G-Funk
JF-Expert Member
- Feb 10, 2022
- 2,398
- 5,554
Wenye Crown na wanaojua gari wanatambua kuwa kwenye mnyooko ndani ya dakika tu Crown inakuwa imeumaliza mwendo. Inadevela kwenye 180-190 haiendi zaidi na.chuma inatulia vizuri kwenye lami.First ile crown kupitwa vile...tukumbuke kuwa ile crown ni kwa ajili ya JDM..japan domestic market where speed iko limited to 180kph...gari yoyote yenye hp 200 petrol saloon ama kipotapo inaeza toboa 220kph ..crown pale ilikuwa inaeza zidi ila ina limiter
Afu wabongo pia hadi umwambie et gari ina speedo flan ila haiwezi fika mtagombana hadi kesho..ni ngumu kuelewa..nishawah bishana na mtu nikampa mfano toyo akasema inafika 140😁 bajaj nayo anasema inafika 80kph kisa ina dash hio..ukimuuliza anakwambia walioweka sio wajinga
Yani kipande cha Mlimani mpaka Ubungo tu pasipokuwa na mushkeli hasa usiku unamaliza 180kph kwenye crown ila kwa Polo ya 1300cc huwezi fika hio speed ukijitahidi sana utaiptia Riverside au Mabibo hostel. Hapo ndio tofauti ya Horsepower inapoonekana.