khadioja inasemekana nae alikuwa na kipande cha quran (aya) ..maana kabla ya quran kuwa kweney kitabu kimoja kulikuwa na copies za vijikaratasi tofauti tofauti

na siko hapa kusema kuwa Quran sio kitabu kitakatifu.. ama biblia.. maana hata katiba tunaipa heshima tofauti ingawa kimsingi mie naangalia kwa mlengo wa kati kwa maana ya originality ya kitu .. kama wana historia wanavyofanya.. so ukirudi nyuma utakutana na manuscript tofaut tofauti za quran na bibles za zaid ya miaka 300 na kuendelea maana yake kuna mtu aliandika .. then zikawa compiled

swali la msingi kama anahoji kwa maana ana wasiwasi kuwa pengine walioandika wameongeza na ya kwao au wamepunguza.. vip kuhusu walio compile quran.. maana walikusanya aya kutoka kwa source tofauti kwa aidha manucript zilizoandikwa au aya zilizokwuz memorized.. je hao hawawez ku ongeza au kupunguza ili kufit ajenda zao
 
Cha Ajabu, pale Macca wanapohiji pana NYUMBA ya ALLAH walipo weka jiwe la Kaaba, na pana NYUMBA ya SHETANI ambayo huitupia mawe. Hawajiulizi tu kuwa Inawezekanaje Mahasimu wawili wakae eneo Moja???
Sasa hivi SIRI ZINAZIDI KUFICHUKA KUWA KUMBE SHETANI NDIYO HUYO HUYO ALLAH (Sahih Al-Bukhari 4950)
Kwenye Biblia Mungu alimtupilia mbali Shetani na kumzuia asiingie tena mbinguni ( Ufunuo 12:9-11)
Vile shetani anawasubiri hapo Kila mwaka wampige Kwa mawe,hivi waislamu wanawaza kuwa shetani ni kiwete flani hivi
 
Sheikh! Unachoshangaa ni nini? 12 elimu unabidi uwe nazo kwenye Uislam. Usipokuwa nazo utaleta matatizo kwenye jamii. Na mwisho wa siku utapotea na kuendelea kuwa mbishi na kuendelea kutafuta ushindani.

Mathalani ukiulizwa mke wa Abu Lahb ni nani? Utakosa jawabu!
Huyu anaitwa Arwā bint Ḥarb maarufu anajulikana kama Umm Jamil. Mume wake anaitwa Abu Lahb. Na Abou Lahb ni ammi yake Mtume.

Abu Lahb na mkewe walishamkataa Mtume Muhammad s.a.w kitambo! Walikamtaa kama ni Mtume kama Wayahudi walivyomkataa Issa mwana wa Mariam A.S.

Au kama baba wa Imani Nabii Ibrahim (Abraham) A.S alivyokataliwa na baba yake mapokeo mengine yanasema baba yake mdogo alivyomuita kwenye njia ya kumwabudu Mungu.

Ukitaka ushahidi wa hili angalia surat lahab imeelezea habari za Abu Lahb na mkewe. Imetamka Abu Lahb ameangamia na mkewe pia ameangamia.

Hivyo si ajabu kwao kutoa kauli hizo! Hao ni wapinzani wa Mtume na Uislam.

Na kama unashangaa Mitume kuumwa yeye si wa kwanza. Ameumwa Nabii Ayoub A.S miaka mingi. Nabii Yunus A.S yeye alipatwa na mtihani wa kumezwa na samaki aina ya Chewa! Nabii Yahya A.S na baba yake Nabii Zakariyya A.S wote wameuliwa na orodha inaendelea.

Unaweza ukatoa hoja mbona Mtume au Nabii mwengine haikumkuata hivyo! Tunakujibu kuwa Mungu ni muweza na anafanya anavyotaka!

Na namna nyengine kanuni za kiislamu sisi hazituambii hivyo kwa unavyofikiria wewe! Kanuni za Uislam zinatumbia unaweza kujiona umebarikiwa kumbe ndiyo umeaangamia: Firauni alikuwa hana shida za kidunia! Alikuwa ni mfalme mwenye kila kitu, kumbe ndiyo ameangamia mbele ya Mungu. Na mifano ipo mingi!

Labda nirudi kwako; hoja yako hapo ipo wapi?
Sikiliza ndugu hoja hapo kwanini Allah alipoitwa SHETANI HAKUKANUSHA!!??
Lakini tunaoushahidi mwingine pia kuwa ALLAH ni SHETANI MWENYEWE.
1. Majina matano kati ya majina 99 ya Allah yanaonyesha yeye ndiye yule SHETANI
Mfano Quran 3:54 Allah is the best of deceivers
Quran 25:23 ALLAH causes death; ktk Biblia anayesababisha kifo ni SHETANI. Yohana 8:44 yeye ni muuzaji Tangu zamani
Screenshot_20230829-235103~2.png

Ona hii video fupi ndiyo utajua hujui

Aidha, Allah ktk Quran 17:59 alisema hawakumpa Mohammad karama ya kufanya miujiza kwa sababu waliisha acha kumtumia miujiza kutokana na watu wa hapo zamani hawakuiamini miujiza waliofanya mitume wake. Lakini hapo hapo katika Quran 7:113-122 Allah anasema watu waliamini miujiza ya Mussa. Allah ni kigeugeu
 
Attachments

  • Screenshot_20230829-235103~2.png
    Screenshot_20230829-235103~2.png
    40.1 KB · Views: 2
  • Screenshot_20230829-235103~2.png
    Screenshot_20230829-235103~2.png
    40.1 KB · Views: 2
Kwahiyo waislam mnasali msikiti mmoja.

Umevimbiwa kitimoto bila shaka.
😅😅😅Kichaa nn kila mtu kwenu ana muumini wake kuna wa Mwamposa ,kuna wa Mwacha mara sijui wale wanaomfuata Ellen G white ...Kuna wanaofuata vatican .

Hta ndoa hwawezi kuoana.
 
Mleta mada ni kiazi popoma ,kwenye mijadala mingi kazi yake kukusanya taarifa kama umbea kisha akibanwa kwenye maswali na kutakiwa hoja anakimbia.

Swali la kwanza nipe full clip video ikionyesha anazungumza hayo ,hapo hata Mimi naweza kuweka picha ya mtu kisha na kuambatanisha na maneno ninayotaka .Halafu bahati nzuri nimewahi kuona clip akihojiwa na Arabiya English channel akieleza mtazamo wake kuhusu hadithi hivyo ukiweka uwongo nitakukamata kiwepesi mno.
 
Sasa ndugu mtanzania, neno la lugha nyengine wewe linakutia ukakasi. Ukiulizwa nini maana yake utaweza kuielezea?

Maana ya kaafir ni kuficha. Anayeficha haki ya Mungu isiwafikie watu kwa namna yoyote huyo anaitwa Kaafir.

Na hata dini ya Uislam inamwambia muislam auchukie ukafir. Kwa sababu ukafir ni kitendo. Asipokuwa makini hata naye anaweza akatumbukia humo. Ila muislam hajaambiwa amchukie kafir. Mimi nikikuchukia wewe sipati thawabu ya aina yoyote. Sasa vipi nifanye kitu kidichokuwa na maslahi nami?

Kwa hiyo hata ukiona mahali kwenye uislam imeandikwa; nimeamrishwa nipambane na ukafir kwa maana ni kitendo cha ukafir. Na wala si aliye kafir.

Na swala la kutozwa kodi kwani ni geni? Mbona waislam wakienda nchi za watu wanalipa kodi? Nayo hii tuisemaje?

Au kuwa na haki maalumu ni jinai? Ufalme wa British haulipi kodi. Halikadhalika kwa utawala wa kiislamu mwislamu halipi kodi. Ila usiyekuwa muislam unatakiwa ulipe kodi ni kama kwa nchi ya Uingereza wewe raia wa kawaida lipa kodi ila ufalme haiwahusu.

Kwa sababu ufalme kwa sera zake ndiyo umeilinda nchi na raia. Na kwa Uislam hivyo hivyo! Maadamu upo kwenye nchi yenye sheria za uislam, sheria hizo zinalinda mipaka yako ya nchi, na usalama wako. Hivyo, kwa jitihada za sheria hizo lipia kodi.

Tatizo liko wapi?

Na Allah akupandikizie chuki wewe ili yeye anufaike na nini ndugu mtanzania? Mwenendo wake Allah upo wazi: utakavyojielekeza naye Allah ndivyo atakavyokuelekezea huko huko! Mabadiliko yoyote yanaanza na wewe! Allah anasema hambadilishi mtu mpaka mtu atakapoamua kabadilika mwenyewe.

Hivyo ukiwa na chuki, unataka Allah akubariki nini wakati mwenyewe kwa hiari yako umechagua maisha ya chuki?

Na nikupe faida vilevile: Allah anajiweka kwenye dhana ya mja wake kwa jinsi mja anavyomdhahania. Ukimdhahania ni hana issue...sawa! Naye kwako atajiweka hana issue!
Hapo Juu kuhusu Kaafir japo unataka kulitetea ila arabuni ni jina la kuudhi kwani Kaffir au Kufar kwa wewe ulivyolitafsiri hauna mashiko kwa utetezi wako kwani Kuficha Haki ya Mungu nani alifichwa enzi za Mudy? maana kama Allah alikataliwa na wayahudi live Mudy alienda Jerusalem akahubiri even Kibra ya Kwanza ilikuwa Jerusalem ilipo sasa Mecca ni uongo pale Mecca ni kituo cha upagani haswa jiwe jeusi.

Kusema Dini ya Uislam hamchukii mtu bali ukafir wake ni uongo Mudy kaelekeza hadi kumuua mtu asiye Muislam..Jews na Christian imeelekeza kabisa hautakiwi kumsalimia non Muslim Asalam Aleykum imeelekeza ukikutana na Non Muslim msukume atumbukie mtaroni.

Issue yako ya kutetea Kodi haina mantiki kwani Mtume wenu alisema Convert or pay jizya or Die period.
The Jizya tax is levied on the non-muslim subjects in an Islamic State in order to enable the State to protect their lives and property from external enemies. It is the duty of the State to protect their citizens at times of war, where the non- muslim subjects will not be required.

Allah anapandikiza non Muslim unauliza apate faida gani? kwani Mchawi akija kukuchezea anapata faida gani? Allah ni Shetani so same work ana enjoy zake tu akiona watu wanavurugikiwa.

Utasemaje nimechagua Maisha ya Chuki.. Unataka kusema Allah hatupangii maisha yetu? so nini Maana ya neno Inshallah? Najua Waislam mnaamini kila mfayalo hamfanyi kwa matakwa yenu ni Allah kawafanya mfanye mnavyovifanya... nyie ni Watumwa wake.. Mmeumbwa ili muabudu tu.. Christian tumeumwa like baby wa Mungu tuishi for Joyful not Slavey like you guys
 
Wewe ngozi nyeusi unamzidi nini huyo muarab mnaoenda Kuhiji kwao Hadi umkosoe..? Anakuzidi kila kitu kitu hela na dini alioisoma na hata desturi
Mtume Muhammad alisema Al Nari min Asaan hatalawla sayid Al Qureshii, moto utamchomo kila aliye niipinga hata awe katika wale wafalme wa Qabila lake Mtume.

Afu we dagaa unadhani uarabu ndio dini, uislam si uarabu nikufata amri za Mungu, nyie ndio wale wajinga mnaosema Israel taifa teule 😄
 
Miaka ya hivi Karibuni aliripotiwa na Al Arabiya kuwa asilimia zaidi ya 90 ya Hadith za Mtume hazifai kuwa vyanzo dini ya kiislam; sasa hivi amesema hadithi zote kwa sababu ziliandikwa miaka takribani 280 baada ya Mtume Mohammad kufa, hazifai kuwa chanzo Cha Imani ya kiislam
View attachment 2816463
Kwa sasa amepiga marufuku wanafunzi wa kike kuvaa habaya, Hijabu na niqab siku za mitihani, huko mitaani kuvaa Hijabu si shurti tena ila ni takwa la mwanamke na ameruhusu matamasha ya muziki ambako wanawake na wanaume wanachanganyiki
View attachment 2816466
Mimi kwa maoni yangu, huenda huyu Mwana wa Mfalme amesoma vizuri Quran yao Pamoja na hadithi za Mtume Mohammad akajionea mwenyewe madudu yaliyoko huko; mfano mzuri ni Sahih Al-Bukhari 4950 ambayo Shangazi wa Mtume Mohammad alimuita Allah "Shetani" na Allah mwenyewe HAKUPINGA kuitwa hivyo. Hii ikimaanisha kiukweli yule ambaye alimpa Mtume maahizo yote ya kwenye Quran ni Shetani
View attachment 2816477
Wataelewa tu.
 
Amefanya mabadiliko makubwa kiuchumi na kijamii
Ameruhusu wanawake kuendesha magari, kuangalia mpira uwanjani, kusafiri/kutembea mitaani bila kusindikizwa na mwanaume
 
Hizo aya nilizoweka hapo hujui Kusoma Qoran? au umepofushwa wewe ndio wale wanaoitwa Punda na Mtume wenu yaani Mnabeba Kitabu na hamjui kilicho andikwa.. Soma hiyo au baki na ujinga wako moyoni ukiumia kumtetea Shetani best of deceiver. yaani kubwa la madanganyifu. mzee wa fix ndio ujue kazi ya nani hiyo.. Shetani.

Qur'an inasema wazi mara nyingi kwamba Allah ndiye mdanganyifu bora. Neno la mizizi linalotumika katika mistari hii ni Makr ambayo inamaanisha udanganyifu. Tafsiri halisi zilizowasilishwa hapa, zilizorejelewa kutoka kwenye tovuti ya Kiislamu, zinaweka wazi hili. Hata hivyo, tafsiri nyingi za Qur'an zinatafsiri kimakosa neno hili; kama inavyoonekana katika nukuu zifuatazo na uchambuzi.

Ingawa kuna sehemu nyingi katika Qur'an ambazo hutumia neno moja (makir) kwa kumrejelea Allah, Makala hii itazingatia tu aya ambazo Allah anajieleza mwenyewe kama 'mdanganyifu bora'.

Qur'an 3:54​

Qur'an 7:99​

Qur'an 8:30​

Qur'an 10:21​

View attachment 2816854
Edward William Lane's Arabic-English Lexicon is the most revered and scholarly English dictionary of the Arabic language. From Lane's Lexicon (the full entry can be viewed here):

Miim-Kaf-Ra= To practice deceit or guile or circumvention, practice evasion or elusion, to plot, to excercise art or craft or cunning, act with policy, practice strategem.
makara vb. (1)
perf. act. 3:54, 3:54, 7:123, 13:42, 14:46, 16:26, 16:45, 27:50, 40:45, 71:22
impf. act. 6:123, 6:123, 6:124, 8:30, 8:30, 8:30, 10:21, 12:102, 16:127, 27:70, 35:10
n.vb. 7:99, 7:99, 7:123, 10:21, 10:21, 12:31, 13:33, 13:42, 14:46, 14:46, 14:46, 27:50, 27:50, 27:51, 34:33, 35:10, 35:43, 35:43, 71:22
pcple. act. 3:54, 8:30
LL, V7, p: 256

Pia unatambua kuwa Allah Amejiapiza kuwa Waislam wote lazima waingine Motoni? Challenge me again
Wanazuoni wa kiislam wanatafsiri kimakosa siyo!?..wanazuoni wa kikafiri ndiyo wanatfsir ipasavyo!?..punguani, mboyoyo nyingi...kadir waahid
 
Unajua Kiarabu? ndio mnadanganywa kwenye Tafrisi ndio maana mmepotea Allah aliweka ahadi na Iblisi kuwa atahakikisha Waislam wote mnapotea..

Sura Yusuf 12 : 2 inasema. Mmetelemshiwa Koran kwa Lugha ya Kiarabu ili muielewe..
Indeed, We have sent it down as an Arabic Quran1 so that you may understand.
إِنَّآ أَنزَلْنَـٰهُ قُرْءَٰنًا عَرَبِيًّۭا لَّعَلَّكُمْ تَعْقِلُونَ ٢

Koran 15:39
قَالَ رَبِّ بِمَآ أَغْوَيْتَنِى لَأُزَيِّنَنَّ لَهُمْ فِى ٱلْأَرْضِ وَلَأُغْوِيَنَّهُمْ أَجْمَعِينَ ٣٩
Satan responded, “My Lord! For allowing me to stray I will surely tempt them on earth and mislead them all together,
Shetani akasema: Mola wangu Mlezi! Kwa kuwa kuniruhusu nipotee hakika nitawajaribu duniani na kuwapotosha wote pamoja,

Koran 15:40
إِلَّا عِبَادَكَ مِنْهُمُ ٱلْمُخْلَصِينَ ٤٠
except Your chosen servants among them.”
Isipo kuwa waja wako waliochaguliwa miongoni mwao

Koran 15:41
قَالَ هَـٰذَا صِرَٰطٌ عَلَىَّ مُسْتَقِيمٌ ٤١
Allah said, “This is the Way, binding on Me:
Mwenyezi Mungu akasema: "Hii ndiyo njia inayonifunga.

Allah almkosea Shetani it mean Iblis ndie alionewa na Allah.. Allah ndie mwenye makosa.. Kisa chote kilianzia Mbinguni na walikubaliana na Iblis aje Duniani awapoteze watoto wa Adam hadi wapotee na Allah alimruhusu ila kwa sharti wale tu waja ya Allah asiwaguse mbeleni tulikuja kusoma Mudy aliingiliwa na Iblis inamaana Mudy sio Mja wa Allah. Isral is under attack. ndio aya nyingi ni za Shetani this is true na hakika kwa muislam yeyete anajua ila mnamezea kwa aibu japo roho inauma.

Turejee Aya 3:54 umesoma Koran Tafsiri ya nani? maana wanao tohoa Kiarabu wanaona aibu sana so wanaishia kudanganya waislam mpotee vizuri. jaribu kuchukua hata maneno ya kiarabu kama huelewi na ujiridhishe japo kwa Phofet wenu Mpya Google utaupata uongo wa mashehe wetu ubwabwa wa Bongo... learn Arabic.. ukisoma hata App ya Koran ya Kiswahili yaani uongo unatengenezwa Maneno yanaweza kuwa matatu ya kiarabu tafrisi maneno mia ya kiswahili yaani uongo uongo tu..

Koran 3:54 unaikuta kwenye qoran dot com kwa kiarabu imeandikwa وَمَكَرُوا۟ وَمَكَرَ ٱللَّهُ ۖ وَٱللَّهُ خَيْرُ ٱلْمَـٰكِرِينَ
Chukua maneno hayo weka kwenye google translate to english utapata And the cunning and cunning of God and God is the best of the people
Qoran hiyo hiyo imetafsiri hayo maneno ya Kiarabu eti. And the disbelievers made a plan ˹against Jesus˺, but Allah also planned—and Allah is the best of planners.

Ukisoma TAfsiri wanaelezea kuhusu Yesu
😅😅😅😅Hizo tafsiri zako dogo soma uelewe ni urongo mtupu unaoandika maana hata hujuo unaandika nn...kwa mfano yesu kashushiwa injili katika kiebrania (Hebrew) hata biblia ya agano la kale ipo hivyo na uhuni wa kupotosha watu ulianzishwa na nyie mlitafsiri mkaondoa baadhi ya maandiko yaliyokuwa yanakandamiza wanawake 😅😅.

Swali hiyo ayah nionyesha wapi Allah ni deceiver!?

Then nikutafsirie hizo ayah hapo chini moja baada ya moja ,maana mpaka sasa sijaona sehemu Allah ni deceiver 😅😅
 
Elimu elimu elimu..

Hadithi imemtaja aunt yake mtume mke wa mjomba wake bwana abuu lahab(ujue abuu lahab hakuwa akiukubali uislam, si yeye, mkewe wala wanae, walikuwa wakimuita mtume mchawi, walikuwa wakimdhihaki)

Sasa shangazi yake mtume aliemda kwa mtume na kumdhihaki kuwa huyo ambae mtume anamuita mungu shangazi mtu ndio anamuita shetani, hivyo akamwambia mtume huyu shetani wako bla bla bla kakutenga, hajakushushia wahayi( ni Ufunuo ndio tukio au mchakato ambao mawasiliano kati ya Mungu na binadamu yanafanyika. Ufunuo ni pia yaliyomo katika ujumbe unaotokana na Mungu, wahayi aliokuwa akishushiwa mtume ndio quraan)
Mtume akaingiwa unyonge, ndio mungu kumwambia(kumshushia wahayi) sijakususa...................................

Mfano mdogo mama wa kambo anaeishi na mtoti wa kambo, akawa anamtukana mwanae kwa kumwambia huyo mbuzi(baba mtoto) mwenzio humu hajaacha hela yako ya shule, utaenda kwa mguu na hakupendi, wakati huo baba mtu yupo dirishani kasikia, je hapo mtoto ndio kamuita baba yake ni mbuzi!? Mtoto akatoka akamkuta baba yake nje, mzazi akamwambia nakuoenda mwanangu, nilijisahau kuacha pesa, au sikuwa nayo nimeenda kijiweni nimepata hii hapa mwanangu nenda shule kuna shida gani!?

Sasa hapo mtume hajamuita mungu shetani ila ni shangazi yake ambae ni mpinga uislam.

Sio lazima tuanzishe nyuzi za kukopi au kwa akili za kuambiwa, hujui kitu uliza, mleta mada kaonesha kwake hata lugha tu mtihani, anajua kusoma ila hawezi kuelewa alichokisoma.

Tujitahidi kusoma, au la tujifunze kuuliza kwanza..
Kuna watu huwa wanauliza maswali mazuri kabisa au wanakuja na hoja(sio kejeli) ambazo sisi wengine na elimu zetu za wastani tunaona huyu ana hoja, mpaka uchimbue mambo ndio unaona jibu lake,
 
Unajua Kiarabu? ndio mnadanganywa kwenye Tafrisi ndio maana mmepotea Allah aliweka ahadi na Iblisi kuwa atahakikisha Waislam wote mnapotea..

Sura Yusuf 12 : 2 inasema. Mmetelemshiwa Koran kwa Lugha ya Kiarabu ili muielewe..
Indeed, We have sent it down as an Arabic Quran1 so that you may understand.
إِنَّآ أَنزَلْنَـٰهُ قُرْءَٰنًا عَرَبِيًّۭا لَّعَلَّكُمْ تَعْقِلُونَ ٢

Koran 15:39
قَالَ رَبِّ بِمَآ أَغْوَيْتَنِى لَأُزَيِّنَنَّ لَهُمْ فِى ٱلْأَرْضِ وَلَأُغْوِيَنَّهُمْ أَجْمَعِينَ ٣٩
Satan responded, “My Lord! For allowing me to stray I will surely tempt them on earth and mislead them all together,
Shetani akasema: Mola wangu Mlezi! Kwa kuwa kuniruhusu nipotee hakika nitawajaribu duniani na kuwapotosha wote pamoja,
"He said: 'My Lord, because Thou hast sent me astray, I shall certainly make (evil) fair-seeming to them on the earth, and I shall mislead them all.'" This verse refers to the response of Satan (Iblis) after being expelled from Paradise.

Koran 15:40
إِلَّا عِبَادَكَ مِنْهُمُ ٱلْمُخْلَصِينَ ٤٠
except Your chosen servants among them.”
Isipo kuwa waja wako waliochaguliwa miongoni mwao

Koran 15:41
قَالَ هَـٰذَا صِرَٰطٌ عَلَىَّ مُسْتَقِيمٌ ٤١
Allah said, “This is the Way, binding on Me:
Mwenyezi Mungu akasema: "Hii ndiyo njia inayonifunga.
"This is a Straight Way to Me"
15:41 "Huu ni njia iliyonyooka kwangu."

We jamaa shule umesoma kweli!?

Allah almkosea Shetani it mean Iblis ndie alionewa na Allah.. Allah ndie mwenye makosa.. Kisa chote kilianzia Mbinguni na walikubaliana na Iblis aje Duniani awapoteze watoto wa Adam hadi wapotee na Allah alimruhusu ila kwa sharti wale tu waja ya Allah asiwaguse mbeleni tulikuja kusoma Mudy aliingiliwa na Iblis inamaana Mudy sio Mja wa Allah. Isral is under attack. ndio aya nyingi ni za Shetani this is true na hakika kwa muislam yeyete anajua ila mnamezea kwa aibu japo roho inauma.

Turejee Aya 3:54 umesoma Koran Tafsiri ya nani? maana wanao tohoa Kiarabu wanaona aibu sana so wanaishia kudanganya waislam mpotee vizuri. jaribu kuchukua hata maneno ya kiarabu kama huelewi na ujiridhishe japo kwa Phofet wenu Mpya Google utaupata uongo wa mashehe wetu ubwabwa wa Bongo... learn Arabic.. ukisoma hata App ya Koran ya Kiswahili yaani uongo unatengenezwa Maneno yanaweza kuwa matatu ya kiarabu tafrisi maneno mia ya kiswahili yaani uongo uongo tu..
"Na wanapanga hila na Mwenyezi Mungu anapanga hila. Na Mwenyezi Mungu ni Mbora wa wenye kupanga hila."

"And they planned, but Allah planned. And Allah is the best of planners."

😅😅😅Jamaa shule umesoma wapi ,kwa hiyo huamini kwamba Mungu anapanga mambo yote duniani.

Koran 3:54 unaikuta kwenye qoran dot com kwa kiarabu imeandikwa وَمَكَرُوا۟ وَمَكَرَ ٱللَّهُ ۖ وَٱللَّهُ خَيْرُ ٱلْمَـٰكِرِينَ
Chukua maneno hayo weka kwenye google translate to english utapata And the cunning and cunning of God and God is the best of the people
Qoran hiyo hiyo imetafsiri hayo maneno ya Kiarabu eti. And the disbelievers made a plan ˹against Jesus˺, but Allah also planned—and Allah is the best of planners.

Ukisoma TAfsiri wanaelezea kuhusu Yesu na hata kama ni Yesu haibadilishi udanganyifu w Allah kkuwa yeye ndie Muongo Mkuu. kwani anaelezea kuwa alibadilisha mtu mwingine akama na sura kama ya Yesu ambaye ndie aliyesulubiwa mubadara wa Yesu mwenyewe... hapo inamaana Allah aliendelea kufanya makosa huyo mtu mwingine aliyemuwekea sura ya Yesu alimuonea ni dhambi hiyo mean Allah sio Holly sababu alifanya dhambi kumuokoa Yesu akamuweka mtu mwingine asiye na kosa Allah ni Muovu.
 
"He said: 'My Lord, because Thou hast sent me astray, I shall certainly make (evil) fair-seeming to them on the earth, and I shall mislead them all.'" This verse refers to the response of Satan (Iblis) after being expelled from Paradise.

"This is a Straight Way to Me"
15:41 "Huu ni njia iliyonyooka kwangu."

We jamaa shule umesoma kweli!?

"Na wanapanga hila na Mwenyezi Mungu anapanga hila. Na Mwenyezi Mungu ni Mbora wa wenye kupanga hila."

"And they planned, but Allah planned. And Allah is the best of planners."

😅😅😅Jamaa shule umesoma wapi ,kwa hiyo huamini kwamba Mungu anapanga mambo yote duniani.
I thought unajua kiarabu kumbe umeng'ang'ania Tafsiri za Kina Sheikh ubwabwa Barwani, Abdullah na Nassir Koran App.

Sasa kama Imeandikwa wazi kuwa Allah ni Mdanganyifu unakubali au unakataa? au una pray Game but haya maandishi yangu yatawasaidia wengi watakao soma werevu not foolish one.

Me naamini am freewill ila Muislam haamini ndio maana amewaambia lazima muende kwenye Hellfire.

Koran 19:71 وَإِن مِّنكُمْ إِلَّا وَارِدُهَا ۚ كَانَ عَلَىٰ رَبِّكَ حَتْمًۭا مَّقْضِيًّۭا ٧١
There is none of you who will not pass over it.1 ˹This is˺ a decree your Lord must fulfil.
 
Back
Top Bottom