Naomba ushauri: Hati ya kiwanja ni ya mke wangu pekee au naweza kubadilisha majina?

Naomba ushauri: Hati ya kiwanja ni ya mke wangu pekee au naweza kubadilisha majina?

Hapo jibu ni moja tu, nenda ukauze kiwanja kisha unaemuuzia akuuzie tena upya ndio utaandika majina yako na majina yake

Yaan hapo huwezi kufuta jina kwenye hati limeshaandikwa mchakato ni kumuuzia mtu kisha yule akuuzie tena upya ndio unabadirisha majina mnaweka majina yenu wote, lakini sababu ni nini haswa mpaka unataka kufanya hivyo kwani mkeo haumwamini?
Kumbuka ushamwambia amefanya makosa kama saba!!,sasa makosa ambayo jamaa kafanya,mke katumia kama fimbo kumchapia jamaa,hivyo imani ishatoweka ndo kaamka usingizini.!!
 
Back
Top Bottom