Naomba ushauri: Hati ya kiwanja ni ya mke wangu pekee au naweza kubadilisha majina?

Naomba ushauri: Hati ya kiwanja ni ya mke wangu pekee au naweza kubadilisha majina?

Upbringing yake ikoje? Kalelewa na single mother?? Au nyumban kwao mama ndio ana sauti kuliko baba yake?
Kalelewa na baba yake na mama yake toka tuoane hatujawahi ishi mda mrefu mda mrefu ambao tulikaa sana ni miezi miwili sasa saa hz tunaishi pamoja kila mmoja anagundua tabia ya mwenzake kwake nilichogundua ni mbinafsi na hili siyo kwangu hata kwa ndugu zake ni mbinafsi
 
Back
Top Bottom