Naomba Ufafanuzi kwanini Mwana wa Mfalme wa Saudia ameshika Kasi sana ktk kufanyia mafundisho mengi ya dini ya kiislam?

NIWAACHIE WARAABU HII LIGI..
ILA HILI LA SAHIH AL BIKHAR 4950
NA HADITH IDADI 16,245 YA MU"WAIYA IBN ABU SUFYAN ....
SIONI AJABU WANAZUONI KUZIKATAA HIZI SIMULIZI ILI KUFICHA UKWELI FLANI WA TAMADUNI ZA KIARABU
Tatizo hadithi nyingi zimekuwa fake, Qur'an haiwezi ikawa fake hata siku moja sababu hata America kajaribu kufake Qur'an kashindwa sababu Quran waislam wameihifadhi wengine kwenye mioyo yao mara wanakukosoa hapo hapo kama umekosea.

Imam akisalisha akajisahau akiruka tu kakipande kadogo anakosolewa na wanao sali nyuma yake, Qur'an habari ingine kijana.
 
Khalifa ummar (ra),ambaye aliishi na mtume saw,alipiga marufuku Hadith,wamekuwepo watu wa kupinga Hadith tangu mwanzo,Hadith ni uzushi....lakini Muhammad bin Salman ana matamanio yake pia ya kidunia
Sasa kwanini zinatumika hadi sasa hizo hadithi kama rejea ya Quran bro?
 
Sasa ibada zenu huwa mnazifanya vipi na mnasema Qur'an pekee inatosha ?

Isiwe mnajiona kuwa ni Waislamu kumbe si Waislamu.
Nilicho ongea nyuma we kama husomi unakimbilia kujibu huo ni ujinga wako, nilisema Qur'an imeongea tumuamini Mtume Muhammad tu anacho ongea, sio Uniletee story flani kasema.

Salaa ni Mtume aliambiwa na Mwenyezi Mungu lazima tusali, sa we unacho taka kusema Qur'an haipo kwenye Qur'an?

Hivi unadhani waislamu wanapo sali huwa wanasoma Hadith za Bukhari au Qur'an?
 
Kuna badhi ya lugha huwa zinatafsiriwa na wengine tofauti, kabla sijaenda mbali hebu we nieleze hapa in the Bible, there are numerous clear verses that talk about God deceiving people, such as in Jeremiah 4:10, 2 Thessalonians 2:11-12, etc.

Hapo vipi?

Kwanza jikosoeni nyie mlio andika bibilia zenu kwa kizungu, kabla yaja kutranslate kiarabu mnavyotaka nyie kutranslate.

Kiarabu kinaongea vingine nyie mnatranslate vingine 😄

Kwani we unadhani kila anaye ongea kiarabu anakifahumu kiarabu, nenda uarabuni uone kuna watu wamezaliwa pale na wakiongea kiarabu wanakosolewa unadhani kiarabu cha kuongea barabarani ni swasawa na cha yule aliye somea kiarabu 😄
 
Kwa mtu mwenye akili timamu hawezi kufurahia ujinga anaoufanya MBS, siku zote ukiona watu wanaanza kutoka kwenye utaratibu jua janga litafuata, wait and see.
 
kwani mke wa ABU LAHAB alikuwa ni muislamu?
rejea surat Lahb, majibu yako yapo huko
 
kwani mke wa ABU LAHAB alikuwa ni muislamu?
rejea surat Lahb, majibu yako yapo huko
Hawa wakristo wamesahau ingekuwa sio Saud Arabia kukubali Muingereza asinge mpa Israel nchi pale Palestine.

Pili jeshi la Israel warabu kutoka Saud Arabia, UAE wapo nao Bega kwa Bega sikila mwarabu basi ni Muislam hata kama jila lake Mohammed, au Abdallah 😄
 
Sasa kwanini zinatumika hadi sasa hizo hadithi kama rejea ya Quran bro?
Hadith siyo rejea ya Qur'an,Bali Hadith ni amendment ya Qur'an,yaani kama katiba na amendment zake,wakati Qur'an inasema inatosha na imeeleza kila kitu,ni mapokeo,dini imepokelewa hivyo na watu wamesonga nayo hivyo,sisi tunaopinga Hadith tunaambiwa tunamkataa mtume,ni Vita haswa,palikua na wayahudi ambao waliyaingiza hayo katika uislam katika kipindi Cha mfarakano wa waislam,miaka Kama 15 hivi baada ya kifo Cha mtume
 
Kijana tuliza akili acha jazba. Wewe unajuaje sala kama alivyo sali Mtume ? Mafundisho ya sala huwezi kuyakuta kwenye Qur'an, utayakuta kwenye Hadithi za Mtume, zenye kusomeka aidha "Mtume kasema kadha" au "Tulimuona Mtume akifanya kadha".

Sasa kitu ambacho nakuhusia na wengine humu, Qur'an haisimami peke yake pasi na Hadithi sahihi za Mtume. Sasa someni na mjue nafasi zenu, msiwe mnayaongelea mambo ya dini huku hamna elimu, unapotea wewe na utawapoteza wajinga wenzako.

Inaonekana hata Qur'an huijui, hakuna namna ya kusali kwenye Qur'an.

Haya mnayo yaandika huwafanya wasio Waislamu wawaone waislamu ni Wajinga, kumbe wajinga ni nyinyi wachache msio taka kusoma.
 
Kwanini unaandika uongo ? Qur'an haijaandika kila kitu, kama Muislamu hupaswi kuandika maneno haya, utaulizwa maswali na waiso Waislamu ukashindwa kujibu kama kinavyotokea hapa.

Huwezi kuwa Muislamu ukiwa unapinga Hadithi au huujui Uislamu. Qur'an haisimami peke yake pasi na Hadithi sahihi za Mtume.

Ukikataa hadithi basi wewe huna ibada yoyote unayoifanya kwa usahihi na huenda ukawa husali kabisa, au huziki, au hufungi, au husafiri au hufanyi biashara na kama unasali huku unapinga Hadithi basi wewe ni mpotoshaji.
 
Hadithi zinasema mzinzi mwanandoa auawe kwa mawe, Qur'an haikusema hivyo,hadithi zinasema unaweza shika udhu adhuhuri almuradi hukujamba basi waweza utumia kwa swala zote, Qur'an inasema kila swala mchukue udhu,bado unataka niamini hadithi,amini wewe, QUR'AN inasema mtoe zaka kila mpatapo faida,hadithi mpaka mtaji uvuke mwaka bila kupata hasara....hadithi zinakutoa kwenye Qur'an,amka,ni baada ya kushindwa kutia mikono Qur'an wakaamua kukuundieni vitu vitavyowatoa kwenye Qur'an
 
Kiukweli usilam usipodhibitiwa utahatarisha maisha ya waislamu wenyewe mana dunia itwachoka na ikiwachoka unadhani nini kitafuata,haya makundi ya kigaidi ya kislam yanauchafua sana uislamu,kunahaja ya kutazama upya mafudisho ya imani hii.
 
Nani aliunnda vitu vya kuwatoa kwenye Quran?
 
Uislamu haujawahi kutetereka kuongezwa wala kupunguzwa chochote, tuna muongozo thabiti mungu ametupa ambayo ni quraan hatuongozwi na binaadamu au sheria za mwanadamu , maana juzi tulisikia kiongozi wa makafir kamfukuza askofu kisa kapinga mashoga kuoana
 
Kiukweli usilam usipodhibitiwa utahatarisha maisha ya waislamu wenyewe mana dunia itwachoka na ikiwachoka unadhani nini kitafuata,haya makundi ya kigaidi ya kislam yanauchafua sana uislamu,kunahaja ya kutazama upya mafudisho ya imani hii.
Uislamu unazidi kukubalika duniani kote hadi huko nchi za makfir na hata hao makafir wanaona ndio msingi bora wa maisha na wengi wanajiunga sasa na uislamu,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…