Naomba ufafanuzi wa gari aina ya Volkswagen Polo

Naomba ufafanuzi wa gari aina ya Volkswagen Polo

Huyo Majesta atapewa Golf-R HP 315 atakaa pia
Hawashindanishi magari kwa kuwa unaipenda aina flani ya gari. Hiyo Crown Majesta ina 345HP na ina gear 8 auto. Uzuri ina speed limit ya 180.. Pia jaribu kupambanisha gari zenye mlengo unao fanana, Golf R ni racing edition, pambanisha na racing edition za toyota pia
 
Huyo Majesta atapewa Golf-R HP 315 atakaa pia
Hiyo Golf-R yenye 315 HP , Inaweza league ni Supra yenye 382 HP ? Linganisha gari zinazo endana, kama racing zote ziwe racing.

20210205_031124.jpg
 
You are missing a point mkuu.

Gari kutembea is not about your engine. Japo wewe umezungumzia kukimbia kwa perception ya engine pekee....

I stand to be corrected.
Kusema manual ni slowest, it depends with who is behind the wheel bro! Kunae chalii wa Frisby ni kichaa hapo kwenye gear na clutch! Unaeza sema nae ni part ya transmission na anakalisha automatic BMW vizuri kabisa tena li V8!
 
Hahahah aiseeee... Hilo balaa....
 
Kusema manual ni slowest, it depends with who is behind the wheel bro! Kunae chalii wa Frisby ni kichaa hapo kwenye gear na clutch! Unaeza sema nae ni part ya transmission na anakalisha automatic BMW vizuri kabisa tena li V8!
Upo sahihi kaka,Kikubwa umpate anayejua kuzipanga kweli gear na uzuri ni kwamba transmission ya manual ni more lighter than auto trans. hvyo inapunguzia gari mzigo wakati wa kukimbia
 
Anha, thanks kwa facts za namba pia. Naongea kwa experience boss wangu...mimi once nlidrive mark x (ya rafiki yangu) tulikua tunaelekea Iringa tu apo and my friend yeye alikua anaendesha Polo yake tu safi. Time tunarudi we had to exchange the cars basi hata na mimi nifeel something inside that German toy. Believe me or not me nlimtangulia for 1 hour before kaka.
Anyway, i can say labda inategemeana na who is behind the wheel. But for the two comparisons i'd always go for Polo VW.
Kapikipiki huwa na piston moja tu lakini huweza kuipita gari na pikipiki hiyo usiione tena
 
Na kuna magari ya manual unaweza skip 1st gear ukaondokea na 2nd gear au pengine 3rd gear kwendana na capacity ya engine tofauti na auto
 
Mimi nilikua naweka Golf GTI 200HP na Crown 2500CC ...wewe ukaingiza Majesta gari ambazo tofauti kiuwezo,Majesta engine kubwa V8 ile.
Hawashindanishi magari kwa kuwa unaipenda aina flani ya gari. Hiyo Crown Majesta ina 345HP na ina gear 8 auto. Uzuri ina speed limit ya 180.. Pia jaribu kupambanisha gari zenye mlengo unao fanana, Golf R ni racing edition, pambanisha na racing edition za toyota pia
 
Mimi nilikua naweka Golf GTI 200HP na Crown 2500CC ...wewe ukaingiza Majesta gari ambazo tofauti kiuwezo,Majesta engine kubwa V8 ile.
Unalinganisha na Crown ipi ? Maana kuna Crown Athlete zina HP kubwa kuliko hiyo. Issue hizi zimewekewa ukomo kwenye speed . Pia Golf GTI hazifanani na Crown. Na ingawa mie nikishaka Crown na wewe GTI chini ya 180 kmh, lazima utoke jasho..
 
Back
Top Bottom