Naomba Ushauri: Binti yangu amepangiwa Chuo na huku alishaanza masomo ya Pre-Form 5

Hivyo combination amechaguliwa na mwalimu wake wa taaluma hapo shuleni sababu ana pass marks za masomo ya science na Arts zote
pamoja na pass ya math except physics ndio amekosa pass marks.
Bongo tunasafari ndefu sana
 
Habari wakuu

Naomba ushauri kwenye hilo: binti yangu amechaguliwa katika Chuo cha Diplomasia cha Kurasini Dar es Salaam katika kozi ya International Relations and Diplomacy, lakini wakati tulikuwa tunasubiri kupangiwa shule nilimpeleka kuanza pre form five katika shule moja ya private

Kule shuleni walimpangia combination ya HGE kulingana na ufaulu wake. Sasa nipo njia panda sielewi aendelee na Advance au nimpeleke akasome hyo kozi?

Kipi ni bora zaidi kwake maana hata binti pia imemchanganya kidogo ashike lipi na ukizingatia na umri wa binti ni mdogo miaka 16.

Naomba ushauri wenu wakuu tafadhali na pia naomba nifahamu hyo kozi akimaliza anaweza kufanya kazi zipi na maeneo yepi na upatikanaji wake ajira ikoje.

Natanguliza shukran
Nashauri aende atakuja kuwa mtu asiye julikana na utakuja kunishukuru badae
 
Habari wakuu,

Naomba ushauri kwenye hilo: binti yangu amechaguliwa katika Chuo cha Diplomasia cha Kurasini Dar es Salaam katika kozi ya International Relations and Diplomacy, lakini wakati tulikuwa tunasubiri kupangiwa shule nilimpeleka kuanza pre form five katika shule moja ya private

Kule shuleni walimpangia combination ya HGE kulingana na ufaulu wake. Sasa nipo njia panda sielewi aendelee na Advance au nimpeleke akasome hyo kozi?

Kipi ni bora zaidi kwake maana hata binti pia imemchanganya kidogo ashike lipi na ukizingatia na umri wa binti ni mdogo miaka 16.

Naomba ushauri wenu wakuu tafadhali na pia naomba nifahamu hyo kozi akimaliza anaweza kufanya kazi zipi na maeneo yepi na upatikanaji wake ajira ikoje.

Natanguliza shukran

Kama una uwezo peleka mtoto kwa system yote ya Tanzania, for 1 to 6, watoto wa sasa ni wa dogo Sana, mwache alelewe miaka mingine 2 akiwa chini ya uangalizi.

Usikubali ku peleka huyo mtoto chuo na kupata uhuru wote wa chuo akiwa na huo umri ni hatari kwa binti yetu, please, please ndugu peleka mtoto wetu form five.

Hata kama hauna uwezo wewe jitahidi, atapata mkopo ataendelea huko mbele. Usiikatishe hii safari ya Shule ya mtoto kama una huo uwezo mpeleke secondary ya private.
 
Naomba nikushauri kama kaka pia kama specialist wa kada Fulani, please please please achana na kwenda form give ni njia ya kizamani saaana Mimi binafsi wadodo zangu wa mwisho walifaulu vizuri ila sikuwapeleka ACSEE Bali niliwapekeka kuanza certificate then diploma then bachelor as we are speaking now they first year bachelor degree students.

How are the job opening in accordance with program taken?

This depends on family and issues nyingi saaana yaaani kusoma na kufanikiwa maisha ni njia mbili tofauti saaaaana then kusoma na kupata kazi na kuwa noble kwenye ulichokisomea ni njia tatu tofauti saaana ila Zina mahusiano makubwa saana na mmoja ni input ya mwenzane na mwenzaje ni outputs kwa ajili ya mwingi

hivyo

There is very strong relationship between kusoma kitu Fulani na kufanikiwa kwenye kitu ulichosomea.

Best regards.
Surely, Kama wamepata opportunity ya kwenda chuo waende tu

Kwanza ajira za siku hizi wanabeba sana watu wenye cerificates na diploma

Kupanga ni kuchagua
 
Naomba nikushauri kama kaka pia kama specialist wa kada Fulani, please please please achana na kwenda form give ni njia ya kizamani saaana Mimi binafsi wadodo zangu wa mwisho walifaulu vizuri ila sikuwapeleka ACSEE Bali niliwapekeka kuanza certificate then diploma then bachelor as we are speaking now they first year bachelor degree students.

How are the job opening in accordance with program taken?

This depends on family and issues nyingi saaana yaaani kusoma na kufanikiwa maisha ni njia mbili tofauti saaaaana then kusoma na kupata kazi na kuwa noble kwenye ulichokisomea ni njia tatu tofauti saaana ila Zina mahusiano makubwa saana na mmoja ni input ya mwenzane na mwenzaje ni outputs kwa ajili ya mwingi

hivyo

There is very strong relationship between kusoma kitu Fulani na kufanikiwa kwenye kitu ulichosomea.

Best regards.
muache aendelee na Advance hiyo course ni kimeo
 
Kama una uwezo peleka mtoto kwa system yote ya Tanzania, for 1 to 6, watoto wa sasa ni wa dogo Sana, mwache alelewe miaka mingine 2 akiwa chini ya uangalizi.

Usikubali ku peleka huyo mtoto chuo na kupata uhuru wote wa chuo akiwa na huo umri ni hatari kwa binti yetu, please, please ndugu peleka mtoto wetu form five.

Hata kama hauna uwezo wewe jitahidi, atapata mkopo ataendelea huko mbele. Usiikatishe hii safari ya Shule ya mtoto kama una huo uwezo mpeleke secondary ya private.
Asante sana ndugu kwa ushauri nimekuelewa vizuri .!ubarikiwe.
 
Habari wakuu,

Naomba ushauri kwenye hilo: binti yangu amechaguliwa katika Chuo cha Diplomasia cha Kurasini Dar es Salaam katika kozi ya International Relations and Diplomacy, lakini wakati tulikuwa tunasubiri kupangiwa shule nilimpeleka kuanza pre form five katika shule moja ya private

Kule shuleni walimpangia combination ya HGE kulingana na ufaulu wake. Sasa nipo njia panda sielewi aendelee na Advance au nimpeleke akasome hyo kozi?

Kipi ni bora zaidi kwake maana hata binti pia imemchanganya kidogo ashike lipi na ukizingatia na umri wa binti ni mdogo miaka 16.

Naomba ushauri wenu wakuu tafadhali na pia naomba nifahamu hyo kozi akimaliza anaweza kufanya kazi zipi na maeneo yepi na upatikanaji wake ajira ikoje.

Natanguliza shukran
anaweza akaenda chuo na pia ukienda kwenye website ya nacte wametoa ruhusa ya kubadili coarse kama haujaipenda hiyo waliokuchagulia sio lazima asome hiyo coarse anaweza kuibadili pia hata chaguo la chuo anaweza kubadili pia...
 
Kwanza hapo kwenye umri tu, naona hauna haja ya kumharakisha chuo. Tena kwa diploma. Muache aende advance. Kwa masomo yao kufaulu sio ishu akiamua kukaza.

Pili, hiyo course ya international relations & diplomacy sikudanganyi haina kazi! Sikuambii kujiajiri! Tena kwa diploma ndo kabisaa!
Acha kumdanganya mwenzio..!! Kila kozi kuna waliotoboa na walishindwa..!
 
Habari wakuu,

Naomba ushauri kwenye hilo: binti yangu amechaguliwa katika Chuo cha Diplomasia cha Kurasini Dar es Salaam katika kozi ya International Relations and Diplomacy, lakini wakati tulikuwa tunasubiri kupangiwa shule nilimpeleka kuanza pre form five katika shule moja ya private

Kule shuleni walimpangia combination ya HGE kulingana na ufaulu wake. Sasa nipo njia panda sielewi aendelee na Advance au nimpeleke akasome hyo kozi?

Kipi ni bora zaidi kwake maana hata binti pia imemchanganya kidogo ashike lipi na ukizingatia na umri wa binti ni mdogo miaka 16.

Naomba ushauri wenu wakuu tafadhali na pia naomba nifahamu hyo kozi akimaliza anaweza kufanya kazi zipi na maeneo yepi na upatikanaji wake ajira ikoje.

Natanguliza shukran
Mwache aende akasome Kurasini. Chuo kikuu hata kutokea kutasini atafika tu, tena huku akiwa na profession tayari. Huko form five say akifeli, bado anakuwa hana profession.
 
Majoblesi na waliosoma kimagumash wanaogopa f5 hatari!

Mpeleke binti f5 akapge hyo Hge, uhakika wa kufaulu ni mkubwa sana akikaza kidogo tu.

History 2 itamfumua ubongo na kuwa mbish hasa na ataelewa mifumo kibao ya duniaa. Hata la putin na ukren atalijua.

Econo atakuwa na ufaham mpana kuliko wengi wanavojua. Hata mfumko atajua unakujaje na kuishaje.

Then ataenda chuo kikuu kwa ufadhl wa heslb akiwa na miaka 19!
 
Habari wakuu,

Naomba ushauri kwenye hilo: binti yangu amechaguliwa katika Chuo cha Diplomasia cha Kurasini Dar es Salaam katika kozi ya International Relations and Diplomacy, lakini wakati tulikuwa tunasubiri kupangiwa shule nilimpeleka kuanza pre form five katika shule moja ya private

Kule shuleni walimpangia combination ya HGE kulingana na ufaulu wake. Sasa nipo njia panda sielewi aendelee na Advance au nimpeleke akasome hyo kozi?

Kipi ni bora zaidi kwake maana hata binti pia imemchanganya kidogo ashike lipi na ukizingatia na umri wa binti ni mdogo miaka 16.

Naomba ushauri wenu wakuu tafadhali na pia naomba nifahamu hyo kozi akimaliza anaweza kufanya kazi zipi na maeneo yepi na upatikanaji wake ajira ikoje.

Natanguliza shukran
najua wengi watakuambia kuwa hyo course haina market/ajira lakini usilolijua hicho chuo 70% wanakuwa wako selected na wahusika wa mambo fulani ya nchi na mpaka anachaguliwa kuja hapo ujue kuna pendekezo kutoka kwa mwalimu/walimu ambao wako taasisi fulani kuwa anafaa kuja kusoma hyo course hapo chuoni.

So endapo yale waliyokuwa wanayataka akaendelea nayo na kuyakuza utashangaa tu field anapelekwa sehemu zile za inner cycle au akimaliza chuo anapelekwa nje au katika ofisi fulani na pia tarajieni kubadilika kuanzia mavazi/tabia/mpka mfumo mzima wa maisha.
Talking with experience
 
Back
Top Bottom