Naomba Ushauri: Gari gani linamfaa mstaafu.

ile land rover yenye engine ya lister peter, ya kuzungusha kwa hendeli kama mashine ya kukoboa ya dizeli
 
Aise brother una dharau wewe ...

Ina maana mwalimu hana hadhi ya kuendesha gari la 18 M....

Miaka yote ambayo ameitumikia serikali kama alishasomesha watoto wake wote, ameshajenga nyumba zake, ana miradi yake, akinunua gari hata m 30 tatizo liko wapi..?

Dah umetoa maneno mdomoni kwangu kabisa mkuu, mtu kama ameshafanikisha malengo yake mengine ya muhimu kwanini nayeye sipate raha?. Kwanza M18 sio hela kubwa sana, kuna watu wananunua gari M50. Au kuna sehemu imeandikwa Walimu hawaruhusiwi ku-enjoy maisha. Maisha haya tunayaishi mara moja tu inafika kipindi mtu inabidi afurahie matunda yake.
 
Samahani, mstaafu wetu amewekeza miradi isiyotegemea nguvu/uwepo waake kumpatia kipato cha kutosha kujikimu kwa Muda wote atakaokaa bila kufanya kazi?

Ya yupo vizuri hata sahivi ana biashara zake zinazo muingizia kipato cha ziada.
 
Rav 4 Old Model japokua kidogo mafuta atajiongeza
Raum/ Spacio / IST/ Voltz kwa aina ya safar zake zitamfaa zaid na haitasumbua budget yake ya mafuta miaka 2 ijayo.
 
Kwa mstaadu mnunulie suzuki jimny au suzuki vitara,hayo maforesta yapampasua kichwa kwa gharama za mafuta
 
Dah umetoa maneno mdomoni kwangu kabisa mkuu, mtu kama ameshafanikisha malengo yake mengine ya muhimu kwanini nayeye sipate raha?. Kwanza M18 sio hela kubwa sana, kuna watu wananunua gari M50. Au kuna sehemu imeandikwa Walimu hawaruhusiwi ku-enjoy maisha. Maisha haya tunayaishi mara moja tu inafika kipindi mtu inabidi afurahie matunda yake.
Ni kweli mkuu ....me nilimshangaa..nikahisi atakuwa ni mkurugenzi wa TRA makao makuu ndiyo maana anadharau walimu ijapokuwa amepita mikononi mwa walimu..
 
Mama yangu ni mwalimu na anastaafu mwaka huu, na alikuwa anafikiria kununua gari. Kati ya haya lipi unaona linamfaa kwa budget isiyozidi 18M?. Mimi nilikuwa nafikiria haya, unaweza kuongeza unayodhani yanafaa zaidi.

Forester 2007 (najua 08 ndio bora zaidi lakini budget ndio tatizo)

Nissan xtrail.
Rav 4 old model. Achana na nissan achana na subaru. Mtafutie gari litakalompa amani
 
Hii rav 4 ina amani gani ikishaanza yale matege mkuu...?
Hakuna gari linalomnyima mtu amani endapo una hela za kulifanyia ukarabati wa spea genuine....kuzingatia service zenye ubora, matunzo binafsi...
Hizo subaru na Nissan kuna watu wanazo mwaka wa 8 sasa na wanapeta coz wanazingatia masharti yake na matunzo

Bila hivyo hata hiyo rav 4 mnayoiona ni jembe, itamshimda....kuna watu wengi ninaona zimewashinda
 
Tatizo watu hawayahudumii magari yao vizuri, mjomba wangu anatumia hiyo RAV 4 old model tangu astaafu na kila xmass inaenda moshi hadi leo ile gari haina matege ipo kwenye hali nzuri kabisa na plate number yake ni ya muda tu namba AX...Huwa nashindwa kuelewa kwanini wengine za kwao zina matege!!
 
Mkuu chukua toyota rush. Gari inafanana na rav4 kwa size ni ndogo kidogo sana. Ila engine yake ni 1500cc, ulaji wa mafuta ni sawa na probox ila ni gari ya hadhi ukilinganisha na raum na zingine. Pia ni gari ipo juu hata bush unakatiza nayo bila shida.
 
Point hapo ni kuwa...mjomba wako anajiweza na ni mtunzaji.....hakuna gari baya duniani endapo wewe ni mtunzaji na una uwezo wa kulinunulia spea original kwa wakati...

Na hakuna gari baya la kampuni ya Toyota kama RAV 4 ikikutana na mtu mwenye hela kiduchu, bahili na ambaye si mtunzaji.....hapo ndiyo utagundua bora IST kuliko RAV 4..

Na ukitaka kugundua dalili ya kwanza kwa mtu ambaye RAV imenshinda, utaona matege ya kutosha...kisha mtumiaji atalalamika ulaji wa mafuta kwenye ile 3s engine.

Ushauri wangu kwa mstaafu....ni bora achukue Noah old model yenye 3s injini coz itamfaa kwa safari, nafasi ya kutosha ya mizigo na familia...pia kama ana bishara za maduka inaweza kubeba mizigo mingi ya maboksi ...bora noah kuliko RAV 4 old model yenye injini ile ile 3s, nafasi ndani kiduchu imebana mwisho watu 5 bora hata spacio new model ina uwezo wa kubeba abiria 7..

Mtazamo wangu.
 
I appreciate that! Ishu kubwa naamini ni utunzaji wa gari na kuchagua gari kutokana na matumizi yako tu!! Ila still hakuna gari baya!
 
Mkuu chukua toyota rush. Gari inafanana na rav4 kwa size ni ndogo kidogo sana. Ila engine yake ni 1500cc, ulaji wa mafuta ni sawa na probox ila ni gari ya hadhi ukilinganisha na raum na zingine. Pia ni gari ipo juu hata bush unakatiza nayo bila shida.

Hii pia ni choice nzuri kweli.
 
Back
Top Bottom