Mlaleo
JF-Expert Member
- Oct 11, 2011
- 14,809
- 11,825
Pengine ni Sifa kwenu pekee... ila navyojua Uislam unakata kuomba omba na unaruhusu kumsaidia asiyejiweza.. hizo za kusema kuwa masikini wanajaa japo hujaeleza wanajaa wapi either misikitini ndani kuja kuswali au kuwasubiri mkishaswali siku ya Ijumaa.. Makanisani inaeleweka its only kwa kusali hamna chakula.. na taratibu nyingi za christian wakikusanya kuna mafungu wanadndaa kwa wenye uhitaji.. Masikini ni mtu asiye na uwezo wa kufanya kazi but wengi tanzania ni watu wanajifanya hawana uwezo na kujiweka kwenye kundi la masikini.. sijui upande wenu masikini ni wa aina gani maana wengi maeneo ya misikitini wanazingira ukiwacheki ni wazima as if Kuomba kwao ni Tabia tu.Kaka sisi haturuhusiwi hata kula wakati jirani yako ana njaa, ndio maana unaona misikitini ombaomba wanajaa ijumaa lakini hukuti ombaomba wakijaa kanisani, tumeamrishwa kutoa na kukirimu masikini na binaadamu wengine,
Angalia mwezi wa ramadhani na sikuku ya iddi watu wanavyolishwa bure na kupewa sadaka mbalimbali bila ya kuangalia dini, huo ndio uislamu
Pia nakukumbusha Swala Allah kawaambia ni Tatu tu kwa siku na sio Tano. mbili zaidi mmezitoa wapi? pamoja na maspika yale ya kuongeza kelele kwa lugha ya kiarabu!
mchana mara mbili na jioni moja. waambieni maustadhi asubuhi wanatupigia sana kelele kwa midomo na maspika ya misikitini waache.
Koran HUD 114. Na shika Sala katika ncha mbili za mchana na nyakati za usiku zilizo karibu na mchana. Hakika mema huondoa maovu. Huu ni ukumbusho kwa wanao kumbuka.
Establish prayer ˹O Prophet˺ at both ends of the day and in the early part of the night.1 Surely good deeds wipe out evil deeds. That is a reminder for the mindful.
Kusali kwa Mtume (s.a.w.w.) katika ncha zote mbili za mchana na mwanzoni mwa usiku.1 Hakika matendo mema huyafuta matendo maovu. Hayo ni mawaidha kwa wenye kukumbuka.
وَأَقِمِ ٱلصَّلَوٰةَ طَرَفَىِ ٱلنَّهَارِ وَزُلَفًۭا مِّنَ ٱلَّيْلِ ۚ إِنَّ ٱلْحَسَنَـٰتِ يُذْهِبْنَ ٱلسَّيِّـَٔاتِ ۚ ذَٰلِكَ ذِكْرَىٰ لِلذَّٰكِرِينَ ١١٤