Naomba Ufafanuzi kwanini Mwana wa Mfalme wa Saudia ameshika Kasi sana ktk kufanyia mafundisho mengi ya dini ya kiislam?

joex

JF-Expert Member
Joined
Feb 18, 2011
Posts
1,598
Reaction score
1,294
Miaka ya hivi Karibuni aliripotiwa na Al Arabiya kuwa asilimia zaidi ya 90 ya Hadith za Mtume hazifai kuwa vyanzo dini ya kiislam; sasa hivi amesema hadithi zote kwa sababu ziliandikwa miaka takribani 280 baada ya Mtume Mohammad kufa, hazifai kuwa chanzo Cha Imani ya kiislam
Screenshot_20231113-212823.png

Kwa sasa amepiga marufuku wanafunzi wa kike kuvaa habaya, Hijabu na niqab siku za mitihani, huko mitaani kuvaa Hijabu si shurti tena ila ni takwa la mwanamke na ameruhusu matamasha ya muziki ambako wanawake na wanaume wanachanganyiki
Screenshot_20231117-134841.png

Mimi kwa maoni yangu, huenda huyu Mwana wa Mfalme amesoma vizuri Quran yao Pamoja na hadithi za Mtume Mohammad akajionea mwenyewe madudu yaliyoko huko; mfano mzuri ni Sahih Al-Bukhari 4950 ambayo Shangazi wa Mtume Mohammad alimuita Allah "Shetani" na Allah mwenyewe HAKUPINGA kuitwa hivyo. Hii ikimaanisha kiukweli yule ambaye alimpa Mtume maahizo yote ya kwenye Quran ni Shetani
Screenshot_20231116-174917.png
 
Hana jipya alicho ongea Qur'an imeisha sema miaka tusifate hadithi wakati Qur'an ina kila kitu.

Kuna Waislam wanaamini hadithi aliyo ongea yeye tu, si hadithi anakuja mtu anakuwambia Albukhari sijui kasema au flani kasikia the hadith ya Mtume Muhammad can be used as Islamic law.

However, Allah says in the Quran that following any law besides the Quran is forbidden.

أَفَغَيْرَ اللَّهِ أَبْتَغِي حَكَمًا وَهُوَ الَّذِي أَنزَلَ إِلَيْكُمُ الْكِتَابَ مُفَصَّلًا
Then is it other than Allah I should seek as judge while it is He who has revealed to you the Book explained in detail? … (6:114 part)
تِلْكَ آيَاتُ اللَّهِ نَتْلُوهَا عَلَيْكَ بِالْحَقِّ ۖ فَبِأَيِّ حَدِيثٍ بَعْدَ اللَّهِ وَآيَاتِهِ يُؤْمِنُونَ
These are the verses of Allah which We recite to you in truth. Then in what statement (hadith) after Allah and His verses will they believe? (45:6)
فَبِأَيِّ حَدِيثٍ بَعْدَهُ يُؤْمِنُونَ
Then in what statement after it (the Qur’an) will they believe? (77:50)
مَا لَكُمْ كَيْفَ تَحْكُمُونَ أَمْ لَكُمْ كِتَابٌ فِيهِ تَدْرُسُونَ إِنَّ لَكُمْ فِيهِ لَمَا تَخَيَّرُونَ
What is [the matter] with you? How do you judge? Or do you have a book / scripture in which you learn that indeed for you in it is whatever you choose? (68:36–38)
Conclusion

These verses make it very clear that the only source by which to judge according to Islam is the Quran and nothing else. God even specifically questions why people would believe in any hadith after the Quran has been revealed.
 
Ninauhakika kabisa kuwa!
Elimu zetu za Dini, iwapo zingeliruhusu challenges kutoka kila pahala, hata wenye dini zao wakawa wahusika wa mijadara huru, na wakaondoa jaziba zisizosaidia ili kuruhusu ubongo wa kati ushike ukweli wake!

Kuna Dini zingesambaratika, na ambao wangeendelea kubakia huko, Dunia ingeamua washughurikiwe kivyovyote kwa sababu ndio wangeilinda dini hiyo kwa ugaidi wa hali ya juu sana kwa kukosa msingi wa kiutu na kiungu!
 
Miaka ya hivi Karibuni aliripotiwa na Al Arabiya kuwa asilimia zaidi ya 90 ya Hadith za Mtume hazifai kuwa vyanzo dini ya kiislam; sasa hivi amesema hadithi zote kwa sababu ziliandikwa miaka takribani 280 baada ya Mtume Mohammad kufa, hazifai kuwa chanzo Cha Imani ya kiislam
View attachment 2816463
Kwa sasa amepiga marufuku wanafunzi wa kike kuvaa habaya, Hijabu na niqab siku za mitihani, huko mitaani kuvaa Hijabu si shurti tena ila ni takwa la mwanamke na ameruhusu matamasha ya muziki ambako wanawake na wanaume wanachanganyiki
View attachment 2816466
Mimi kwa maoni yangu, huenda huyu Mwana wa Mfalme amesoma vizuri Quran yao Pamoja na hadithi za Mtume Mohammad akajionea mwenyewe madudu yaliyoko huko; mfano mzuri ni Sahih Al-Bukhari 4950 ambayo Shangazi wa Mtume Mohammad alimuita Allah "Shetani" na Allah mwenyewe HAKUPINGA kuitwa hivyo. Hii ikimaanisha kiukweli yule ambaye alimpa Mtume maahizo yote ya kwenye Quran ni Shetani
View attachment 2816477
Anataka kuimodernize Saudi Arabia ivutie watalii wa West sijui kama litafanikiwa kwa kuua culture zao
 
Hana jipya alicho ongea Qur'an imeisha sema miaka tusifate hadithi wakati Qur'an ina kila kitu.

Kuna Waislam wanaamini hadithi aliyo ongea yeye tu, si hadithi anakuja mtu anakuwambia Albukhari sijui kasema au flani kasikia the hadith ya Mtume Muhammad can be used as Islamic law.

However, Allah says in the Quran that following any law besides the Quran is forbidden.

أَفَغَيْرَ اللَّهِ أَبْتَغِي حَكَمًا وَهُوَ الَّذِي أَنزَلَ إِلَيْكُمُ الْكِتَابَ مُفَصَّلًا
Then is it other than Allah I should seek as judge while it is He who has revealed to you the Book explained in detail? … (6:114 part)
تِلْكَ آيَاتُ اللَّهِ نَتْلُوهَا عَلَيْكَ بِالْحَقِّ ۖ فَبِأَيِّ حَدِيثٍ بَعْدَ اللَّهِ وَآيَاتِهِ يُؤْمِنُونَ
These are the verses of Allah which We recite to you in truth. Then in what statement (hadith) after Allah and His verses will they believe? (45:6)
فَبِأَيِّ حَدِيثٍ بَعْدَهُ يُؤْمِنُونَ
Then in what statement after it (the Qur’an) will they believe? (77:50)
مَا لَكُمْ كَيْفَ تَحْكُمُونَ أَمْ لَكُمْ كِتَابٌ فِيهِ تَدْرُسُونَ إِنَّ لَكُمْ فِيهِ لَمَا تَخَيَّرُونَ
What is [the matter] with you? How do you judge? Or do you have a book / scripture in which you learn that indeed for you in it is whatever you choose? (68:36–38)
Conclusion

These verses make it very clear that the only source by which to judge according to Islam is the Quran and nothing else. God even specifically questions why people would believe in any hadith after the Quran has been revealed.
Quran haina kila kitu unajua kuwa Mecca imetajwa mara 2 tu
 
Miaka ya hivi Karibuni aliripotiwa na Al Arabiya kuwa asilimia zaidi ya 90 ya Hadith za Mtume hazifai kuwa vyanzo dini ya kiislam; sasa hivi amesema hadithi zote kwa sababu ziliandikwa miaka takribani 280 baada ya Mtume Mohammad kufa, hazifai kuwa chanzo Cha Imani ya kiislam
View attachment 2816463
Kwa sasa amepiga marufuku wanafunzi wa kike kuvaa habaya, Hijabu na niqab siku za mitihani, huko mitaani kuvaa Hijabu si shurti tena ila ni takwa la mwanamke na ameruhusu matamasha ya muziki ambako wanawake na wanaume wanachanganyiki
View attachment 2816466
Mimi kwa maoni yangu, huenda huyu Mwana wa Mfalme amesoma vizuri Quran yao Pamoja na hadithi za Mtume Mohammad akajionea mwenyewe madudu yaliyoko huko; mfano mzuri ni Sahih Al-Bukhari 4950 ambayo Shangazi wa Mtume Mohammad alimuita Allah "Shetani" na Allah mwenyewe HAKUPINGA kuitwa hivyo. Hii ikimaanisha kiukweli yule ambaye alimpa Mtume maahizo yote ya kwenye Quran ni Shetani
View attachment 2816477
FaizaFoxy dada yangu mzuri...mwamini Yesu tu

Malaria 2 wewe ni ndugu yangu, huko uliko utafanywa kuni hebu njoo kwa Yesu
Ninawapenda sana
 
Huku saudia si ndiko wavaa kobazi wanakoaminia mji mtakatifu wanakoenda kumpiga shetani mawe. Imekuwaje tena huyu mwana mfalme????
Cha Ajabu, pale Macca wanapohiji pana NYUMBA ya ALLAH walipo weka jiwe la Kaaba, na pana NYUMBA ya SHETANI ambayo huitupia mawe. Hawajiulizi tu kuwa Inawezekanaje Mahasimu wawili wakae eneo Moja???
Sasa hivi SIRI ZINAZIDI KUFICHUKA KUWA KUMBE SHETANI NDIYO HUYO HUYO ALLAH (Sahih Al-Bukhari 4950)
Kwenye Biblia Mungu alimtupilia mbali Shetani na kumzuia asiingie tena mbinguni ( Ufunuo 12:9-11)
 
FaizaFoxy dada yangu mzuri...mwamini Yesu tu

Malaria 2 wewe ni ndugu yangu, huko uliko utafanywa kuni hebu njoo kwa Yesu
Ninawapenda sana
Hawawezi kushindana na Hekima ya Mungu wa Kweli. Wao walipoamzisha Tovuti yao ya sunnah.com lengo lilikuwa kuwasilimisha wakiristo wengi. Wakafanya Quran hata sisi wengine tuichambue kirahisi. Sasa tunazidi tu kuyavumbua madudu yaliyoko humo ndani. Humo pia Kuna hadithi za Mtume Mohammad zinahalalisha ngono na mbuzi, punda etc. hiyo ni habari ya wakati mwingine.
 
Yupo sahihi 100% kwa moja kama una elimu utamuelewa...Mimi binafsi sisomi hadithi maana Qur an inatosha.

Logically hadith ikipishana na Qur an ni ubatili ....Ina maana Qur an inatosha kwa kila haina haja ya Hadith na hapo kweny hadith ndio njia watu wanatumia kupotosha watu mpaka uchuje maana wengine ni warongo.

😅Yupo sahihi maana huwezi kusoma hadithi pekee bila ya kujua Qur an na Hadith ikipingana na Qur an basi haifai ..

Tunapobishana hapa naona mnaleta hadithi mimi nataka Qur an hadithi ni za kutungwa nyingine mpaka usome uchuje....Kama lait wangu wangesoma hadith pekee basi wangepotea mapema maana mpokeo mengi ya ya uongo yaani dhaifu ....
 
Back
Top Bottom