Naomba uniulize chochote kuhusu kufanikiwa katika Biashara na Ujasiriamali

Unaishi mkoa gani?
 
Boss mi nina mradi wangu nataka nianzishe kilimo cha umwagiliaji na nimekua nikifatilia sana kuhusu Drip irrigation lakini water pump za kisasa nimekosa na hata pipe ambazo ziko adjustable katika matundu bado zimekua ni changamoto sana kwangu. Shamba nililo nalo ni la 80acres sasa nauliza kama naweza pata pump yenye kusuma ukubwa wa eneo kama hilo alaf na pipe hizo pipe nazipatia wapi na gharama zake ni shingapi boss wangu?
 
Subscribed

Sent from my SPH-L720T using JamiiForums mobile app
 
How could I grow my company from ground till here?! Like seriously. On the other side, sijajaj JF kutafuta clients, so si lazima kila mtu ajue jina la kampuni yangu, nina njia zangu za kupata potential clients.
Hey!!you would have ignored this dude
 
Ontario nahitaji kulima mshindi Ekari 5,natakiwa niwe na vitu gani??

Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
 
Naomba kufahamu namna ya kulima pilipili mbuzi

Sent from my TECNO-Y3+ using JamiiForums mobile app
 
Munampa shida ontario... maswali mengine sio lazima ajibu yeye... embu tujitahid kuuliza maswali amabayo hata yeye akijibu awe anajifunza kitu...

kama wewe wa kilimo cha mahindi eka 5 hata mimi nakujibu...

Hapo ni.
Ardhi.
Mbolea.
Nguvukazi.
Mbegu.
Pesa.
Muda.
Vitendea kazi.

Zaidi nin unataka kujua braza

Sent from "La -Vista"
 
hii mbegu upatikanaji wake ukoje
 
Naomba nikupe mbinu kidogo kwa wazo lako,
Kuna apps inaitwa PINTEREST ni nzuri kwa sababu inakupa mbinu na wazo tofauti kuhusu chochote unacho hitaji, kwa mfano: jinsi ya kutengeneza banda la kuku au jinsi ya kuandaa shamba katika kilimo.

Hii yote inapatikana katika pinterest apps na utapata mawazo tofauti.

[emoji13] [emoji111]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…