Naomba Ufafanuzi kwanini Mwana wa Mfalme wa Saudia ameshika Kasi sana ktk kufanyia mafundisho mengi ya dini ya kiislam?

Pengine ni Sifa kwenu pekee... ila navyojua Uislam unakata kuomba omba na unaruhusu kumsaidia asiyejiweza.. hizo za kusema kuwa masikini wanajaa japo hujaeleza wanajaa wapi either misikitini ndani kuja kuswali au kuwasubiri mkishaswali siku ya Ijumaa.. Makanisani inaeleweka its only kwa kusali hamna chakula.. na taratibu nyingi za christian wakikusanya kuna mafungu wanadndaa kwa wenye uhitaji.. Masikini ni mtu asiye na uwezo wa kufanya kazi but wengi tanzania ni watu wanajifanya hawana uwezo na kujiweka kwenye kundi la masikini.. sijui upande wenu masikini ni wa aina gani maana wengi maeneo ya misikitini wanazingira ukiwacheki ni wazima as if Kuomba kwao ni Tabia tu.

Pia nakukumbusha Swala Allah kawaambia ni Tatu tu kwa siku na sio Tano. mbili zaidi mmezitoa wapi? pamoja na maspika yale ya kuongeza kelele kwa lugha ya kiarabu!
mchana mara mbili na jioni moja. waambieni maustadhi asubuhi wanatupigia sana kelele kwa midomo na maspika ya misikitini waache.

Koran HUD 114. Na shika Sala katika ncha mbili za mchana na nyakati za usiku zilizo karibu na mchana. Hakika mema huondoa maovu. Huu ni ukumbusho kwa wanao kumbuka.
Establish prayer ˹O Prophet˺ at both ends of the day and in the early part of the night.1 Surely good deeds wipe out evil deeds. That is a reminder for the mindful.
Kusali kwa Mtume (s.a.w.w.) katika ncha zote mbili za mchana na mwanzoni mwa usiku.1 Hakika matendo mema huyafuta matendo maovu. Hayo ni mawaidha kwa wenye kukumbuka.

وَأَقِمِ ٱلصَّلَوٰةَ طَرَفَىِ ٱلنَّهَارِ وَزُلَفًۭا مِّنَ ٱلَّيْلِ ۚ إِنَّ ٱلْحَسَنَـٰتِ يُذْهِبْنَ ٱلسَّيِّـَٔاتِ ۚ ذَٰلِكَ ذِكْرَىٰ لِلذَّٰكِرِينَ ١١٤
 
Kwa hiyo wanaofuata hadithi wanakosea ?
Kuna sayansi ya Hadithi ni somo pana ambalo hakuna atajayeweza kukuelezea kwa usahihi humu, ni kitu watu wanasomea maisha yao yote.

Ila kwenye uisilamu Hadithi zina Chain of Narration, na zinakua graded kwa mambo mengi ikiwemo afya ya akili ya aliepokea, kama alikua na tabia za kusema uongo uongo, hadithi kama inapigana na Quran etc

Kuna Jitihada zilizofanywa na waisilamu wa Mwanzo kama umewahi kusikia Bukhari, Muslim, Tirmidhy na wengineo walikusanya Hadithi sahih za wakati huo na kuziweka kwenye vitabu vyao ambavyo ni kama Encyclopedia za Hadithi kwa sasa.

Kufuata Hadithi sio kukosea, kukosea ni Kufuata Hadithi ambazo sio sahihi. Hadith zinakua na grade 3
-sahih
-Hasan
-dhaif

Hadith sahihi haina shaka na ina chance ndogo sana isiwe kweli, Hasan ipo katikati na Dhaif kuna chance kubwa isiwe kweli.

Hawa wenzetu upande wa pili ambao wanapinga uisilamu ndio wanaZipenda kweli hizo hadith Dhaifu kuja kupiga kelele humu.
 
Kukariri kiarabu na kukijua kiarabu ni vitu viwili tofauti.. Kuna mtu amekariri Koran lakini mkitizama mpira channel za arabuni haelewi kitu
 
Yaani Aya ifutwe na hadithi!?..acheni kufru enyi watu, Qur'an inasema tunafuta Aya kwa Aya,we unadai Aya ya Qur'an inafitwa na Hadith!!..mmejitengenezea kitabu minghairi ya QUR'AN na mnadai kinatoka kwa Allah sw,fanyeni Toba,ukianzia kusoma hadithi utaambiwa zinafafanua Qur'an,lakini deep unakuta Zina mandate Kama au zaidi ya QUR'AN,Kama hapo ulipofuta Aya kwa hadithi,hadithi zinazua ambayo hayapo kwenye QUR'AN Kama kurudi nabii ISSA,kumuua mzinzi mwanandoa,kumuua murtad,udhu nk
 
Hivi we unafahamu nacho ongea au unataka kujifurahisha tu, Qur'an haijakataza anacho kisema Mtume Muhammad inacho kataza kinacho semwa na wengine? Kwani Qur'an ilishushwa kwanani? Kwa Yesu 😄
Wewe ulisemaje mwanzo ? Au unapoteza kumbukumbu ? Si ulisema kwamba hutaki mambo ya Mtume kasema na ukasema Qur'an imeelezea kila kitu au kama ulivyo sema ?

Toa mfano wa hicho kinachosemwa na wengine.
We akili zako zimepinda hufahamu chochote Qur'an inatuelezea kila kitu wazi kwa kusema Mkihitilifiana kwa kitu rudini kwa Allah na Mtume wake.
Sasa ukitaka kurudi kwa Mtume unarudi wapi ? Hapo unaongelea Hadithi, au Kuna sehemu nyingine ya kurudi kwa Mtume nje na Hadithi sahihi za Mtume ? Elezea hili.
Sasa ulitakiwa uandike hivi tangu awali, sababu awali ulikata kabisa.
Onyesha ufeki wa hizo hadithi kielimu. Huko juu unasema yalithibitishwa na ma Ulamaa, hapa unapinga tena yale yaliyothibitishwa na kuwa sahihi.

Hivi unakisoma unacho kiandika ?
Ungekuwa unafahamu ungeifahamu bibilia yako kwanza inasema hakuna mtu kafanana na Mungu au kamuona Mungu akaishi na wewe unatuletea story Yesu kaishi na watu na kasomesha wanafunzi na wengine wamemuota 😄
Mimi Muislamu tena kindaki ndaki.
 
Hadith zimekusanywa miaka 200+ baada ya kifo Cha mtume,na nikikuambia unipe Hadith kumi za Abu bakri na ummar ambao walikua na mtume kipindi kirefu,utahaha kunipa,nikiomba ya Bilal ndiyo huna kabisa,hadithi ni uzushi hata Kama Kuna sayansi yake
 
Uisilamu haukushuka pamoja wote umeshuka taratibu, mwanzo wakati wa mtume hakukua na swala 5, baada ya Isra na Miraaj ndio zikashushwa swala tano
 
Hakuna sehemu nilipo sema aya imefutwa na Hadithi elewa vizuri nilicho kiandika. Ukisoma fani za Qur'an hasa katika kipengele cha "Nasikh na Mansukh" unakuta Kuna aya kwenye Qur'an inasomwa ila imefutwa hukumu yake, na Kuna aya imefutwa kisomo chake ila hukumu yake inafanya kazi, na hili unalikuta lipo limedhibitiwa kwenye Hadithi.

Lakini Allah mwenyewe ndio anafuta hizo aya. Anasema Allah mtukufu :

106. Ishara yoyote tunayo ifuta au tunayo isahaulisha tunailetea iliyo bora kuliko hiyo, au iliyo mfano wake. Hujui kwamba Mwenyezi Mungu ni Muweza wa kila kitu? (al-Baqarah : 106)

Kwahiyo nabii Issa hatorudi au ? Sijakuelewa.
 
Aya ya kumpiga mzinifu bakora mia imefutwa na Aya gani!?
 
Ukristo upo huru Christmas inaeleweka and everybody know is not real kuwa ni siku ya Yesu kuzaliwa.. we don't lie even Bible story inaelezea Story kuna maneno yamezungumzwa na mungu na maneno mengine yamezungumzwa na binadamu tofauti na Uislam Koran yote ni Maneno ya Allah including stupid words.

Christmas ilipangwa na Roman.. but dhamira yake haina ubaya.. just like people wanapoamua kuwa na May day na watu wanapumzika na kusheherekea. kama ikihusishwa na upagani kila mtu anasheherekea kwa nafsi yake na sio nafsi ya mwingine. like we enjoy Maulid japo nayo ni Uongo prove me wrong maana waislam now wanazodoana kuhusu sherehe ya kuzaliwa mtume ambaye yeye maishani mwake hakuwahi sheherekea na inasemekana alizaliwa miaka minne baada ya baba yake kufa uhakika hii inapelekea ni mwana haramu and Jina lake alilopewa from Mjomba wake ni Khātam al-Nabiyyīn jina la kurithi kuendeleza ukoo wa kiarabu Qoraish baadae alijipa jina Mohamad yaani the Praised one yaani kama Mungu nae pia aabudiwe. Uislam una siri nyingi sana ndio maana aya za kujipendelea ili awala wanawake wowote anaotaka wake zaidi ya 11 wanawake slavely mke wa mwanae wa kufikia vitoto kina Aisha .n.k alikuwa kitombi mpenda sex and watot hana
 
Hadith zimekusanywa miaka 200+ baada ya kifo Cha mtume,na nikikuambia unipe Hadith kumi za Abu bakri na ummar ambao walikua na mtume kipindi kirefu,utahaha kunipa,nikiomba ya Bilal ndiyo huna kabisa,hadithi ni uzushi hata Kama Kuna sayansi yake
Kijana unachekesha sana, ukiwafatilia watu kama nyinyi inaonyesha wazi kabisa hamjishughulishi na elimu ya dini ya kiislamu, Sasa huwa najiuliza huu ujasiri wa kuandika mambo msiyo yajua mnaupata wapi ?

Wewe unamuongelea swahaba Abu Bakr, yeye ana musnad yake kabisa ambayo inapatikana katika Musnad ya Imam Ahmad Ibn Hanbal.

Wote maswahaba hao ulio wataja wamesimulia hadithi za Mtume kwa wanafunzi wao.
 
Aya ya kumpiga mzinifu bakora mia imefutwa na Aya gani!?
Umeona unavyo changanya mambo. Aya iliyofutwa nayoizungumzia Mimi ni kumpiga mawe, hiyo ya hao wanao chapwa bakora ipo na hao wanaozungumziwa hapo ni wale ambao hawajaoa au kuolewa.
 
Umeona unavyo changanya mambo. Aya iliyofutwa nayoizungumzia Mimi ni kumpiga mawe, hiyo ya hao wanao chapwa bakora ipo na hao wanaozungumziwa hapo ni wale ambao hawajaoa au kuolewa.
Hakuna Aya ya kumpiga mawe mzinifu iliyofutwa ndugu,haikuwahi kuwepo kwenye Qur'an hivyo haiwezi kuwa imefutwa
 
Nimesema nikitaka Hadith kumi kumi toka kwao utazitafuta kwa shida,Bilal anayo moja tu ya kukusanya kobazi za mtume, wakati Abu huraira aliyesilimu miaka mitatu kabla ya mtume kufariki ana hadithi zaidi ya elfu tatu,
 
Muhammad ibn salmaan sio msemaji wa uislamu wala waislamu, ni mrithi wa mfalme wa saudi, bali KSA sio wasemaji wa uislamu wala waislamu, sisi tunaendelea kusoma dini yetu usiku na mchana, ili tuwarithishe watoto wetu dini hii tukufu kwa elimu na sio kukariri, muhammad ni mtu tu na ni mwanasiasa kama wengine, muda ukifika atakufa na ataacha saudi arabia iko kama ilivyo.
 
Ngoja nitaweka andiko ambalo linaonyesha maandiko yote ya Quran (siyo hadithi za Mtume) ambayo yanathibitisha ALLAH akiongopa mara kadhaa, ambayo ni sifa kuu ya SHETANI. Utacheka
Nasubiri kwa hamu, ila nyie watu فما ظنكم برب العالمين؟؟؟؟
 
Mimi ni mmoja wapo sisomi hadithi na nipo sahihi kwa vile hadithi ya kweli haiwezi kupinganq na Qur an.
Mkuu kaeni darasani msome dini yenu, mnamaanisha mtume muhammad swala na salaam ziwe juu yake alikuwa bubu au?! sasa nani atawafafanulia Qur'an zaidi ya mtume mwenyewe aliyeteremshiwa?! kwani Qur'an imewafikiaje nyie kama sio kupitia haohao walioyafikisha pia maneno ya mtume عليه الصلاة و السلام, jambo la kutambua ni kwamba Qur'an imeelekeza kufuata hadithi za mtume kwa ulazima, ukifupizika na Qur'an una sehemu katika kuukataa uislamu.

Mwisho, utaswali vipi, utatoa zaka vipi bila kumsikiliza mtume amefundishaje?! au mtume alikuwa bubu?! au yeye pia haaminiki?!.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…