CHASHA FARMING
JF-Expert Member
- Jun 4, 2011
- 7,872
- 9,263
Kwenye ufugaji wa kuku kuna kitu kinaitwa Conceptual Framework hii inatumika sana kwenye ufugaji kuku la sivyo hutaona kitu.Ontario jamani hapo kwenye mifuko hapo ndio nachanganyikiwa kabisa embu niambie nawapa hadi mifuko 37 kwa kuku 500 ndio maana sioni faida kabisa
Mkuu naomba kujua zaidi inachukua mda gani vitunguu maji kwanzia kulima mpaka kuvuna,na changamoto zake hasa magonjwa..kwa ufupi tu..pole kwa usumbufudaaah we dogo saafi saaana aisee nikija bongo nitakutfta mdogo wangu. Mimi nilikuwa na na nina experience saaana na vitunguu maji kwa miaka kama kumi hivi nimelima kitaaalam saana ila tatzo niligundua kuwa soko linazngua saaana saaana hapo bongo. ilifikia hatua nikaachaga kulima nikaenda kuwa dalali wa vitunguu huko mabibo hii yote ilikuwa ni mbinu ya kufanya research ya masoko ya vitunguu nilikaa miez minne nikaelewa saaana na baada ya hapo nilirudi shambani nikawa nalima kinyume na msimu. Hapo nilipata faida saaana. kuna kipind nilitembelea israel nikaona vitunguu swaum so nikapanga nikarud tz nikamwambia kakaangu tulime vitunguu swaum lakini jamaa akakataa akasema vinakubali maeneo ya baridi. wakat israel niliona vinalimwa open space jamani. sikukubaliana nae. nikajipanga nikalima ka shamba kangu ka nusu hekari nikatumia utaalamu waangu woote wa zao la kitunguu maji na nilisoma na nikaenda kuwatembelea baadhi ya wakulima huko mbeya nikajifunza nikaja kufanya kwa practical aisee amini usiamni kaka nilipiga gunia zangu kadhaa za vitunguu swaum tangu hapo nikawa mkulima mzuri saana wa vitunguu aisee. kwa hyo jamani msisikilize ya watu mimi home tz nalima had zabibu. kilimo kinalipa ila KILIMO AFRIKA BILA KUJUA SOKO NI SAWA NA KUPAKA RANGI UPEPO. Zaid ya Mbwa wa ulinzi wa kipolisi/kijeshi, mbuzi, bata mzinga na ng'ombe wa maziwa sijawah fuga. Mimi nimejifunza kuwa specific ktk jambo unalofanya. yaani amua nini unataka kufanya na ujikite huko. mimi nilijikita ktk vitunguu na hapo hunidanganyi lolote may be masoko ya nje ndio sijawah uzia huko na hapo ontario mdogo wangu utanisaidia nikija bongo. Nalima mbaazi, mpunga na ninasaga nyama na kutengeneza sausage pia na mikate. kwa hyo naenjoy, NIMESOMA FINANCIAL ENGINEERING lakin moyo wangu uko kwenye kilimo jamani. i miss home nikija nitakutfta mdogo wangu. nikusaidie forex (japo nimesimama kidogo).
Mkuu ONTARIO Pole na majukumu, najua upo busy but bado nasubiri reply ya haya maswali yangu muhimu. AhsanteHongera sana ONTARIO,
Swali langu la kwanza:
Ni wakati gani hasa ulipoamua kuachana na kununua chakula kwa ajili ya kuku wako wa broiler. Hapa naomba utueleze kwa ukubwa wa project ilipofikia. Ulifuata hatua gani mpaka kufanikiwa na changamoto zake ni zipi?
Swali la Pili:
Uliwezaje kwa mara ya kwanza kufanya biashara ya export maana nimeona uliexport vitunguu. Ulipataje Masoko, process za kuexport mpaka kufikisha mzigo. Tueleze na changamoto zake pia
Swali la tatu:
Nimeona umefanya packaging za kuku. Una process mwenyewe kuku wako wote?
Nisaidie kujibu, niendelee na maswali mpaka tuelewane mkuu
Means kwa kuku 1000 ni kama mifuko 52, hivi bei ya chakula cha starter na finisher kwa broiler huwa zinatofautiana? And basically kuku mmoja kwa siku inabidi ale gram ngapi za chakula?Hakuna mtu duniani atakupa feed formula hata ufanyaje boss, hapa nisikufiche. Sawa na Cocacola kutoa formula ya vinywaji vyake.
Kuku 500 hawatakiwi kula zaidi ya mifuko 26 ya kilo 50
nilikuwa nakuheshimu sana lakini kwa hili umejishusha sana! Picha nikwa ajili ya kielelezo tu!Hizo picha za Kuku wakiwa handani baadhi sio zako mkuu kama unabisha nikuletee ushahidi hapa
Hahahaaa wewe ndo Ontario? kumbe unakili kwamba sio bali ni za kuelezea tu?mkuu
nilikuwa nakuheshimu sana lakini kwa hili umejishusha sana! Picha nikwa ajili ya kielelezo tu!
ukisikia mataahira wa Tanzania ndio wewe yaani unajidhihirisha kiasi gani ulivyo mpumbavu,Muongo na una lengo la kukatisha tamaa.Hizo picha za Kuku wakiwa handani baadhi sio zako mkuu kama unabisha nikuletee ushahidi hapa
Daah masnitch huwa hamkosekani kila eneo... Nenda kaanzishe Uzi wako mwenyewe utangaze biashara zako za kuku huko...Hizo picha za Kuku wakiwa handani baadhi sio zako mkuu kama unabisha nikuletee ushahidi hapa
Mkuu vp kuhusu soko la kuku wa kienyeji breed za hapa nyumbani na kuroiler pia huko kwenye mahotel, restaurant na bars. Mm nataka kuwasambazia huko huko walipo na usafiri ninao? Can u connect me?● Uliwafuga mkoa gani?!
●Ulifanya utafiti wa masoko kabla haujaanza kuwafuga?!
●Ukianza kuwafuga upya niombe ushauri... nitaona vipi naweza kukuunganisha na watu watakaonunua bidhaa yako.
●Ulikopitia nami nimetokaka huko huko, usipokua kune channel huezi elewa nini kinafanyika, so unaishia kua na kuku bandani lkn mteja humuoni.
Nadhani inategemea sana na uelewa wa mambo wa mtu husika pia, hasa uwezo mzuri wa kufikiri, ubunifu na namna ya kukabiliana na changamoto positively.Mkubwa jinmtu sikushauri hata kidogo kuacha kazi utaumia kuna kupata hasara kwenye ujasiriamali ukukufanya ukate tamaa kabisa ya maisha, mtoa mada ni kijana mdogo sana hana familia wala majukumu ya kumtunza mtu mwingine hata akianguka leo bado ana muda mwingi sana wa kuinuka. Jiangalie nafasi yako wewe kama wewe sometimes utakuja kugundua kwamba kuishi maisha mazuri si lazima sana uwe na pesa nyingi ajabu. Ridhika kwanza na maisha uliyo nayo then mambo yakiwa sawa tanua kwingineko lakini suala la kuacha kazi usijaribu ujasiriamali si lele mama