Sasa Jomba Post inaongelea Polo wewe unaongelea Golf R-Series.Mkuu sijui mnazungumzia nini ila VW polo hizi za sasa hivi zinachanganya haraka sana na zimeshika bara bara haswa na zipo hizo Golf R series hiyo bei yake ni mkasi na kukimbia gari nyingi zinasubili mno kwa R series sijui 7 na kuendelea huo ni Moto mwingine Mzee...
Jomba hawajaachana hao ni mtu na binadamu yake Polo sio ya kitoto labda ya miaka ya nyuma za karibuni fanya kuanzia 2012 kuendelea ni mziki huo...mwenye Polo Jhb nchi yenye kila aina ya uchafu wa magari anapewa heshima yake...Sasa Jomba Post inaongelea Polo wewe unaongelea Golf R-Series.
Kwa spear na ushauri karibu mkuuVipi kuhusu spare zake mkuu na mafundi wapo?
Kwa spears na ushauri mkuu tembelea dukani kwetu makao mapya karibu na cafe laziz Arusha
Mtoa mada ameulizia Polo 2007 mzee baba.Jomba hawajaachana hao ni mtu na binadamu yake Polo sio ya kitoto labda ya miaka ya nyuma za karibuni fanya kuanzia 2012 kuendelea ni mziki huo...mwenye Polo Jhb nchi yenye kila aina ya uchafu wa magari anapewa heshima yake...
Ok itakua ipo ok tuu maana kwa Japan hiyo ndio miaka watu wanayonunua magari SA hayo labda pick up au roli gari ndogo utakimbizana na ya karibuni maana yapo minadani kibao tuu...Mtoa mada ameulizia Polo 2007 mzee baba.
You are missing a point mkuu.Polo MK4 ina engine za petrol 8 zenye ukubwa kuanzia 1200cc mpk 1800cc zinazotoa HP kati ya 55 mpk 150....
Anha, thanks kwa facts za namba pia. Naongea kwa experience boss wangu...mimi once nlidrive mark x (ya rafiki yangu) tulikua tunaelekea Iringa tu apo and my friend yeye alikua anaendesha Polo yake tu safi...
Unaifahamu ZF transmission?You are missing a point mkuu.
Gari kutembea is not about your engine. Japo wewe umezungumzia kukimbia kwa perception ya engine pekee...
ZF transmission zipo bongo?Unaifahamu ZF transmission?
Gari zote za uhakika duniani sasa wanatumia ZF.
Hiyo DSG ina matatizo mwisho wa ziku.
So far ZF ni the best and superior in the world.
Ndiyo maana huwa nawasumbua Sana wenye babywalker zao akina IST...mpaka gari yake ichanganye ni kama jiko la kuni kipindi hicho nimeshampita kama umemeUkiikuta Polo ina Direct Shift Transmission hakuna Crown wala Mark X inatia mguu. Upo sahihi kabisa.
I stand to be corrected.
Gari gani?Ndiyo maana huwa nawasumbua Sana wenye babywalker zao akina IST...mpaka gari yake ichanganye ni kama jiko la kuni kipindi hicho nimeshampita kama umeme
Ulifanikiwa kuichukua kweli mkuu.Haka kagari VW Polo 2007 nimekakubali sana sana kwanza cc 1300, millage 34k/km speed 220km/h pia kodi yake TRA(TRA CALCULATOR) ipo chini around 5m
Naombeni ushauri hukusu changamoto za hii gari kabla sijaivuta.
View attachment 1599348View attachment 1599348
Unaifahamu ZF transmission?
Gari zote za uhakika duniani sasa wanatumia ZF.
Hiyo DSG ina matatizo mwisho wa ziku.
So far ZF ni the best and superior in the world.
You are missing a point mkuu.
Gari kutembea is not about your engine. Japo wewe umezungumzia kukimbia kwa perception ya engine pekee...
Ndiyo maana huwa nawasumbua Sana wenye babywalker zao akina IST...mpaka gari yake ichanganye ni kama jiko la kuni kipindi hicho nimeshampita kama umeme
Mjadala wangu mimi na huyo jamaa ilikuwa kwenye speed.
Downside pekee ya DSG ipo kwenye Durability, Atleast DSG yenye wet clutch inakaa ila yenye dry clutch haidumu. Japo Overall ZF ni more durable kuliko DSG.
Back kwenye topic. DSG inaaccelerate faster kuliko ZF.
Ukichukua 8 speed ZF vs 8 speed DSG. DSG is far better kwenye smoothness na acceleration. The only thing DSG amekosa ni durability.
So far ZF imekuwa developed from conventional automatic transmission tofauti tu ni kwamba ZF inakuwa na planentary gear set nyingi.
Crown ipi ? Lakini pia crown zina limit 180 kmh. Kuna Crown Majesta zenye engine ( series UR ). Moto wake sio wa kototoMkuu mimi shahidi katika hili...Crown hafui dafu kwenye VW hata wakitoka sawa ile gari inachanganya haraka aisee yaani kufumbana kufumbua100 hii hapa.
Mkuu hizi gari kwa sehemu kubwa ninachokijua ni Transmission. Engine ni zilezile.Mzee tupe shule aisee....mimi wataongea yote lakini mnyama polo au Golf atakua mikononi mwangu mafundi na spea tutajua mbere kwa mbere[emoji1]
Crown ipi ? Lakini pia crown zina limit 180 kmh. Kuna Crown Majesta zenye engine ( series UR ). Moto wake sio wa kototo