Naomba Ufafanuzi kwanini Mwana wa Mfalme wa Saudia ameshika Kasi sana ktk kufanyia mafundisho mengi ya dini ya kiislam?

Naomba Ufafanuzi kwanini Mwana wa Mfalme wa Saudia ameshika Kasi sana ktk kufanyia mafundisho mengi ya dini ya kiislam?

Nakuacha na Ujinga wako kaulize Sheikh anayejua kiarabu akuambie Bulus ni nani... kama huendani na age ndio nakuona wewe ni foolish donkey.
Bulus Shoga kivipi na hana historia hiyo Mohamed ndie Shoga alidinywa na wanaume weusi usiku mzima asubuhi akawa analalamika maumivu...

Wewe unapenda ligi na sio kuelewa au unafanya makusudi tu sababu ya ujinga.. Koran imethibitisha Torati na Injili kuwa ni vitabu vya Allah kipindi hicho kuwa vipo sawa so kama unavibishia is up to you utabishana na Allah wako...
Qoran 3:3 نَزَّلَ عَلَيْكَ ٱلْكِتَـٰبَ بِٱلْحَقِّ مُصَدِّقًۭا لِّمَا بَيْنَ يَدَيْهِ وَأَنزَلَ ٱلتَّوْرَىٰةَ وَٱلْإِنجِيلَ ٣

He has revealed to you ˹O Prophet˺ the Book in truth, confirming what came before it, as He revealed the Torah and the Gospel
Maandiko yalikujieni kwa haki, yakiamini yaliyo mikononi mwake, na kuyafunua Torati na Injili.

10 94
فَإِن كُنتَ فِى شَكٍّۢ مِّمَّآ أَنزَلْنَآ إِلَيْكَ فَسْـَٔلِ ٱلَّذِينَ يَقْرَءُونَ ٱلْكِتَـٰبَ مِن قَبْلِكَ ۚ لَقَدْ جَآءَكَ ٱلْحَقُّ مِن رَّبِّكَ فَلَا تَكُونَنَّ مِنَ ٱلْمُمْتَرِينَ ٩٤

If you ˹O Prophet˺ are in doubt about ˹these stories˺ that We have revealed to you, then ask those who read the Scripture before you. The truth has certainly come to you from your Lord, so do not be one of those who doubt,
Tuulizeni sisi watu wa kitabu
Kwanza wewe ni mpumbavu aliye leta Qur'an anaifahamu kuliko aliye tafsiri na Mtume Muhammad amesema baina ya Yesu na Mtume Muhammad hakukuwepo Mtume aliye tumwa na Mungu na nimeisha kueleza aliye tafsiri huyo katafsiri majina matatu tofauri sa vipi tumuamini alicho tafsiri?

Pili hiyo Surat Al Kyahfu ilikuwa inaongelea wakati wa Nabii Mussa, hakuwepo Yesu wala Mitume Muhammad kwenye hio story, hapo ndio ufahamu ujinga wa kudandia tafsiri ambaye anatafsiri vitu vitatu kwa kutumia jina hilo hilo.

Turudi tena Je Paulo alikuwepo kabla ya Jesus? Yani alikuwa messenger kabla ya Yesu? We kichaa nini.

Leta ushahidi wako unacho ongea kama Mtume Muhammad alikuwa shoga, si unaongea kama mlevi au mvuta bangi

Mimi na ushahidi Paulo alikuwa ni shoga tazama hata mpaa anakufa hakuwa na mke na alikuwa anafatana na vitoto vya kiume, alikuwa muwaji, alikuwa anapinga alicho funza Yesu, alikuwa hapendi kuona wanaume wanaowa we huoni hata wachungaji makanisani hawapendi kuowa 😄 afu mnasema utume kapewa na Yesu., wapi Yesu na wapi yeye.

We ni mpumbafu huna lolote zaidi ya kuleta ujinga ulio kuwa hauna dalili, yani wewe ni sawa sawa na kumlazimisha mama yako hajui alitembea na wanaume watatu, nani akampa mimba wewe ulazimishe baba wako ni yule mmoja katika watatu aliye wataja mama yako, hujachunguza kwa uhakika ni nani baba yako haswa.

Nenda kaimbe kwaya kanisani za kusema Yesu kabeba dhambi zenu, si ndio hapo ujuwe ujinga wa Paulo yani wewe kafanye ushenzi wa kila aina fanya uwaji, iba, sex nje ya ndoa, dhulumu, wewe fanya uchafu wote mzigo kisha ubeba Yesu 😄

Je Yesu ndio alifundisha hayo? Au Paulo, we akilini mwako haswa kuna mtu anaweza kukubali kubeba dhambi za wengine?

Kuhusu vitabu Mtume anaviongelea vitabu vilivyo shushwa kabla Qur'an na vitabu hivyo ni Zaburi, Torati na Injili aliye kuja nao Yesu sio hio takataka ya Paulo 😄

Lini mtatoa agano jipya lingine ukristo ni ujinga tu.
 
Kwanini hujibu swali langu ? Nimekutaka uthibitishe ya kuwa hayo ni uongo na hajasema Mtume. Unaleta stori.
Nimeisha kueleza kuna hadith fake na ziko sahihi hizo mnazo tuletea hapa ni fake sa niongee mara ngapi? Hadithi yoyote ile haindi na Uislam haiwezi kuwa ni hadith sahihi hata siku moja.
 
"Mecca was declared the holiest site in Islam ordaining it as the center of Muslim pilgrimage (Hajj), one of the Islamic faith's Five Pillars"

Nipe maana ya hii sentensi?
Hata ulichoandika hujui mbona ,Mecca ndio sehemu takatifu waislamu wanaensa kuhijj na sio mji mzima wa Saudi arabia ....Tunaongelea location ya kaabah hata kama Mecca itachukuluwa na uongozi wa kifreemason au dini nyingine , waislamu wataendelea kwenda kuhijj maana ile ni sehemu ya kihistoria ...

Kama ilivyo israel wanaenda kuhjj kweny ule ukuta hata kama nchi inaongozwa wazayuni ...
 
Some of those hadiths in sahih al bukhari depict despicable things that muhammad did. If you read them you start to wonder how people believe this guy was sent by god

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bilal ana hadithi zaidi ya Moja. Ukisoma kwenye Sunan Abu Daudi zipo, kwenye Sahihi Muslim utakuta kadhalika kwenye Sunan Tirmidh utakuta.

Kingine kuhusu swahaba Abuu Huraira kuhadithia hadithi nyingi kuna sababu zaidi ya tatu wanazuoni wamezielezea.
Abu huraira ni fictional character, hakuwepo,mnapangwa tu, mengine ni kuhalalisha ya Abu huraira
 
Ila waislam mnashida ya akili
Unajua ninyi mnachekesha sana!

Wewe si muislam, mimi ndiye muislam. Ajabu wewe ambaye si muislam unanilazimisha mimi muislam kwamba huu ndiyo uislam halisi na huu si uislam halisi.

Sasa mimi na wewe ni nani mwenye shida ya akili?
 
Waislam kwa story za kupika!! Mnatisha kama baba yenu yule SHETANI MKUBWA kabisa-Allah
View attachment 2818359
Hoja zako zote nilizokujibu hakuna hata moja uliyofurukuta nayo!

Unajua ni kwa nini?
Kwa sababu mimi ni msomi wa hii dini na wewe si msomi wa hii dini. Kwangu huwezi kufurukuta.

Njia pekee uliyobaki nayo ni hii ya kuchochea kejeli za hapa na pale. Na kwa bahati mbaya mimi si muumini wa hiyo michezo yenu.

Wewe kama una hoja lete utajibiwa. Mbali na hapo michezo ya kejeli mimi siiwezi.
 
Kama alikutana na senator wa marekani inakufanya Aboubakar Al Baghdad kutokua Muislam? Osama bin Laden alikua trained na CIA je ilimuondolea uislam wake? Dini ya uislam haiwezi kushea space na dini nyingine endapo waislam mtaamua ku-practice uislam kwa 100%.
Unajua tatizo lako liko wapi?
Ukizungumzia uislam unazungumiza elimu. Kwa ufupi ili uuelewe uislam inabidi uusome na wala si kutumia fikra au logic.

Nikuhabarishe labda! Uislam upo wazi; kuna vitu au mambo ukiyafanya huyo muislam anakuwa ameshatoka kwenye uislam. Na ndiyo maana tunawashauri kabla ya kuleta hoja kwenye uislam inakubidi uusome na kisha ulete hoja! Hii ni kesi namba moja.

Kesi namba mbili
Umesahau kuwa US wanamsemo wao maarufu unaosema "we do not negotiate with terrorists". Umeusahau?!

Kama hali ndiyo ya namna hiyo huyo gaidi anafanya nini kwao?
 
Hapo Tanzania tungekua tunawalipa Kodi ya jizya,wanawake wasio waislam wangekua wanaruhusiwa kutumika kingono na wanaume wa kiislam bila huruma nk. Islam is not a religion of peace against other faiths
Duh! Hii umeitolea wapi?
Sitaki maneno mengi katika hili! Leta andiko!
 
Kama unajua kiingerezq hebu msikilize huyu Muslim scholar maarufu kabisa akiongelea issue ya utumwa kwa wanawake mateka wa vita kwenye uislam. Dk shabir Ally.


View: https://youtu.be/WjHB7DZke_c?si=ynkjrdfri5oq8Bw5

Dkt. Shabir si scholar! Dkt Shabir ni mhadhir kama akina Mazinge au Dkt Sulley! Ni watu wa kwenye mihadhara.

Mimi usinipatie ushahidi wa fulani kasema hivi! Mimi niletee ushahidi wa andiko. Nipatie kitabu cha dini ya kiislamu kinachozungumza kama hoja yako ulivyoileta. Kiwe cha lugha ya Kiingereza, Kiswahili au Kiarabu. Wewe niletee hilo andiko.
 
Dkt. Shabir si scholar! Dkt Shabir ni mhadhir kama akina Mazinge au Dkt Sulley! Ni watu wa kwenye mihadhara.

Mimi usinipatie ushahidi wa fulani kasema hivi! Mimi niletee ushahidi wa andiko. Nipatie kitabu cha dini ya kiislamu kinachozungumza kama hoja yako ulivyoileta. Kiwe cha lugha ya Kiingereza, Kiswahili au Kiarabu. Wewe niletee hilo andiko.
Qur'an (65:4) The waiting period of those of your women who have lost all expectation of menstruation shall be three months12 in case you entertain any doubt; and the same shall apply to those who have not yet menstruated. As for pregnant women, their waiting period shall be until the delivery of their burden.



View: https://youtu.be/ZkbyW4DxMOg?si=nufpGL1fPDhWGIFG
 
Mkuu kaeni darasani msome dini yenu, mnamaanisha mtume muhammad swala na salaam ziwe juu yake alikuwa bubu au?! sasa nani atawafafanulia Qur'an zaidi ya mtume mwenyewe aliyeteremshiwa?! kwani Qur'an imewafikiaje nyie kama sio kupitia haohao walioyafikisha pia maneno ya mtume عليه الصلاة و السلام, jambo la kutambua ni kwamba Qur'an imeelekeza kufuata hadithi za mtume kwa ulazima, ukifupizika na Qur'an una sehemu katika kuukataa uislamu.

Mwisho, utaswali vipi, utatoa zaka vipi bila kumsikiliza mtume amefundishaje?! au mtume alikuwa bubu?! au yeye pia haaminiki?!.
Hawa watu wanasikitisha sana Accumen Mo na inamankusweke nakusihini pamoja na kuisihi nafsi yangu katika kumcha Allah na kusoma mafundisho Sahi ya dini yetu ili tuongeze ufahamu na ujuzi katika masuala mbalimbali ya kidini.

Ni ajabu sana muislamu kukataa hadithi kabisa kwa madai Qur'an inatosha na mengineyo hata kikawaida darasani lazima mwalimu awepo wa kufafanua mafundisho katika kitabu na kuelezea namna ya kuyaendea ndio maana haukupewa vitabu pekee ujisomee mpaka darasa la 7 , secondary nk japo mtu anauwezo wa kusoma na kuelewa sasa iweje elimi ya dini iachwe hivi hivi na kufungua mlango wa kila mtu kutumia fikra zake ?

Mimi nimesoma Qur'an yote word to word sehemu nyingine kibao vitu vimeweka in general ukiweka fikra zako unapotea lazima upate muongozo kuhusu umahasusi wa Aya ,lengo na ufanuzi kupitia hadithi n.k

Hata Ibada zetu tunazoziendea kila siku huwezi kukuta katika Qur'an in details nyingine hata kutwaja hazijatajwa , sasa kusema Qur'an inatosha hakuna haja ya hadithi ni sawa na kuipinga Qur'an yenyewe na kufanya uislamu uwe kama ugalatia kila mtu kutia fikra zake.

Uzuri ni kwamba hadithi hazikuwa zinachukukiwa kiholela kama maneno ya vijiweni bali kuna mlolongo wake na elimu pana katika hilo. Dini ninkusoma na sio kuleta fikra ,jazba na mihemko..
 
Hawa watu wanasikitisha sana Accumen Mo na inamankusweke nakusihini pamoja na kuisihi nafsi yangu katika kumcha Allah na kusoma mafundisho Sahi ya dini yetu ili tuongeze ufahamu na ujuzi katika masuala mbalimbali ya kidini.

Ni ajabu sana muislamu kukataa hadithi kabisa kwa madai Qur'an inatosha na mengineyo hata kikawaida darasani lazima mwalimu awepo wa kufafanua mafundisho katika kitabu na kuelezea namna ya kuyaendea ndio maana haukupewa vitabu pekee ujisomee mpaka darasa la 7 , secondary nk japo mtu anauwezo wa kusoma na kuelewa sasa iweje elimi ya dini iachwe hivi hivi na kufungua mlango wa kila mtu kutumia fikra zake ?

Mimi nimesoma Qur'an yote word to word sehemu nyingine kibao vitu vimeweka in general ukiweka fikra zako unapotea lazima upate muongozo kuhusu umahasusi wa Aya ,lengo na ufanuzi kupitia hadithi n.k

Hata Ibada zetu tunazoziendea kila siku huwezi kukuta katika Qur'an in details nyingine hata kutwaja hazijatajwa , sasa kusema Qur'an inatosha hakuna haja ya hadithi ni sawa na kuipinga Qur'an yenyewe na kufanya uislamu uwe kama ugalatia kila mtu kutia fikra zake.

Uzuri ni kwamba hadithi hazikuwa zinachukukiwa kiholela kama maneno ya vijiweni bali kuna mlolongo wake na elimu pana katika hilo. Dini ninkusoma na sio kuleta fikra ,jazba na mihemko..
Sheikh, qur'an imesema wazi inafafanua aya kwa aya,na kusema hadith no ufafanuzi wa qur'an,hili so kweli, hadith huzua vitu vipya ambavyo kwenye qur'an havipo,mfano mzinzi mwanandoa kupigwa mawe hadi kufa,mwanamke kwenye hedhi kutofunga ramadhani ilhali quran ilishasema nani mwenye udhuru wa kufunga, Hadith zinasema udhu wa dhuh'ri unaweza utumia mpaka isha almuradi hukujamba wakati quran imesema tushike udhu kila tutakapo kuswali,qur'an imesema seals tusizifanye kwa sauti za juu sana wala kimyakimya hadith zinasema tuswali kimyakimya dhuh'ri na l'asri,huo siyo ufafanuzi bali kwenda kinyume,mtume alikua na maekezo juu ya aya lakini so kwenda kinyume na aya...leo waislam wanamsubiri nabii issa arudi,wapi qur'an imesema hilo kama so kufuata vitu vya kwenye biblia!?..
 
Back
Top Bottom