Naomba ufafanuzi wa gari aina ya Toyota Rumion

Mpaka hapa Hakuna aliyemshauri, mnamjadili, Honda sio Gari Baya Kwa kweli, Ila kweli maelezo yako wewe endelea Na Toyota tu, Na Toyota Kwa kweli nakushauri stay Kwa IST ruminion sina kabisa uzoefu nayo...
Fata huu ushauri Mzee ... Utakuja kushukuru baadae
 
Mi ninaendesha passo nishatembea zaid ya km elf 60 sijabadili atf
 
Nakukimbusha tu na uzingatie hilo. Hiyo gari ukipata siku ya kumwaga transmission fluid au hydraulic uwe makini kutoweka za gari yoyote uliyozea. Uweke ya CVT version.

Hizo gari zina gear box ya mfumo wa CVT.
Mkuu fafanua hapa.
Sijakupata vizuri
 
Nilikuwa nayo Rumion 2021.gari mzuka sana kwa spidi,mafuta inanusa.niliachana nayo sababu niliamia kwangu makazi mapya barabara mabonde na dongo jekundu kingolwira.
Ila uliivalia soxk.
 
Nilikuwa nayo Rumion 2021.gari mzuka sana kwa spidi,mafuta inanusa.niliachana nayo sababu niliamia kwangu makazi mapya barabara mabonde na dongo jekundu kingolwira.
Ila uliivalia soxk.
Shida kubwa kubwa ya rumion ni barabara zetu za uswahilini. Yangu IPO mpaka Leo ila nipo kwenye mchakato wa kubadilisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…