Naomba ufafanuzi wa gari aina ya Volkswagen Polo

Wenye Crown na wanaojua gari wanatambua kuwa kwenye mnyooko ndani ya dakika tu Crown inakuwa imeumaliza mwendo. Inadevela kwenye 180-190 haiendi zaidi na.chuma inatulia vizuri kwenye lami.

Yani kipande cha Mlimani mpaka Ubungo tu pasipokuwa na mushkeli hasa usiku unamaliza 180kph kwenye crown ila kwa Polo ya 1300cc huwezi fika hio speed ukijitahidi sana utaiptia Riverside au Mabibo hostel. Hapo ndio tofauti ya Horsepower inapoonekana.
 
Mjerumani unamjua unamsikia?
Route ndefu nakupa hata ka prado j150 1GD FTV ...ile gari ni nikichaa niliwahi ishuhudia moja STL naiona kwanzia mbali namna inanepa kwenye road iko machafu balaa ilipiga sehemu lami ni mbovu ikatoka na kipande cha lami afu like hamna kilichotokea jamaa akapotea...2min later ikaja brevis pale pale daaa kidogo safari yao iishie pale pale...achana na gari kubwa asee
 
Mjerumani anatengeneza vyuma hasa, ila kwa miundo mbinu yetu sio sehemu yake, Mjapani ndio ndugu yetu kabisa. Sioni Mantiki ya kushindanisha Germani machine na Mjapani kwa barabara zetu hizi. Watu wanaoweza kutupa jibu zuri ni wale wenye miundo mbinu mizuri na wameweza ku experience gari za Mjapani zenye level mmoja na mjerumani.
 
Naendelea kujifunza kitu...

Polo na Golf seems wana kitu[emoji39]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…