Naomba ufafanuzi wa gari aina ya Volkswagen Polo

Huyo ni mdogo kuna Kaka yake Volkswalgen GOLF GTI (260KM/H) yule LC 200 V8 kwenye lami kakutana na mwamba

View attachment 1602211
View attachment 1602213
Siifagilii hio lc200 sana

Ila drag race sehemu pamenyooka utaiacha vizuri bila kipingamizi ..ila kama mnatoka mkoa to mkoa panda shuka bamsi, mara kipande cha lami hakipo ndo utajua lc200 ni kitu gani

Itakuchapa kwenye total score huwezi toboa mbele yake route ndefu
 
Mjerumani unamjua unamsikia?
 
In fact inategemea,If it was Golf GTI inaweza kuwa na speed kubwa ikiwa kwenye peak kuliko kuliko Crown,Mark x etc based on speed range.But for Polo I don't think so. 😁 😁 😁
Mkuu kuna fact ya power to weight ratio pia.

Naona kama crown ni nzito kuliko polo Gti, lakini kuchanganya Crown never dis appoint.
 


Crown Kubwa Jinga, Mjapan anaweka Engine kubwa zisizo na maana,
Sasa akifikia 180km/hr baada ya hapo hana kitu mjerumani anamuomba njia tu!
 
Roli linahorse power ngapi!?, Linaweza kukimbizana na crown?

Sent from my Infinix X688C using JamiiForums mobile app
 
Kaka upo sahihi sana, Volks polo au golf nyingi zinaenda speed 220 =- 260 nyingine mpaka 300 kph. We na crown yako 180 kph unamkataje huyo mtu
 
Kama unataka kuona kinachotokea mimi nipe hiyo gari halafu tuanze kuchapa tairi we chukua Mark X au Crown twendd kazi then uone balaa lake.
Mark x yenye 260kph itakuacha tu mkuu....
 
Mark x yenye 260kph itakuacha tu mkuu....
Mjapani gari mdogo kama sedan, kazi limit 180 km/h, labda kwa matoleo ya SUV naona anasogea mpaka 260km/h

Ila kwa masoko yake na viwanda vyake vya Europe / America ana gari zinafika mpaka 300km/h.
 
Mjapani gari mdogo kama sedan, kazi limit 180 km/h, labda kwa matoleo ya SUV naona anasogea mpaka 260km/h

Ila kwa masoko yake na viwanda vyake vya Europe / America ana gari zinafika mpaka 300km/h.
Hiyo ni sedan (mark x ) na ina 260kph mkuu.... Kuna video hapo nimeaatach unaweza ichungulia.... hizi mark x zenye 260kph ni special for hong Kong mkuu....
 
we iyache polo kabisa mkuu usiifananishe na magari mengine ile speed ni 220 sasa hawa wa mia 180 wanaongea nni
usikariri mzee, ukikutana na Mark X yenye bango la 260kph huyo Polo wako atakunishwa nazi tu. Tatizo mnamdharau mjapani sababu ya sheria yake ya 180KPH ila ukimpata mjapani wa European Market ni shida
 
usikariri mzee, ukikutana na Mark X yenye bango la 260kph huyo Polo wako atakunishwa nazi tu. Tatizo mnamdharau mjapani sababu ya sheria yake ya 180KPH ila ukimpata mjapani wa European Market ni shida
Toyota ana varieties, VW hana hicho kitu.
 
First ile crown kupitwa vile...tukumbuke kuwa ile crown ni kwa ajili ya JDM..japan domestic market where speed iko limited to 180kph...gari yoyote yenye hp 200 petrol saloon ama kipotapo inaeza toboa 220kph ..crown pale ilikuwa inaeza zidi ila ina limiter


Afu wabongo pia hadi umwambie et gari ina speedo flan ila haiwezi fika mtagombana hadi kesho..ni ngumu kuelewa..nishawah bishana na mtu nikampa mfano toyo akasema inafika 140😁 bajaj nayo anasema inafika 80kph kisa ina dash hio..ukimuuliza anakwambia walioweka sio wajinga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…