Naomba uniulize chochote kuhusu kufanikiwa katika Biashara na Ujasiriamali

Kweli mkuu you deserve !

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hongera sana kwa mafanikio ulio fikia hadi sasa.
-Ningependa kukuuliza juu ya soko ya bidhaa zako za shambani huwa unapata kwa namna gani?
-Pia ningeshukuru sana kama ungenisaidia soko la pilipili,nimepanda heka 1 ,ya pili pili na zime stawi kwl nipo mchumo wa kwanza ila naona soko limekuwa changa moto kidogo nitashukuru kama kuna uwezokano wa kunipatia soko lake,[HASHTAG]#pilipili[/HASHTAG] mbuzi..
Contact me: 0766767539
[HASHTAG]#ontario[/HASHTAG]



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Well said
 
Chief next time kabla hujalima hakikisha unafanya utafiti Wa masoko Wa zao husika yaan mpk unaanza kulima ushajua utauza wapi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sure bro no one is busy
 
Kaka nahitaj sana kufanya ujasiliamali lakin kwa sasa nipo tu namtaji wa laki mbili na najaribu piga akili chakufanya lakin sijawah fika kwa conclusion kwamba nifanye nn? Plz unaweza nisaidia muongozo na mawazo nipo mwanza
 
Boss mimi binafsi niliacha kutumia vyakula vya kununua miaka mi3 iliyopita. Hao jamaa wanapiga profits kubwa sana, huku wewe wanakuacha na faida ndogo au ukatoka kapa kabisa endapo vifo vikiwa vingi.

Mfano mimi gharama ya chakula changu ni 47,000.
Ehee hapa pazuri unawezaje kufanikisha hili?
 
Kwa nini unaficha sura?hzo project zako mbona husemi ziko wapi una ishia kutuonyesha picha tu.
 
jamaa mtam sana kwenye kujieleza,udambwi dambwi kibao kumbe unatosa ndoano,wajinga wakazama kichwa kichwa ukawababua bila huruma😂😂😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…