umeuliza katika jukwaa ambalo siyo sahihi na pengine unaweza usipate majibu kwa wakati au ukakosa kabisa majibu,hivyo nakushauri ukapost katika Jukwaa la Hoja Mchanganyiko au Jukwaa jingine ambalo unaweza pata msaada kwa haraka kuliko hapo(Jukwaa la Sheria).