Naomba Ushauri: Binti yangu amepangiwa Chuo na huku alishaanza masomo ya Pre-Form 5

Nashkuru sana sana kunifungua kwenye hilo.Naomba sana tuwasiliane tafadhali kwa. namba hii 0655 171515.tafadhali.
 
Asante sana ndugu yangu kwa ushauri mzuri nimekupata vzr.
 
Majabu ya serkali ni kuwa wanaweza kukuletea jambo la kipuuzi ukalipuuza alafu badae likamnufaisha ambae hajalipuuza.
Nina rafiki yangu aliwahi kufata upuuzi wao lakin leo hii kanufaika na tulioacha tunajuta ndo tunagundua kumbe wapuuzi tulikua sisi japo sikupi uhakika sana maana hawaeleweki
 
kaa chini na mtoto kirafiki kabisa na usikilize kwa makini majibu yake, muulize hivi:- imekuaje kachaguliwa kwenda kusoma hiko chuo? muulize maswali mepesi kama aliomba au aliwahi kuhisi anaweza kuchaguliwa kusoma chuo au kama kuna mtu aliwahi kumuahidi kusoma chuo baada ya form4..? Akikujibu ndiyo usimuulize maswali mengine mpe support akasome... Akikujibu hapana mpeleke akasome A Level, maana hiyo course kama wewe sio mtoto wa fulani hupat kazi hadi magu afufuke...
 
Asante sana sana ndugu yangu kwa ushauri wako mzuri kabisa naufanyia kazi!
 
Nimekuelewa!nashkuru ndugu yangu! shida ni hapo kwenye kueleweka!
 
Achana na form five ni mfumo wa kizamani na unapoteza mda, mtoto akimaliza form 4 peleka chuo akale certificate au diploma , then watakutana chuo na hao form five. Na chuo atawaburuza sababu tayari yupo kwenye field yake.
 
Kwahiyo kozi hero aende advance akimaliza fresh atakua na uwanja Moana wa kusoma degree anayotaka.

Sent from my TECNO KD6 using JamiiForums mobile app
Diploma kupata chuo kikuu sio mchezo anatakiwa ufaulu wa juu sana

Wenye diploma wengi Diploma ndio huwa mwisho wa elimu yao

Advance ins advantage kubwa kujiunga chuo kikuu
 
Diploma kupata chuo kikuu sio mchezo anatakiwa ufaulu wa juu sana

Wenye diploma wengi Diploma ndio huwa mwisho wa elimu yao

Advance ins advantage kubwa kujiunga chuo kikuu
Ni kweli Ila inategemea na kozi kwenye kozi za afya ndo Kuna shida Ila kwingine anaenda bila shida.

Sent from my TECNO KD6 using JamiiForums mobile app
 
Ni kweli Ila inategemea na kozi kwenye kozi za afya ndo Kuna shida Ila kwingine anaenda bila shida.
Bila kuwa na upper second na juu zaidi mwenye Diploma hawezi pata chuo kusoma digrii wengi wenye diploma hukwamia hapo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…