Naomba ushauri: Hati ya kiwanja ni ya mke wangu pekee au naweza kubadilisha majina?

Naomba ushauri: Hati ya kiwanja ni ya mke wangu pekee au naweza kubadilisha majina?

Mi sijaona tatzo hapo,mbona binadam tunakuwa wabinafs hvyo

Yaan hutu tumali tudogo kama kiwanja ndo kalete shida kwenye ndoa
 
Mwambie akuchangie na wewe ununue uandikre majina yako na mashahidi wawe ndugu zako usiwe mvivu kufikiria
 
Inategemea Mkuu, kama hakuna ubishani na ikawa inaweza onekana haiwezi kuwa bla bla, hata ivyo kwakuwa ni wenza bado ni cha kwao wote sema wanapishana % tu
Mkuu kukiwa na ubishani kwa sheria zetu mwamba hana kitu. Sheria ya ndoa inaruhusu umiliki wa Mali binafsi kwa wanandoa.

Labda ingekua matrimonial home, sasa hapa mchango wake utakua ni nini ikiwa wife akisema ni kiwanja kanunua kwa pesa zake mwenyewe... kitendo cha yeye kumtumia pesa itakosa ushahidi kwamba alituma kwa ajili ya kununua kiwanja.
 
Wana jukwaa habari zenu
Mimi na mke wangu tumefunga ndoa miaka kadhaa iliyopita na tulikuwa tunaishi mikoa tofauti kuna kipindi aliniambia tununue kiwanja nikamwambia sawa basi wakati nipo mkoa ambao nilikua nafanya kazi akasema tuchange hela tununue akanitajia bei nikatoa nae akatoa huko alipoenda alikuwa na mama ake mzazi wakanunua mimi kipind chote hicho sikuwahi kuulizia hati ya kiwanja lakini kwenye kiwanja nimefika mara tatu. Sasa toka mwaka jana nikawa namwambia nataka kuiona hati ya kiwanja. Juzi kanionyesha nimekuta kaandika jina lake tu halafu mashahidi ni mama ake na wengine kawaandika hapo sasa nauliza je naweza kubadili hii hati nikaandika majina mawili yaan jina langu na lake
Hapo inatrgemea kama umemwqmbia na ajaleta tabu jadilianeni tu
 
Nilivyoelewa ni kuwa mwanzo wifewako na wewe mlichanga then pesa ukampa yeye anunue kiwanja, then akanunua huko aliko akatafuta na hati ila akaona aandike jina lake tu
...
Baadae inaonekana mkakutana ukaona haina jina lako mkajadili akakubali jina lako pia liongezwe
...
Unachotaka kujua/ushauri ni kama inawezekana kuongeza jina ama la!
Jibu: inawezekana kikubwa tu mhusika ambae jina lipo kwenye hati awepo na akubali kusaini (kakubali tayari)
...
Hahaha ila next time wakuu makosa kama haya ni ya kuepuka ukichanga na mtu pesa kununua kitu fatilia nawewe upate umiliki wa hicho kitu
 
Hapo jibu ni moja tu, nenda ukauze kiwanja kisha unaemuuzia akuuzie tena upya ndio utaandika majina yako na majina yake

Yaan hapo huwezi kufuta jina kwenye hati limeshaandikwa mchakato ni kumuuzia mtu kisha yule akuuzie tena upya ndio unabadirisha majina mnaweka majina yenu wote, lakini sababu ni nini haswa mpaka unataka kufanya hivyo kwani mkeo haumwamini?
Kwani mkeo humuamini?

Kosa la kwanza.
 
Back
Top Bottom