Naomba uniulize chochote kuhusu kufanikiwa katika Biashara na Ujasiriamali

Naomba uniulize chochote kuhusu kufanikiwa katika Biashara na Ujasiriamali

wapi nitapata mashamba ya kukodi ,eneo lenye rutuba na hali ya hewa nzuri hapa tzania?
all in all hongera sana dogo
ahaa unamuita dogo wakati huo unakula ugali wa kengele OMG😀😀😀😀😀😀😀😀
 
Dah yaani unaposema kukutana na watu sahihi umenikumbusha wakati nilipoanza biashara ya viazi vya chips, jamaa alinifanyia uhuni akanipatia mbegu za viazi badala ya viazi vyenyewe, nikapata hasara ya 7M
Ebu fafanua ndugu kat ya viaz na mbegu za viaz ukapata hasara ya milion 7
 
Mkuu ontario Nilikua naisoma thread kimya kimya ila.huyu jamaa aliekuexpose ur name hajafanya jambo zuri and hizo picha ungezimask zaidi ya hapo coz mtu akiiona pic yako full sehem nyingine ni rahis sana kujua kama ndio wewe huyo. Next time mask zaid ya hapo bro. Ila thanx for the free educ.. bro.
 
Ebu fafanua ndugu kat ya viaz na mbegu za viaz ukapata hasara ya milion 7
Jamaa aliniwekea viazi vile vidogo vidogo wanavyotumia kama mbegu, kwa kuwa nilikuwa mgeni na nilipania kupata faida nzuri sababu kilikuwa kipindi cha sikukuu. Matokea yake nilikosa soko, vikaoza na baadhi nilikopesha sikulipwa mpaka leo!
 
pole sana mkuu. Ila ndio kutafuta. binadam wanaharibu mipango kila siku
 
Tuko pamoja sana boss wangu. Keep being awesome!! Cheers.
Mkuu .. kuku 100 kama una banda na vifaa vy chakula na maji, unaeza tumia gharama kiasi gani na faida yake ni kiasi gani kwa kuku wa nyama wa wiki 4?
 
Back
Top Bottom