Naomba ufafanuzi wa gari aina ya Volkswagen Polo

Naomba ufafanuzi wa gari aina ya Volkswagen Polo

Mkuu sijui mnazungumzia nini ila VW polo hizi za sasa hivi zinachanganya haraka sana na zimeshika bara bara haswa na zipo hizo Golf R series hiyo bei yake ni mkasi na kukimbia gari nyingi zinasubili mno kwa R series sijui 7 na kuendelea huo ni Moto mwingine Mzee...
Sasa Jomba Post inaongelea Polo wewe unaongelea Golf R-Series.
 
Sasa Jomba Post inaongelea Polo wewe unaongelea Golf R-Series.
Jomba hawajaachana hao ni mtu na binadamu yake Polo sio ya kitoto labda ya miaka ya nyuma za karibuni fanya kuanzia 2012 kuendelea ni mziki huo...mwenye Polo Jhb nchi yenye kila aina ya uchafu wa magari anapewa heshima yake...
 
Vipi kuhusu spare zake mkuu na mafundi wapo?
Kwa spear na ushauri karibu mkuu

Kwa spears na ushauri mkuu tembelea dukani kwetu makao mapya karibu na cafe laziz Arusha

Jomba hawajaachana hao ni mtu na binadamu yake Polo sio ya kitoto labda ya miaka ya nyuma za karibuni fanya kuanzia 2012 kuendelea ni mziki huo...mwenye Polo Jhb nchi yenye kila aina ya uchafu wa magari anapewa heshima yake...
Mtoa mada ameulizia Polo 2007 mzee baba.
 
Mtoa mada ameulizia Polo 2007 mzee baba.
Ok itakua ipo ok tuu maana kwa Japan hiyo ndio miaka watu wanayonunua magari SA hayo labda pick up au roli gari ndogo utakimbizana na ya karibuni maana yapo minadani kibao tuu...
 
Polo MK4 ina engine za petrol 8 zenye ukubwa kuanzia 1200cc mpk 1800cc zinazotoa HP kati ya 55 mpk 150....
You are missing a point mkuu.

Gari kutembea is not about your engine. Japo wewe umezungumzia kukimbia kwa perception ya engine pekee.

Transmission inaplay part kubwa sana(Au kwa lugha rahisi gear ratios ndio zinaplay part kubwa). Hebu twende labda utanielewa.

1. Ukiondoa gearbox za manual ambazo ndio zinachanganya taratibu, gearbox zinazofuata kwa kuchanganya taratibu ni Ni conventional Automatic transmission ambazo ndio zimefungwa kwenye Crown na mark X hizo ulizotaja.

2. Volkswagen na Audi ndio gari zinatumia the best automatic transmission kwa kuchanganya faster ambayo ni DSG(Direct Shift Gearbox) katika magari yote unayoyaona humu barabarani(Tuondoe Vw zenye conventional automatic transmission na multitronic automatic transmission). Hiyo DSG ndio gearbox inachanganya haraka hata CVT haitii mguu.

3. Crown na mark X ulizotaja hapo zinatumia 5 speed au 6 speed conventional automatic transmission. VW polo mk5 ina 7 speed DSG. Nakuambia hata kama hiyo toyota na Crown na mark X zingekuwa na 8 speed convetional transmission zisingefua dafu kwa kwa hata 6 speed DSG ya VW.

In short kama kuna gari 4 ambazo zote ni gear 6 na top speed ni 220Km/h. Katika hizo gari moja ni DGS, nyingine ni CVT, nyingine ni Convetional na ya mwisho ni manual.

Basi wa kwanza kufika top speed ni DSG akimuacha sekunde kadhaa CVT na wakiwaacha mbali conventional ambaye ni wa tatu na manual atakuwa wa mwisho.

Huyo jamaa aliyekuambia Volkswagen yake inatembea kuliko crown huenda hajakudanganya kabisa.

I stand to be corrected.
 
Anha, thanks kwa facts za namba pia. Naongea kwa experience boss wangu...mimi once nlidrive mark x (ya rafiki yangu) tulikua tunaelekea Iringa tu apo and my friend yeye alikua anaendesha Polo yake tu safi...

Ukiikuta Polo ina Direct Shift Transmission hakuna Crown wala Mark X inatia mguu. Upo sahihi kabisa.

I stand to be corrected.
 
You are missing a point mkuu.

Gari kutembea is not about your engine. Japo wewe umezungumzia kukimbia kwa perception ya engine pekee...
Unaifahamu ZF transmission?

Gari zote za uhakika duniani sasa wanatumia ZF.

Hiyo DSG ina matatizo mwisho wa ziku.

So far ZF ni the best and superior in the world.
 
Unaifahamu ZF transmission?

Gari zote za uhakika duniani sasa wanatumia ZF.

Hiyo DSG ina matatizo mwisho wa ziku.

So far ZF ni the best and superior in the world.

Mjadala wangu mimi na huyo jamaa ilikuwa kwenye speed.

Downside pekee ya DSG ipo kwenye Durability, Atleast DSG yenye wet clutch inakaa ila yenye dry clutch haidumu. Japo Overall ZF ni more durable kuliko DSG.

Back kwenye topic. DSG inaaccelerate faster kuliko ZF.

Ukichukua 8 speed ZF vs 8 speed DSG. DSG is far better kwenye smoothness na acceleration. The only thing DSG amekosa ni durability.

So far ZF imekuwa developed from conventional automatic transmission tofauti tu ni kwamba ZF inakuwa na planentary gear set nyingi.
 
We jamaa ulivyo na maneno yako hata havilingani fala wewe nimecheka kama boya hapa[emoji23][emoji23][emoji23]
Ndiyo maana huwa nawasumbua Sana wenye babywalker zao akina IST...mpaka gari yake ichanganye ni kama jiko la kuni kipindi hicho nimeshampita kama umeme
 
Mzee tupe shule aisee....mimi wataongea yote lakini mnyama polo au Golf atakua mikononi mwangu mafundi na spea tutajua mbere kwa mbere[emoji1]

Back
Top Bottom