Naomba Ufafanuzi kwanini Mwana wa Mfalme wa Saudia ameshika Kasi sana ktk kufanyia mafundisho mengi ya dini ya kiislam?

Naomba Ufafanuzi kwanini Mwana wa Mfalme wa Saudia ameshika Kasi sana ktk kufanyia mafundisho mengi ya dini ya kiislam?

Duuu 🤣 vitisho Biblia iliishasema vinatoka wapi Yohana 8:44.
Kukaa vifuani mwenu!!! wewe ambaye kwanza ukariri lugha ya msaudia!!🙃 TUSAIDIE BASI HATA KWA HII SERIKALI YETU YA TANZANIA ISIONDOE ENGLISH AS MEDIUM OF TEACHING IN SCHOOLS & UNIVERSITY. maana wanatuambia mother language is the best for teaching your students so they can understand the subject matter.
Ktk DINI ya kiislam kila muumini anajiamria mwenyewe, Duu ndyo maana hamuishi vurugu nyinyi

View: https://x.com/nirbhaysirohi/status/1725063922385137854?s=20

nashkuru umenielewa, sasa hoja zako za mtoto wa mfalme saudia arabia zimekwisha
 
Hapana mkuu, miaka 200 si uandishi wa Hadithi bali ni kuzijumuisha, Bukhari na Muslim na wakusanyaji wengine kazi yao ni kuchukua Vitabu ambavyo vilikuwepo na kuviunganisha kuwa kitabu kimoja for future generations. Kabla ya kina Bukhari na Muslim kulikua na vitabu Vingi tu, mfano Maimamu wanne walikua na Vitabu vyao na Kina Bukhari walisoma kwao. Mifano ya baadhi ya vitabu vya Hadith kuanzia miaka 16 tu baada ya Hijra, bado kipindi cha Makhalifa.


  1. Majmoah Saʽd ibn ʽUbadah (d. 16 AH)
  2. Majmoah Abd Allah ibn Mas'ud (d. 32 AH)
  3. Nuskha lil Imam Ali (d. 40 AH)
  4. Maktobat lil Amr ibn Hazm (d. 51 AH)
  5. Risaalah Samura ibn Jundab (d. 54 AH)
  6. Sahifah al-Sadiqah lil Abd Allah ibn Amr ibn al-As (d. 65 AH)
  7. Sahifah Jabir ibn Abd Allah (d. 74 AH)
  8. Majmoah Bashir Ibn Nahik (d. 91 AH)
  9. Sahifah Anas ibn Malik (d. 93 AH)
  10. Riwayaat ul Aisha lil Urwa ibn al-Zubayr (d. 94 AH)
  11. Riwayaat ul Ibn Abbas from Sa'id ibn Jubayr (d. 96 AH)
Kutokea Vitabu hivyo vya zamani ndio kina Bukhari wakatokea na ku grade kutokana na elimu zao.

Abu bakar ana Hadithi zaidi ya 142 na Bukhari na Muslim kama Sijakosea zipo zaidi ya 10.
Kama bukhari na Muslim waliosoma kwa hao maimamu wanne maana yake hao maimamu walikusanya hizo hadithi miaka 200+ baada ya kifo Cha mtume saw,bukhari na Muslim waliendeleza kazi za wazee wai za kukusanya Hadith,wakati wa mtume hapakua na vitabu vya Hadith
 
Kama bukhari na Muslim waliosoma kwa hao maimamu wanne maana yake hao maimamu walikusanya hizo hadithi miaka 200+ baada ya kifo Cha mtume saw,bukhari na Muslim waliendeleza kazi za wazee wai za kukusanya Hadith,wakati wa mtume hapakua na vitabu vya Hadith
Nimekuekea source kitabu cha kwanza ni 16AH na Mtume alifariki 11AH, miaka 5 baada ya kifo Cha mtume. Na vitu vingi vya kiisilamu viliwekwa katika text form wakati wa Outhman.
 
Sa we dogo umefahamu nilicho ongea, nimesema anaye ifahamu Qur'an haswa, lazima akifahamu kiarabu, hao wanaokariri nawalio hifadhi na kuifahamu Qur'an ni vitu viwili tofauti.

We ndio wale mlie ota kumuona Yesu mnadhani mmemuona live haha 😄

Afu huyo mtume wenu Paulo nani kampa utume mbona hamjibu? Na kitabu kipi alikuja nacho 🤪
Hilo la Paulo kuwa Mtume mbona hata Koran sura Yassin ilimemtaja Paul ila baadae mkaja badilisha ila kuna maandishi bado yapo na yanapatikana orignal yake kuwa zilikuwa enzi za Musa wakati mji uliokuwa unatajwa ni Antikia Uturuki kwa sasa enzi za Musa wayahudi hawakuikataa Torah na Prophet walikuwa ni Musa na Aaron hamna wa tatu ila aya hii inafiti kwa Simon John na Wa tatu Paul aka Bulus.. kilichowaudhi Muslim kuona hao Mitume walitumwa na Yesu wakati wenyewe wanataka isomeke Allah not Isa


Ibn Jurayj narrated from Wahb bin Sulayman, from Shu’ayb Al-Jaba’i, "The names of the first two Messengers were Sham’un and Yuhanna, and the name of the third was Bulus, and the city was Antioch (Tafsir Ibn Kathir)
36:14

When We sent to them two Messengers, they denied them both;)
means, they hastened to disbelieve in them.
(so We reinforced them with a third,)
means, "We supported and strengthened them with a third Messenger".
Ibn Jurayj narrated from Wahb bin Sulayman, from Shu'ayb Al-Jaba'i, "The names of the first two Messengers were Sham'un (Simon?)and Yuhanna (John?), and the name of the third was Bulus(Paulus, Paul?), and the city was Antioch (Antakiyah).
(and they said)
means, to the people of that city, (Verily, we have been sent to you as Messengers.)
meaning, "from your Lord Who created you and Who commands you to worship Him Alone with no partners or associates". This was the view of abu Al-'Aliyah. Qatadah bin Di'amah claimed that they were messengers of the Messiah, peace be upon him, sent to the people of Antioch.
Tafsiri Ya Aya 36:14 ibn kathir
036Yasin_0015.jpg
036Yasin_0016.jpg
036Yasin_0017.jpg
036Yasin_0018.jpg
 
Wamebakia mashia wa kiajemi. Ila nso yale maandamano na vurugu zilizotokea Tehran mwaka jana zimewafanya wapunguze makali ya sheria ya mavazi
 
Hilo la Paulo kuwa Mtume mbona hata Koran sura Yassin ilimemtaja Paul ila baadae mkaja badilisha ila kuna maandishi bado yapo na yanapatikana orignal yake kuwa zilikuwa enzi za Musa wakati mji uliokuwa unatajwa ni Antikia Uturuki kwa sasa enzi za Musa wayahudi hawakuikataa Torah na Prophet walikuwa ni Musa na Aaron hamna wa tatu ila aya hii inafiti kwa Simon John na Wa tatu Paul aka Bulus.. kilichowaudhi Muslim kuona hao Mitume walitumwa na Yesu wakati wenyewe wanataka isomeke Allah not Isa


Ibn Jurayj narrated from Wahb bin Sulayman, from Shu’ayb Al-Jaba’i, "The names of the first two Messengers were Sham’un and Yuhanna, and the name of the third was Bulus, and the city was Antioch (Tafsir Ibn Kathir)
When We sent to them two Messengers, they denied them both;)
means, they hastened to disbelieve in them.
(so We reinforced them with a third,)
means, "We supported and strengthened them with a third Messenger".
Ibn Jurayj narrated from Wahb bin Sulayman, from Shu'ayb Al-Jaba'i, "The names of the first two Messengers were Sham'un (Simon?)and Yuhanna (John?), and the name of the third was Bulus(Paulus, Paul?), and the city was Antioch (Antakiyah).
(and they said)
means, to the people of that city, (Verily, we have been sent to you as Messengers.)
meaning, "from your Lord Who created you and Who commands you to worship Him Alone with no partners or associates". This was the view of abu Al-'Aliyah. Qatadah bin Di'amah claimed that they were messengers of the Messiah, peace be upon him, sent to the people of Antioch.
Hivi unaifahamu Qur'an au unaimba kwaya tu, hizo ni fake hadith ndio tunazo zipiga vita, we chizi kweli unafananisha jua na tochi 😄
 
Hakuna ushahidi kuwa Muhammed alikuwa real historical figure, biography ya kwanza ya Muhammad iliandikwa zaidi ya miaka 2 na watu ambao hawajawahi, kumuona
Kaburi lake lipo pia kizazi chake cha wakina husain kiliendelea na mpaka leo kimeacha impact kwenye dunia

Sent from my Infinix X6517 using JamiiForums mobile app
 
Hakuna muislamu mwenye chuki na mtu yoyote , duniani kote waislamu wanajulikana tabia zao, huwa hatuweki chuki kwenye mioyo yetu, angalia leo tu zaidi ya post 4 humu jf za kukashifu uislamu tu, sasa hapo nani mwenye chuki?
hamna kashfa ndio Mafundisho yameandikwa hivyo au una mchallenge Allah na Mudy? kuwa they are bunch of liars
 
hamna kashfa ndio Mafundisho yameandikwa hivyo au una mchallenge Allah na Mudy? kuwa they are bunch of liars
Sawa ila cha ajabu hiyo dini yenu wenyewe mnaiona kama ya mchongo ndio maana kutwa mnahangaika na uislamu amabo unalindwa na mungu mwenyewe , na wengi wenu mnatamani kuwa waislamu mnabakiea kuwa na chuki tu, tutaendelea kukifuata kitabu chetu kitukufu na nyie endeleeni kufuata maelekezoo ya papa
 
Tuwekee hizo Ayya 2 Zilizotaja Mecca
Wanachanganya na Bakka ambayo ndio historia inaonesha ndio ina mazingira yote ya kuwa ndio ulikuwa mji wa kihistoria Mecca pale palikuwa jangwa tu enzi hizo watu hawaishi
 
Mwana wa Mfalme he's smart. Anawajua hawa watu vurugu zao ndyo maana ameanza mdogo mdogo. Anajua fika kuwa kwa jinsi Imani ya kiislam ilivyojengeka, Muislam hawezi endesha ibada yake bila Sunnah (hadithi za Mtume) hizo ibada Tano, hijja, utekelezaji wa Sharia, hizo Hijabu etc vyote vimo kwenye hadithi
Kwa hiyo kimsingi ameanza ku dismental Islam.

ni ngumu kutenganisha hadith na quran.. maana kuna ukinzani katika hili.. sababu ya ambiquity za aya na ukakasi kwenye quran basi inasemekana ufafanuzi unapatikana kwenye hadithi kwa maana mtume alitoa ufafanuzi kwa maswahiba wake..

mfano ishu ya muhamad kwenda mbinguni na kupokea amri ya kuswali sala tano.. kuna maelezo kuwa sala zilitakiwa ziwe 50 kwa siku.. ila kwa msaada wa Nabii Musa mtume Muhamad akabargain na Allah zikashuka hadi 5... hiki kinafundishwa ama kuelezewa kila kona na Mashekhe wa dunia kupitia hadithi ili kueleza chimbuko la Swala tano ila hakipo kwenye Quran..

ila kwenye quran (surah isra wal miraj) inaelezea kuhusiana na safari yake haielezei matukio ya huko kama kukutana na Nabii Musa, na manabii wengine na kuhusiana na hizo sala za kwanza ambazo zilikuwa hamsini. so utaona kuwa bila hadithi mambo mengi kwenye mfumo wa kislam hayana msingi au majibu kutokea kwenye quran.. ndo maana kuna narrations za hadith
 
Sasa wewe unapoteza mda maana 😅😅 Waislamu hawafuati matamko ya watu kama mnavyofuata matamko ya papa ....Mfano papa kasema ndoa za jinsia moja basi unatafuta chanzo ili usawazishe 😅😅..

Inauma sana ila hakuna muislamu asiyejua maovu ya Mwana wa mfalme na yule hana jipya kweny uislamu anatarat8bu nchi yake miaka na miaka hawezi kubadili hata dot kweny Qur an.


Kuhusu hadithi mpaka kesho tunajua zipo dhaifu na sahili😅😅... Hadith ikipingana na Qur an kidogo basi ni batili na watu hawasomi kabisa
Wanadhani Qur'an ni kama gazeti kwamba ukisoma tu umeelewa 😂😂
 
Ila ndio makao makuu ya uislamu sio?

Na ndio wanaoujua uislamu vizur kuliko wewe mswahili sio??
😅😅Uislamu hauna makao makuu pale watu wanaenda kufanya ibada(Hijjah) kama mnavyoenda pale kweny ukuta wa israel japo kubwa israel sio taifa la wakristo...
 
Sawa Mkuu sisi Makafir na akili zetu. Ila ujue huyo Zumaradi wala si Mtume ambaye Biblia imetuagiza tumfuate. Sisi tumeagizwa tumfuate Yesu. Hebu mlinganishe Yesu wa Biblia na Mtume Mohammad wa Quran. Mtume Mohammad ni uchafu kabisa. Angalia hapa kwenye video jinsi alivyoshikwa na tamaa ya ngono na kitembea na Maria, mjakazi wa mke wake, Hafsa. Mara mbili alifumaniwa na ili ajilinde ati akadai Allah alimshushia Aya (At-Tahrim na An-Nisa) za Quran kuhalalisha uchafu alilofanya. Halafu mtu na akili Yako unafuata mafundisho yake 😭


View: https://youtu.be/HB7Lk58HGXc?si=cLwLn_zyZ6oab9P3

Kwamba hivyo vibonzo na stori za kutunga ndiyo zinaufanya uislamu usiwe dini ya haq? Kama ulikuwa haujui maria alikuwa ni mke wa mtume muhammad (swala na salamu ziwe juu yake ) sasa sijui mnapata faida gani kusambaza hizi video zenye uongo kumuhusu yeye rasulullah.
 
Mkuu kaeni darasani msome dini yenu, mnamaanisha mtume muhammad swala na salaam ziwe juu yake alikuwa bubu au?! sasa nani atawafafanulia Qur'an zaidi ya mtume mwenyewe aliyeteremshiwa?! kwani Qur'an imewafikiaje nyie kama sio kupitia haohao walioyafikisha pia maneno ya mtume عليه الصلاة و السلام, jambo la kutambua ni kwamba Qur'an imeelekeza kufuata hadithi za mtume kwa ulazima, ukifupizika na Qur'an una sehemu katika kuukataa uislamu.

Mwisho, utaswali vipi, utatoa zaka vipi bila kumsikiliza mtume amefundishaje?! au mtume alikuwa bubu?! au yeye pia haaminiki?!.
Sikiliza nikuambie hakuna hadithi ya kweli inapingana na Qur an ....Ina maana ni mule mule hamna tija ...Kutofuata hadithi ni dhambi?


Katika hadithi lazima uwe na elimu ya Qur an ,kwa nn kuna hadithi dhaifu na wewe unatumia kigezo kutambua hadith sahili!?

Point ni pale pale usome hadithi ili iwe ya kweli isipingane na Qur an maana Qur an ndio muongozo.

Ukisoma hadithi kuna hadithi inasema "Mtume hafanyi bali kilichoamrishwa na Qur an"

Usitumie Ego ina maana matendo ya mtume yanaendana na Qur an hazina tofauti ,ukijua Qur an ndio itakupa muongozo hata mtu akitaka kudanganya ...

Maana hiyo Qur an ndio imesema mtume ni kiigizo au mfano mzuri..

Short and clear Qur an ndio muongozo wa yote na Qur an ndio inakuwa uelewa wa kuwa na akili ipi ni hadithi dhaifu....Baada ya kutwawafu kwa mtume palitokea watu wakitaka kurithi uongozi ambao ndio wengine walizua mambo (Bidaa) ,hapa sijataja bidaa kwa ni kitu ila kuna mambo yalizuliwa na ni uongo Mtume hakuwahi kufanya.
 
Wajua kuwa Uislam una Sekta ngapi?
  • Sunni, the largest branch, which follows the tradition of the majority of Muhammad's companions.
  • Shi'a, the second largest branch, which follows the lineage of Muhammad's cousin and son-in-law Ali.
  • Ibadi, a branch that emerged from an early schism over the legitimacy of the caliphs.
  • Ahmadiyya, a branch that believes in the messianic claims of Mirza Ghulam Ahmad, a 19th-century Indian reformer.
  • Sufism, a mystical branch that emphasizes the inner and spiritual aspects of Islam.
Uislamu hauna sekta hizo ndio maana nakuambia wewe ni totally deceiver ba hauna uelewa ..
Unajua sekta ni nn? Ukitaja sekta za uislamu labda useme watu wa sharia ,watu wa sayansi ,tarekhe, sunnah na hadithi .
Unacopy kweny website za urongo ndio tatizo ,kijana kaa chini usome kila muislamu anasoma Qur an original then ndio atafsiri ili kuepuka watu kama nyie ..

Mfano wewe hujui kibrania na unavyosoma biblia unasoma tafsiri ya uongo ,rejea ile tafsiri ya kupewa vitu mara 100 kweny version ya kiswahili mke hayupo ila kweny kingereza mtapata wake mara 100 😅😅.

Qur an 2:75 inawataja watu kama nyie 😅.!😅
 
Back
Top Bottom