Mgeni wa Jiji
JF-Expert Member
- Jul 27, 2017
- 9,758
- 18,431
Haya mambo ni zaidi ya vile tumeyasoma Mkuu, amini nakwambia inawezekana kabisa. Nimefanya kesi 2 mwaka jana za mtindo huo huo tena baada ya mwanamke kudanganywa na kugoma kuhamisha umiliki uwe wa wawili.Mkuu kukiwa na ubishani kwa sheria zetu mwamba hana kitu. Sheria ya ndoa inaruhusu umiliki wa Mali binafsi kwa wanandoa.
Labda ingekua matrimonial home, sasa hapa mchango wake utakua ni nini ikiwa wife akisema ni kiwanja kanunua kwa pesa zake mwenyewe... kitendo cha yeye kumtumia pesa itakosa ushahidi kwamba alituma kwa ajili ya kununua kiwanja.
Natamani yule mwanamama akate rufaa HC ili itoke precedence. 😂