Naomba uniulize chochote kuhusu kufanikiwa katika Biashara na Ujasiriamali

Vipi uli endelea na kilimo mkuu 🤔 mapenz matam
 
Vipi saivi Mkuu umefikia hatua gani? Kupitia hizi threads
 
Moja ya watu ambao wakikosa kazi yakufanya wanaingia JF kurefresh nimimi ila nilichogundua wafanyabiashara wakubwa hawajui chochote kuhusu JF
 
Ontario Hongera sana nakupongeza kwa jitahada zako, any way vijana wengi wabongo sio waaminifu plus wavivu wanataka easy money hiyo tuachie wenyewe ,ndugu yangu unanipa ushauri gani nina eka 22 karibu na saadani mbuga ya wanyama nimeona muhogo mwingi njiani unatoka barabara hiyo ,natamni kufuga kuku wa mayai au hata kulima tatizo nipo abroad, unaweza kunisaidia vipi na kama hutojali unaweza kunipatia whatssapp yako ,mm nipo DXb
 
Wewe utakuwa mgeni mjini eeh
 
ONTARIO alishaacha kutumia hiyo ID siku nyingi sana.. Na wengi wanamfaham humu JF kwa mambo ya forex,, wewe umejiunga JF hiv karibuni au?????
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…